Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ban ishaisha nimekuja kama Extrov Vertik kukiwasha tena😄 maana dharau za NATO zimezidi wakati wanakalia umeme wa Kaydrov tu
 
Thanks Budda🥰🥰🥰popobawa na nyambizi watanuna 😂😂😂😂.

Somo limeeleweka NATO wameingia cha kike as waliplan calendar yao ila RUSSIA wakasogeza mbele mchezo kwa script yao kuja kushtuka wameruka scene kibao mara nafaka hatuzioni,mara china na Russia wananichangia,mara pesa inakua makaratasi,mara silaha tunazotuma zinazama kwenye blackhole,

Si mlitaka chai chai iweje mlalamike mnaungua kuweni wavumilivu wanyenyekevu mkipenda vita mtaungua by Sir kiroboto msitu wa vinaa😂😂😂😂
 
Game of Thrones iliandaliwa kutoka katika mfululuzo wa vitabu vya A Song of Ice and Fire book vya George R. R. Martin ambavyo alianza kuviandika tangu mwaka 1996. Kitabu cha kwanza katika huu mfululizo alikipa jina la Game of Thrones na series yenyewe ya Game of Thrones imeandaliwa kwa kuchukua sehemu tu katika hivyo vitabu.

Ni utopolo mkubwa wa akili iliyotafanwa na conspiracy kuhusisha series ya Game of Thrones hata kwa nukta moja na siasa za dikteta Putin.
 

Hii adhabu safi sana kma kuna mamluki wengine ni onyo.
 
Huitaji kujibiea kwa vile umeuliza kama kinda
 
Ban ishaisha nimekuja kama Extrov Vertik kukiwasha tena😄 maana dharau za NATO zimezidi wakati wanakalia umeme wa Kaydrov tu
Ha ha ha pole sana mdau!

Pa1 shangazi, acha wanune tu ila wee ndio Maria Zakharova wa kaskazini 🤩 We are proud of you!
 
Huwezi ukauona uzuri wa chochote kama kila wakati utazitafuta habari za evil plans tu.

Tafuta na nyingine ubalansi kichwa. Halafuu hata kama ivi kuna faida gani kuishi maisha yote ukiamini unavyoamini[the future is very bleak!?]. Kuamini kwamba hakuna uzuri wa chochote katika maendeleo duniani [ufalme wako uje/na tayari upo ni wewe tu kuanza kuuona]ndio ushetani wenyewe sasa kama hujui. Hata TESLA akitengeneza gari model mpya lazima uje na nadharia zako za njama za kusadikika.
 
Ha ha ha nikashangaa ghafla sikuoni. Kule mtaa wa vituko haupo, kucheki vizuri wamekupiga umeme 😂. Nikajisemea kwisha habari yake huyu.


Pa1 shangazi, acha wanune tu ila wee ndio Maria Zakharova wa kaskazini 🤩 We are proud of you!
🙌🙌🙌🙌🙌 Appreciated 😂😂😂😂wasije wakaniloga wana mbinu nyingi hao raia.
 

Umezielewa vibaya ‘electoral votes’, nenda kajielimishe zaidi
 

Finito. Ndo maana siwaelewi wanauiunga mkono Marekani
 
❗️Key Points Made by President Putin During Russia Youth Meeting


▪Peter the Great strengthened the nation’s territories, a fate now shared with modern Russia;


▪Inflation abroad is the result of Western mistakes - though they attempt to blame me;


▪De-regulation of the Russian economy will ease sanctions pressures;


▪Grain harvests this year may exceed 130 million tons - exports may reach 50 million.
 
'If someone wants to limit us in any way, they will limit themselves first of all'- Putin on sanctions

Russian President Vladimir Putin joked on the Western sanctions as he met with the nation's young talents in Moscow.
"If someone wants to limit us in any way, they will limit themselves first of all", Putin said stressing that due to restrictions imposed on Russian fertilizer and energy supplies, 'the prices are skyrocketing'.

"They are calling inflation after my name but we have nothing to do with this, seriously, it's true", the president said, pointing out at ' longstanding mistakes' made by the Western politicians.

"They were the ones who made those mistakes and now they are hiding and trying to cover certain parts of their anatomy. They are trying to shift the blame on Russia. But we have nothing to do with that", Putin concluded.
 
⚡️Putin says Russia’s aim is to acquire new territories.

Speaking at an exhibition devoted to Peter the Great, Russian dictator Vladimir Putin claimed that the emperor’s Great Northern War against Sweden had been a return of Russian land, not a conquest of territory.
 
Ni uongo kwamba Trump anapendwa na waumini wengi wa JF Kennedy. Trump alipitwa kwa kura milioni 3 za popular na Hilary Clinton , alishinda kwa electoral college na amekuwa Rais wa Pili tangu mwaka 1900 kupoteza popular vote na kushinda urais baada ya Bush.

Ni uongo kwamba wakati wa JF Kennedy na Trump ndio dunia ilishuhudia amani kubwa kutokana na vita vichache au ndio wakati America haikujihusisha na vita vingi nje ya nchi yake. Kennedy alikuta vita vya Vietnam na wakati wake ndipo vita vilipochachamaa zaidi, hakuondoa majeshi ya US Vietnam. Ni wakati wa Kennedy pia ambapo uliibuka mgogoro mkubwa wa makombora ya nyuklia Cuba wakati wa vita baridi ulihohusisha US na USSR.

Rais wa Marekani ambaye katika kipindi chake US ilikuwa na amani kubwa na haikuingia katika vita mpya pia vya nje ni Jimmy Carter, 1977-1981. Huyu ndiye aliyewapatanisha hadi Israel na Misri waliokuwa maadui wakubwa.
 

Ukraine resists Russia in east, strikes back in north, south​

Ukraine is pursuing a resilient defence and counter-offensive, but Russia is also moving to assimilate occupied regions.

Ngoma bado mbichi......


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…