lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
HA ha haa,Haina msalia mtume ile inayeyusha chuma mie ni nani?
🤣🤣🤣🤣🤣Hahahahhaha. Unaeza ukala laser ya takow kabla hujala hata dollar 100
Hii iko byeh!Russia imeweka zuio kwa Japan wasiendelee kujihusisha na shughuli za uvuvi kwenye kisiwa cha Kuril kwa sababu ya kushindwa kulipa fedha. Japan a.k.a colony la mashoga wamelalamikia uamuzi huo wa ghafla wakiupa jina la uonevu. Uamuzi huo unakwenda kinyume na mkataba waliokubaliana (fishing pact 1998). Teh teh teh huo ujumbe una maana moja tu, "tumewalisha sushi kwa muda mrefu sana bila ya malipo leo munajitia kiherehere cha kusupport ukraine, kama wanaume kweli kavueni samaki bahari ya china".
Nafikiri tunathibitisha pointi ileile ya kwamba exposure kwa hizi 'burudani' ni kifaa mojawapo chenye nguvu katika kuathiri fikra za walio wengiHata Ronald Reagan Rais wa 40 wa US alikuwa actor na alicheza movie ya Law and Order kabla hajawa Rais.
Arnold Schwarzenegger anafikiria kuwa Rais baada ya kucheza movie kama Rais.
Jimmy Morales alikuwa Rais wa Guatemala mwaka 2016 mpaka 2020 baada ya kuwa comedian kwa miaka 15.
Simpsons walichezea movie ikimuonyesha Trump kama Rais mwaka 2000.
Kwa akili finyu za ki conspiracy haya mambo yote yalipangwa na kila kitu kimepangwa duniani na illuminati au ujinga mwingine.
Kama habari hii ni ya kweli,nimeamini Urusi ni mabingwa wa Chess.Moscow imesimika manowari yenye makombora ya Nyuklia (Balistic Missiles) huko Nicaragua nchi iliyoko America Kusini upavuni kabisa mwa Marekani, Rais wa Nicaragua, Daniel Ortega, aliruhusu kuingia kwa wanajeshi wa Urusi, meli na ndege nchini kwa madhumuni ya kibinadamu kutoka nusu ya pili ya 2022. Marekani kwa muda wote iliamini ni misheni zote ni kwa shughuli za kibinadamu, Nyambizi kubwa kabisa za makombora ya Nyuklia bzimesimika nanga katika nchi hiyo na sasa ni kitisho kikuu kwa Washington.
Katiba ya Nicaragua inaruhusu uwepo wa vikosi vya kigeni nchini na shughuli zake zote zitakuwa halali. Amri inayolingana ya rais Ortega inafanywa mara kwa mara. Wadadisi wa Ujasusi wanaashiria kuwa kupungua kwa msukumo wa Washington katika mgogoro wa Kyiv ambapo ahadi zimekuwa zikisuasua tofauti na miezi mwili nyuma ambapo Washington ilijaza shehena ya sila kila jua lichomokapo, Basi ni kiashiria cha uzito wa kitisho hiki kipya miguuni mwa Washington.
Kusuasua kwa Marekani na Ulaya kupeleka silaha za kisasa ukiachilia mbali silaha dhaifu za kizamani zilizokwisha muda wake na zinazolalamikiwa na makuruta kwamba hazina uthabiti wa kupambana na zile za Moscow, kumeifanya Moscow kutimiza misheni yake kwa haraka zaidi, ambapo hadi leo imefika 97% ya kazi ya ulombozi. Awali tathimini ilionyesha kwa mwendo wa Oparesheni na hatua za kimafanikio kwa Moscow, ingefika August na kutamatisha kwa usahihi oparesheni yake, lakini siku tano za nyuma kuanzia leo, Moscow imepiga hatua kubwa ikiteka maeneo makubwa na kukamata makuruta zaidi ya 6000 hali inayopunguza zaidi muda wa ushindi na pengine kutangazwa siku 14 tu zijazo.
(Yericko Nyerere)
Ha ha haa,mi simooo
Demilitarised already 😆😆🇷🇺🇷🇺
Mimi kama Pro-NATO naomba uongozi wa JF ukupee Ban ya miaka 7 shangazi, kwanini utunange hivi [emoji23]...From middle finger to kurembua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]apo sasa ni yeye kawa fingered au PUTIN?
Pro Nato tujibuni[emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakina nyambizinyo na huyu dogo aliyeingia zam sasa ***** mistress.Nawaomba wale wachambuzi wa uchumi uchwara waliosema Rubble sio kitu baada ya mwezi mmoja ita spike na kuporomoka kama hela ya Zimbabwe
Duh mkuu unaishije kwa hii akili samahani lakiniKwa alivyokurupuka kaangukia pua kule Kiev na kugeuza, sasa anahangaika na tumiji twa huko mipakani na ameingia hasara kishenzi, majenerali wanakufa kama kuku utadhani anapigana na taifa kubwa kumbe kajirani kake hapo nyumbani.
Wavumilivu huwaambii kitu kina yondo sister na FUSO😃😃😃😃Mimi kama Pro-NATO naomba uongozi wa JF ukupee Ban ya miaka 7 shangazi, kwanini utunange hivi [emoji23]...
MhHapa nawaza kama hilo dole kilikuwa kina kucha ndefu hakuumia kweli [emoji124][emoji124][emoji124].
Kwanini akosee wakati anawatwanga hapo yukrainiMwambieni Urusi akosee njia makombora yake yatue kwenye kataifa kamoja ka NATO ndio aelewe nini maana ya kupigana na NATO, humo wanamtamani sana....
Nafikiri tunathibitisha pointi ileile ya kwamba exposure kwa hizi 'burudani' ni kifaa mojawapo chenye nguvu katika kuathiri fikra za walio wengi
Kuhusu conspirancy hizo iluminati usiniwazie ni kama nilivyogusia kwa India na wengine wameitumia tool hiyo kujenga nchi zao.
It is a tool, can be a force of good or a force of evil haikatai. Tutaangalia tu value inazotetea na tutaitambua ni kani gani kwa matunda yake. Eaaaasy
Kwelii wanapokezana hivi wanalipwa usikute mtu unabishana na waajiriwa.Wakina nyambizinyo na huyu dogo aliyeingia zam sasa ***** mistress.
Hivi Pro-Russia kuna pattern hapa mnaielewa kweli? Namna pro-Nato wanavyopokezana zamu kushiriki kwenye huu uzi?
Anasumbua huyu, akichoka anaingia mwingine, then mwingine tena na tena. Zam ya Mwanamkiwi itajirudia lini [emoji23] nimemiss fujo zako.
Utasikia "mpendwa unajua....."
Umeitazama kwa upande wa kuongozwa na market forces, okay....... je umeitazama pia upande wa yenyewe kuwa ni force to the market, marketting something influencing the 'masses markets'Hollywood inaongozwa na "invisible hand" au market forces na sio mkono wa serikali.
Ndio maana imekuwa yenye mafanikio na bora sana.