Kwa wale ambao bado wanalaani Urusi niwaambie policies za NATO ni za kishenzi. Inaziona nchi zote zisizo ndani ya Nato useless. Insecurity ya Russian iko kwenye hizo sera za hao washenzi. Leo wakiisha ivinja Russia nguvu kesho watataka kuja kitawala asia, africa na kwingineko. Hizi sera zao zisipobadilishwa kuna siku dunia itaingia kwenye vita vya tatu vya dunia. Nchi pekee i ayoungs mkono hizi sera za nato nje ya wanachama wa nato ni USA. Nchi zilizobski wako againts na hii ndio itakayoleta vita vya dunia baadaye. Kujohsmi kwa Russia juu ya hili ni liashiria cha kitakachotokea kule mbeleni. Waliivunja USSR wakaanza kuzishawishi mataifa yaliyokuwa chini ya USSR kujiunga na nato. Ukraine remained the strategic location to crush Russia na wao Russia wanaona Ukrain ni startegic location ya kuwaweka Nato mbali na Urusi.
nimemkia kwa mama yako kanipa gunduUmeamkia kwenye kilabu cha pombe za dengerua au gongo?!
Kuna mahali popote kwenye hiyo makala ya propaganda za madikteta Zelenskyy ametajwa achilia mbali kulalamikia vikwazo?!
Understood mkuu [emoji120]Dah siku ya 100+ bado tunaendeleza mjadala kuhusu uhalali wa Russia hapo Ukraine? Hatupo serious ase, toka page 2,430 hadi hapa 2,434 issue ni ile ile.
Maximum reply kwa Pro-NATO ni moja tu, yan Waaahed, no more plz!
Unatembea ndani ya post 100 zimetawala pumba za huyo Gasho Yoda na nyie Pro-Russia mnahangaika sijui nini kuelewesha huo mzoga kujaza server! Kwanini msiuache uendelee kuoza taratibu tu.
Usitegemee kumshinda mpumbafu kwenye mijadala, Mpumbafu huwa anaachwa kama alivo. Whatever you say, hata ukisema anavuta pumzi ili aishi atakwambia anavuta chokaa ili aishi. How can you argue with such a man?
Pro-Russia nawaomba ase, Tumieni mda wenuz vizuri wadau. Do not correct a fool or he will hate you, Correct a wise man and He will appreciate you! Text nzuri kuzisoma ni zile mnazojadiliana nyie kwa nyie. Hawa watoto achaneni nao plz.
The fool do think He is wise, the Fool is known by his Speech and Wise man by his Silence. Hili jukwaa huru waachen wapost watakalo as long as yanawapliz nyoyo zao.
Wadau kisiju pwani ngaboru Bwana Utam PD_Magumba KIDUNUNDU kilwakivinje Mtoto wa nzi Ngwega Msulibasi East rodrick alexander Mr Tyang Aiba Muuza viatu 1954 mbaghato chaka lee van cliff Muite Champagnee MR MAJANGA babu na mjukuu Mathanzua na wengineo wote.
Kuna watu kama mie tume-subscribe kwenye huu uzi kwasababu yenu. Tunafatilia kila mnachopost, ila mnatupea taabu sana mnavyoingia kwenye mijadala ya kitoto na hao watoto. Wapeni za moto baridi katika mfumo wa taarifa kama anavyofanya Sikirimimimasikini NYUNDO YA MOTO na Jesus Mlokozi kisha mbaki kujadiliana nyie kwa nyie.
Again maximum reply kwa Pro-NATO iwe kimoko tu cha ham [emoji23]! Hawafai hata kwa kulumangia hawa. It's disgusting mwezi wa 3 siku nzima ni kujadili uhalali wa Russia ya Ukraine. Mara sijui Russia anashindwa, mara sijui silaha kadha zimetua [emoji848] kweli?
No si SAWA!
Punguzeni maongezi yasiyo na Tija kwa hawa #Makima in Galip Vrl Voice!
