Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jirani ambaye anasaidiwa na jeshi la nchi zaidi ya 10

Mwambieni Urusi akosee njia makombora yake yatue kwenye kataifa kamoja ka NATO ndio aelewe nini maana ya kupigana na NATO, humo wanamtamani sana....
 
Dah Russia,Russia,Russia umewakamata Kila Kona.
Kumbe Russia ni Tajiri na mfadhiri.
Bila wewe baba Hawa hawana kitu.
Mbwembwe na majigambo TU.
Russia wanakutegemea kwa Kila kitu Hawa ,Hadi madini ya kutengeneza vifaru wanakutegemea wewe.

Sasa hawawezi kuzalisha vifaru kwa sababu hawana titanium.na titanium unayo wewe.
Russia umewakamata.
Heeeeeeehe!
 
Zelensky aache madaraka mambo yaende …CIA wanaweza kula kichwa ..sio watu
 
Union of Soviet Socialist Republic
 
Kumnyonga mtu aliye jisalimisha ni kudhihilisha uoga.
Wanajeshi mateka wa Ukraine watatendewa vizuri kwa mujibu wa Geneva convention,kwa sababu wao ni wanajeshi halali wa ukraine.
Lakini mamluki yoyoyte kutoka nchi nyingine huyo Geneva convention haimtambui,huyo anastahili kamba ya shingo.
Kwa muktadha huu hao waingereza kamba inawahusu.
Sio maneno yangu,nadhani Hali halisi ndio hiyo.
 
Nzuri saaana hiyoooo
Zakichwaaaaaaaa

Sent from my Nokia 4.2 using JamiiForums mobile app
 
We
Mwambieni Urusi akosee njia makombora yake yatue kwenye kataifa kamoja ka NATO ndio aelewe nini maana ya kupigana na NATO, humo wanamtamani sana....
Wewe Mungiki! Tangu nazaliwa na kukuwa mpaka sasa nini 40+ sijawahi kusikia mzungu analia njaa. Lakini what Putin has did kwa hawa mabeberu yameanza kulia njaa kama majirani zenu Somalia. Mpaka sasa Ukreine, US na NATO ni looser. Kubali kataa.
 
Acha kuendekeza njaa kwani yeye anasaidiwa na nani
 
Africa tunapaswa kupambana na kuachana ategemezi. Nchi zote zilizoendelea ziliachana na hii misaada uchwra. Kuhusu lugha nchi zote zinazoongea kiingereza, kifaransa, kireno, na kiispania ni kutokana na ukoloni. Russia/Urusi hawajawahi kutawala au kuwa mkoloni kwenye nchi nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…