Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ulisikia wapi kuwa ulifyekwa? Hivi na tatizo la uongo pia ni lako?

Mkuu jifunza kutafuta vyanzo sahihi vya taarifa. Na ukubali kua kuna propaganda for hidden agenda.

Ni maoni yangu kua huko Ukraine NATO watakuwa washa peleka kila aina ya Siraha na zimeshindwa kumudhibiti Russia na ina wauma Sana. Pale NATO wametest most of their top recent war weapons and technology na hawa amini jinsi walivyo pigwa.
 
☆Swali; hivi kwamfano Nchi jirani ya kenya ikiingiza majeshi yake Tanzania na kuteka miji ya Zanzibar(snake Island), Dar es salaam(Donetsik), Tanga+Bagamoyo(Luhansk) lindi(Mariupo), kilimanjaro(Kharison), ukanda wa pwani na bandari zake zote(Black sea) na kuipelekea moto Mwanza(Odesa) halafu ikaiacha Dodoma(kyiv) na mikoa iliyobaki unazani nchi yako itakuwa na hali gani kiuchumi na kihuduma za jamii?

Nimependa hyo sehem, mfano mzuri wa kitaalam zaidi unfortunately umeutoa kwa mtu ambae sio sahihi, itaingilia kushoto itokee kulia, hawapo kuelewa wapo kubishana na kufurahisha nafs zao! MTAKESHA nao!

View attachment 2256940
Huyu Mcroatia mbunge wa Umoja wa Ulaya anafurahisha sana anavyiwapigaga spana wenzake "Umoja wa Ulaya umekuwa State ya 51 ya USA isiyokuwa na haki ya kupiga kura" ...binge la dharau
Huh atabandikwa jina takatifu huyu, Pro-Russia... Na kwa kua Pro-Russia ni wenye akili wanajielewa its okay kwa Mzee huyu!
 
Bora hata ujiulize kwa nini TZS haipo? kuliko hilo unalo zania ni kitu Cha msingi kwa First world countries.

Anyway tupe impact yake kwenye battle ground pale Ukraine, inasaidiaje kipigo zidi ya UKRAINE+NATO≈NATO
 
Nilikuwa nacheki makala YouTube DW inamuhusu Putin nilidhani Team Putin na Pro-Russia wapo humu tu kwa wingi ila nimekuta comments nyingi zikimfagilia Putin na kuna watu wamechizika kabisa na Putin
 

Attachments

  • Screenshot_20220610_155236.jpg
    61.9 KB · Views: 27
  • Screenshot_20220610_154831.jpg
    62.3 KB · Views: 22
  • Screenshot_20220610_155751.jpg
    60.9 KB · Views: 25
Ni kama leo Tanzania ishindwe kuteka Kigali iambulie kupambana na tuwilaya twa hapo mpakani ndani ya Rwanda, siku zipite 100 huku JWTZ wanakufa kama mchwa. Hainiingii akilini mpaka leo Urusi ile ile ndio hii, yaani aibu sana.
Kigali wakisaidiwa na South Africa, Egypt, Algeria na nchi zingine 40. Jwtz watapigwa kama watoto.
 
Nimekuwa Naona comments zako humu jukwaani,ila kiukweli we jamaa umefungia akili Yako ndani ya box Kwa makusudi kabisa na sio kwamba huna ufahamu!
Ni kama vile mtu aliyekata tamaa na jambo halafu akatafuta kaeneo ka kumpa faraja na akakomaa Nako mwanzo mwisho!
Tupeni taulo kwenye ring kuepusha madhara makubwa zaidi Kwa bondia wenu!
Mpiganaji mzuri ni yule anayejua wakati wa kuacha,mbio pia ni ushindi!
 
Kati ya watumiaji wa YouTube billion 2.6 ni wangapi wanaomfagilia Putin?
Nilikuwa nacheki makala YouTube DW inamuhusu Putin nilidhani Team Putin na Pro-Russia wapo humu tu kwa wingi ila nimekuta comments nyingi zikimfagilia Putin na kuna watu wamechizika kabisa na Putin
 
Kaka 200 hadi 300 askari wa Ukraine [emoji1255]
 

Wanasema wana uchumi mkubwa kumbe printer zinawapa kiburi[emoji81][emoji81][emoji81]
 
Maria @MariaVladimirovnaZakharova Zakharova commented on the words of German Chancellor Olaf Scholz that Serbia must recognize the independence of Kosovo in order to join the EU:

“Are they friends of Serbia? Belgrade still does not owe anything to Brussels (exactly the opposite: it is the West indebted to the Serbs), and the Serbian people are already being told what to do and how, in an orderly tone. What will happen next?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…