Yaani we jamaa kama ningekua jirani ningekupiga banzi, huo sio ubishi bali ni ujuwaji usiokua na maana. Kubali kujifunza kutoka kwa wenzio na sio ilimradi keleta ligi.Sovereignty ukiwa na maana gani?
Nikiwa na maana nchi huru yenye mamlaka ya ke ya kujiamulia mambo yake yenyewe kama vile Finland ilivyoamua kujiunga NATO.
Nchi zilizo na Kambi ya majeshi ya kigeni ni huru?
Ni huru. Ujerumani, Japan, Poland, Qatar, Korea Kusini ni nchi huru na siku wakiona kambi za kijeshi za US hazina faida kwao watawaambia waondoke.
Nchi zilizo kaliwa kimabavu baada ya vita ya pili ni huru?
Africa haikuwa bara lenye nchi mpaka mwaka 1884/85 ulipoketi mkutano wa Berlin na kuzigawa hizi nchi unazoziona leo hii. Hakukuwahi kuwa na serikali za nchi kabla ya vita vya pili vya dunia hivyo swali hili halina mashiko.
Je Urusi ndiyo ya kwanza kuvamia hapa ulimwenguni?
Hapana, sio ya kwanza na haitakuwa ya mwusho.
Libya ilivamiwa? Je kama haikuvamiwa kilichofanyika kilikuwa halali?
Libya haikuvamiwa, majeshi ya NATO yalienda kulinda raia waliokuwa wanauwawa na Gaddafi baada ya azimio la umoja wa mataifa la baraza la Usalama S/RES/1973 kupitishwa kwa wingi wa kura.
Iraq ilivamiwa? Kama sivyo hayo Mataifa yalichukuliwa hatua gani?!
Iraq tangu mwaka 1990 lilikuwa ni 'rogue sate' chini ya dikteta Saddam ilikuwa inavamia jirani zake kama Kuwait, inafadhili makundi ya kigaidi dhidi ya Israel na kufanya genocide kwa Wakurdi, Saddam alikuwa sawa na Amin na alinyongwa na WaIraq wenyewe.
Vipi Syria nae, kwa nini hawakuheshimu sovereignty ya Lile Taifa?
Sovereignty haina maana kiongozi anaweza kuua tu raia wake kwa Impunity ndio maana kuna ICC.
Tanzania ilisapoti waasi kwenye Mataifa ya Kongo, Uganda Burundi, tulifanya sahihi? au tuliingilia sovereignty yao.
Kusapoti waasi dhidi ya mtu kama Mobutu au Amin ni sawa, ila kuusapoti waasi dhidi ya mtu kama Hichilema, Uhuru au Chakwera ambao wamepigiwa kura na wananchi wao sio sawa.
Ukitambua siasa za Kimataifa na geopitics lazima utakiri Urusi ipo sahihi?
Eleza sababu zinazoifanya Urusi kuwa Sahihi kuivamia Ukraine.
Ila hapa kwa yuwesi ei [emoji35][emoji35][emoji35][emoji1182] [emoji635] The Nicaraguan authorities approved the "humanitarian" entry of the Russian Armed Forces
The President of [emoji1182] Daniel Ortega allowed the entry of[emoji635]troops into the country,ships and aircraft for humanitarian purposes. This is reported by the official bulletin of La Gaceta. "Personnel, ships and aircraft of the Armed Forces of the Russian Federation can be brought into the territory of Nicaragua to take part in the implementation of exercises and training,s well as humanitarian aid operations, search and rescue and rescue operations in emergency situations or natural disasters," La Gaceta reports. The Government of Nicaragua also approved the introduction of military personnel, ships and aircraft of the United States, Mexico, Cuba, Venezuela, Guatemala, El Salvador, Honduras and the Dominican Republic for humanitarian exchange and assistance The Government of Nicaragua believes that the exchange between the armed forces of the countries is mutually beneficial in case of emergencies. According to La Gaceta, the entry of foreign troops was planned in advance and coordinated with the Armed Forces of Nicaragua, whose representatives also received permission to visit partner countries to carry out humanitarian activities.
Sijaelewa hii MKUURussian State Duma Deputy Fyodorov submitted a draft law on repealing the resolution of the USSR State Council "On the recognition of the independence of the Republic of Lithuania"
Mmm,mtalishwa hata mavi,kila mnaloambiwa sawa.Kweli!!! Huku ni kudhalilishana.Na watakapopiga marufuku kula nyama mkaambiwa mle wadudu peke yake, ndio mtaelewa.Shida ni sababu ya kutuambia tuanze kula wadudu,nia yao ni ovu,sio njema!!!! Halafu wao ni nani?Lakini kwa nini wa dictate terms,it is simply unacceptable.IDK ila sio vyote vya kuvichuuukiiiiia mfano insect protein, si kama kumbikumbi na senene tu mzeebaba ama!? Hata kama ni mende - utaskia ni madhara ya kuchanjwa😂😂
Yaani we jamaa kama ningekua jirani ningekupiga banzi, huo sio ubishi bali ni ujuwaji usiokua na maana. Kubali kujifunza kutoka kwa wenzio na sio ilimradi keleta ligi.
Hawa jamaa ni shida tupu.Mkuki kwa Nguruwe,kwa Binadamu mchungu! Ni double standards za ajabu sana.Nafikiri mkuu yoda ni mfuasi wa ile Imani isemayo uongo ukiludiwa mara nyingi, basi hugeuka kuwa kweli.
1.Sovereignty ukiwa na maana gani
Wamsaidie kataka msaada wanani!!!??Hv hzi bangi huwa mnazitoa wap....!! NATO , US wanamwandama Russia kupitia narrow corridor yenye kichaka kinachoitwa Ukraine , Huyo Iran wako , north Korea na uchafu mwingine wapo kwenye mrengo wa Russia , wanashindwa nini kumpa support mwenzao anayeandamwa non stop , au mpak yamfike ya Ghadafi waanze kulaani ...!!
Jasusi wa Irani alidunguliwa live tunaona hv na hakuna chochote Irani alifanya zaidi ya kutungua ndege ya abiria wake ....
Mnawapaga sifa ambazo hata hazpo
Kama ni kweli, 👍💪.Hata hivyo this needs to be independently verified,kwa kuwa source ni Urusi (??)yenyewe,so they have a conflict of interest.VIFAA VYA UKRAINE VIKIVYOTEKETEZWA HADI JANA. Unaambiwa ndege vita 192 zimeteketezwa.
View attachment 2254943
Kwani zile howtizers zillizokuwa zinapiga 40km imekuaje tena?😆😆Generali mbobezi wa marekani amebainisha mpango maalum wa Serikali ya Marekani wa kutoa mafunzo maalum ya kutumia makombora mampya ambayo Marekani inampango wa kuyatoa kwa Jeshi la Ukrain. Amebaoinisha kuwa si vema kuwatupia makombora tu bali ni kuwapa kwanza uwezo wa kutumia
FUATILIA HAPA
Top general details plan to train Ukrainians on rocket artillery
Dan Lamothe, Cate Cadell - 7h ago
View attachment 2254999
The U.S. military has devised a plan to train a platoon of Ukrainian soldiers at a time on how to use sophisticated multiple-launch rocket artillery, the Pentagon’s top general said Wednesday, raising the likelihood that more of the weapons could be sent to Ukraine.
The plan is contingent on an initial group of Ukrainian soldiers showing proficiency on it, said Army Gen. Mark A. Milley, chairman of the Joint Chiefs of Staff. The transfer of additional rocket artillery to Ukraine from existing U.S. Army or U.S. Marine Corps stocks also would require explicit approval from the Biden administration.
Top general details plan to train Ukrainians on rocket artillery
“We’ve got to start this thing with a program that is rational and deliberate and gets them trained to a standard where they become effective,” Milley said, speaking to reporters as he returned to Washington from France. “It will do no good to just throw this weapon system into the battle. You’ve got to be trained on it to get the maximum effective use out of the weapon as a precision system.”
The comments came after the Biden administration last month approved the transfer of four M142 High Mobility Artillery Rocket Systems, commonly known as HIMARS, to Ukraine, and after Britain said it would send three M270 multiple-launch rocket systems, which perform a similar function. The British also will train a platoon at a time under the plan, Milley said, allowing Ukrainian forces to build up their rocket artillery.
Ukrainian officials have said for days that they need dozens of rocket artillery systems to beat back Russian forces, who continue to make slow gains in Ukraine’s eastern Donbas region after a full-scale invasion launched Feb. 24.
Milley said that the Russians have “demonstrated that they are outgunning and outranging Ukrainian artillery” so far in fighting in the eastern Donbas region, which has become the primary emphasis in Russian operations.
The United States already has shipped Ukraine dozens of M777 howitzers, artillery that commonly launches explosive 155mm rounds up to about 25 miles. Milley said Ukrainian forces have used those weapons to great effect, but the Ukrainians need “some longer-range artillery systems” that can reach farther distances.
Colin Kahl, the U.S. undersecretary of defense for policy, left open the possibility that the United States could send additional HIMARS to Ukraine as he announced June 1 the first four systems had been approved. The United States first wants to get more information about how useful they are and how the Ukrainians are using them, he said. He predicted then that it would take about three weeks to train the first group of Ukrainian soldiers. Milley said Wednesday that it will take three or four.
The Biden administration approved the transfer of the first four systems after receiving assurances from Ukraine that it would not use them to launch cross-border attacks on Russia, Kahl said. The administration also decided to send munitions for them that have a range of about 45 miles, rather than the long-range Advanced Tactical Missile System (ATACMS) that can reach up to 186 miles.
Both the HIMARS and multi-launch system that the British are providing require a significant amount of training, Milley said. U.S. troops have developed an accelerated training program for Ukrainian soldiers who already have fired other kinds of artillery in part because they are not starting from scratch.
“The Ukrainians have very good artillerymen. Very good gunners. They’re excellent at artillery,” Milley said. “But they have been using Soviet-era systems, and then transitioning to different [Western] systems.”
On Wednesday, Ukrainian forces remained locked in a brutal fight to maintain territory in the city of Severodonetsk, a key battleground in the Kremlin’s bid to capture the Donbas region, as Kyiv and Moscow continue to spar over a U.N.-backed proposal to avert worsening global food shortages by securing safe corridors for millions of tons of Ukrainian grain.
Luhansk regional governor Serhiy Haidai said Ukrainian troops were facing an onslaught of Russian shelling that is targeting Ukrainian-held supply lines in Severodonetsk, the largest city in Ukraine’s Luhansk region, where Moscow claims it now controls 97 percent of the territory.
“Fierce battles are taking place … Our defenders are fighting for every inch of the city,” said Haidai, who acknowledged that Ukrainian troops may need to “withdraw to stronger positions.”
Local officials have confirmed that Russian forces have captured most residential areas in the city as part of their advance, but Britain’s Defense Ministry on Wednesday reported that Ukrainian defenses “are holding” and said neither side has gained much ground over the past day.
Severodonetsk would be a significant symbolic win for Moscow, which claims it has recently restored rail and road links to the annexed Crimean peninsula via freshly captured Ukrainian cities, consolidating its gains in the country’s south.
What to know about Severodonetsk, the Ukrainian city Russia wants to capture
Turkish and Russian foreign ministers met in Ankara on Wednesday for “substantial” talks on a U.N.-backed proposal for secure safe shipping lanes, designed to facilitate exports of some 20 million tons of grain trapped by a Russian blockade of the Black Sea ports.
The blockade has raised alarms over a potential global food shortage that could lead to famine in developing countries if shipments aren’t able to leave the ports, some of which have been littered with defensive Ukrainian mines and are under fire from Russian land and sea units.
Turkish Foreign Minister Mevlut Cavusoglu said following the meeting that the proposal — which reportedly includes a plan for Turkey to assist in demining the Ukrainian ports and escorting commercial vessels — was “reasonable.” He also said it’s “entirely legitimate” for Russia to request relief from sanctions on its own exports as part of any deal. No immediate agreements have come of the talks.
Russian Foreign Minister Sergei Lavrov on Wednesday blamed Ukraine for the impasse and said Russia was willing to provide security guarantees if Kyiv agreed to remove mines from its Black Sea ports or “ensure passage through the minefields, as our Turkish friends are telling us.”
Lavrov denied the current global food shortage was linked to the war in Ukraine, while European Union leaders railed against what they say are Russian efforts to weaponize food supplies since the invasion began. Speaking in the European Parliament on Wednesday, Ursula von der Leyen, the head of the European Union’s executive branch, said the blockade on Ukrainian grain was “a cold, callous and calculated siege by Putin on some of the world’s most vulnerable countries.”
Ukraine has made urgent calls for a deal on the shipping lanes, but remains wary of the U.N. proposal, which it says could allow Russia to exploit safe zones to carry out strategic attacks on southern cities, including Odessa, which is still under Ukrainian control.
Cholera fears prompt quarantine in Mariupol, official says
The White House announced on Wednesday that President Biden will travel to Europe for Group of Seven and NATO summits later this month where he will meet with global leaders to discuss further efforts so support Ukraine, as well as the food and energy crisis caused by the conflict.
Foreign fighters from Britain and Morocco who joined the war in Ukraine against Russia have gone on trial this week, according to Russian media.
Two British men, Aiden Aslin and Shaun Pinner, as well as a Moroccan identified as Brahim Saadoun, appeared in a courtroom behind bars in footage on the Belarusian outlet Nexta. They were asked whether they had any objections to their indictments, and all answered no before taking a seat.
The men are accused of acting as mercenaries, according to Nexta. The trial is taking place in a pro-Russian separatist region of Donetsk, under the control of the prosecutor general’s office of the self-proclaimed Donetsk People’s Republic.
Meanwhile, nuclear radiation detectors are back up and running at the Chernobyl site for the first time since the war began, the United Nations’ nuclear watchdog said.
“Dozens” of radiation detectors “are once again transmitting data,” after teams “succeeded in reviving a vital information link that was cut at the start of the conflict more than 100 days ago,” the International Atomic Energy Agency said in a statement Tuesday.
The detectors were set up after the 1986 nuclear disaster at Chernobyl to monitor radiation levels around the defunct plant in northern Ukraine.
The radiation monitoring network in the area stopped functioning on Feb. 24, the first day of Russia’s invasion after its troops occupied the Chernobyl site, the IAEA said. Russian forces held the Chernobyl zone for five weeks before withdrawing at the end of March amid an international outcry and fears of another nuclear disaster.
Kareem Fahim and Zeynep Karatas in Istanbul, Amy Cheng and Andrew Jeong in Seoul, Adela Suliman in London, Lateshia Beachum in Washington and Mary Ilyushina in Riga contributed to this report.
hao nato wote wahaifikii hata iran kwa tech mifumo ya ulinzi
makopo yao ya patroint huwa yanalipuliwa na home made drone kutoka kwa vijana wa yemen
Huyo jamaa anadhani marekani ndio baba wa demokrasia duniani,wakati yeye ndio adui namba moja wa demokrasia ambaye kaitengeneza kwa maslahi yake.napia anaitumia kama fimbo kuchapia wenzake lakin ukikaa nakuangali chaguzi za maraisi wa marekani namchakato wote wa uchaguzi ni uhuni mtupu,tena bora umempa mfano wa hilary Clinton by the way asilolijua nikwamba marekani wana white and black government.Wee ni kiazi kweli yani wananchi wachague raisi alafu Kura za watu wachache ndyo ziwe zanye maamuzi alafu useme ndyo demokrasia iyoo hopeless kabisaa alafu unakuja kusema Rusia hakuna demokrasia ni Sawa na kuita matajiri WA Rusia wezi Ila WA ulaya na Marekani siyo wezi wao ni wasafi
Ni vizuri apewe Ukraine ipewe hio Iron Dome ili nae Russia apeleke zile S-400 pale Syria zikamsaidie Assad.Serikali ya Ukraine imeonesha utashi wa kununua mfumo wa IRON DOME wa kujilinda dhidi ya makombora. Barozi wa Ukraine nchini Israel amesema kuwa Serikali yake itanunua mfumo huo, aidha ameitupia lawama Serikali ya Israel kwa kutoipa msaada hasa ya zana na vifaa tiba.
FUATILIA HAPA
Ukraine Wants Israel's Iron Dome Defense System
Brendan Cole - Yesterday 11:24 AM
Ukraine wants to purchase Israel's Iron Dome defense system to use against Russia and has accused the Israeli government of not providing enough military or medical assistance.
Iron Dome defense system battery, designed to intercept and destroy incoming short-range rockets and artillery shells, is pictured on the outskirts of the northern Israeli city of Kiryat Shmona on May 19, 2022. Ukraine's ambassador to Israel, has said Kyiv wants to purchase the system and accused the country of not providing military support against Russia.
The Ukrainian ambassador to Israel, Yevgen Korniychuk, said the Israeli media and government had forgotten about the war, and he stepped up calls for the country to allow the transfer of a much needed anti-tank guided missile system.
While grateful for its humanitarian assistance, Korniychuk said "we have had zero military-technical cooperation with Israel since the war started."
"Ukraine has been removed from the Israeli press almost completely," he told reporters on Tuesday, The Jerusalem Post reported, "so there is no war anymore."
Israel has been careful in its response to the war in Ukraine, backing Kyiv on the one hand but not publicly criticizing Russia on the other, although it did vote to condemn Moscow at the UN General Assembly.
The Israeli government has been reluctant to provide Ukraine with military assistance, as it tries to be a negotiator between Kyiv and Moscow, which it does not want to antagonize because it controls the skies over Syria where Israel carries out air strikes.
But Korniychuk said that Israel needed to do more to help with Ukraine's war effort.
"I want the Israeli government to move away from its comfort zone and get back to reality," he told reporters. "We need Israeli assistance."
"We need Iron Dome," he said, referring to the air defense system that can intercept and destroy short-range rockets and artillery shells fired from distances of 2.5 miles to 43 miles away.
He said the system produced by Rafael Advanced Defense Systems would "allow us to save our civilian women and children from the shelling of the Russian missiles in our territory."
Israel is unlikely to sell the Iron Dome to Ukraine, or any other country, because of regulations signed with the U.S. regarding defense exports, The Post reported, although the Rafael-produced David's Sling and SPYDER air defense systems could be provided.
Newsweek has contacted the U.S. State Department and Israel's foreign ministry for comment.
There are also international obligations to control Israel's defense export market, although in February, The Times of Israel reported that the country was planning to advance the sale of missile defense systems to the United Arab Emirates.
Korniychuk also said that "Israel said no" to transferring the Rafael-made SPIKE 5th-generation anti-tank guided missile from Germany to Ukraine, despite Washington and Berlin giving permission for the deal.
"Israel does not owe Ukraine anything," Korniychuk said. "We are not begging you for help.
"We do believe that on the moral side, Israel has…to help Ukraine with all possible means."
Wadudu wanaliwa baadhi hata kabla ya hilo bango.Mmm,mtalishwa hata mavi,kila mnaloambiwa sawa.Kweli!!! Huku ni kudhalilishana.Na watakapopiga marufuku kula nyama mkaambiwa mle wadudu peke yake, ndio mtaelewa.Shida ni sababu ya kutuambia tuanze kula wadudu,nia yao ni ovu,sio njema!!!! Halafu wao ni nani?Lakini kwa nini wa dictate terms,it is simply unacceptable.