Twende taratibu, Simu nikabidhi wapi tena wakati ninemaliza na nipo uraiani? Akili za kupiga spana.
Kabidhi sim ID fake haziruhusiwi mtoto mzuri, usilewe mbege zako uko uje kwangu kunipumzkia.
Halafu kwanza huna cha kuweza kunijibu so we tulizana tu.
Una edit ukichokiandika halafu bado unaandika pumba dadeki.[emoji2] JF raha. What ever I did ile siku nia ilikuwa ni just a tip ya kutoa info kuwa naondoka kijiweni na nawaheshimu members wote tunaotofautiana humu kijiweni ila kwa sababu akili yako inawaza spana basi ukatumia nililofanya kujifurahisha kwamba unapiga spana[emoji2]. NIMERUDI, SASA NIPIGE SPANA NIKIWA NA ACCESS YA KUKUJIBU.
Kuhusu nilipokuwa hakuna access ya mm kutumia social media maana napewa dk 200 tu za mawasiliano, acha kukaza ubongo kwa kuuliza maswali huku ukiwaza kupiga spana[emoji2].
Aaaaagh mada fanta kokakola... Haya karibu uraiani jikite kwenye Ukraine Vs Russia tusichoshane.Twende taratibu, Simu nikabidhi wapi tena wakati ninemaliza na nipo uraiani? Akili za kupiga spana.
Point yako n ipi mara waarabu na dini yao.Ha ha ha!!! Hasira zenu zitaishia hapo Buza na wala hamna cha kufanya, ndio keshadhalilishwa huyo Urusi wenu, nyie ndio mumebaki makelele, hata waarabu wenye dini wameufyata hawaamini.
Mimi nabishana na Warusi wenyewe kule kwenye forums za propaganda zao sembuse nyie hapo mnaoshindia ubwabwa
Ona sasa mbio zako za spana unataka tuongelee mambo ambayo nimeyafanya na nimeyafanyaje😀Una edit ukichokiandika halafu bado unaandika pumba dadeki.
Tsh em tulia basi jomba ha ha ha.
So umekabidhi sim, then ukapewa dk 200. Hizo dakika ulizibeba kwenye kibakuli cha Soup eeh?
Akili zenu ni special ase!
Sasa kam hapa unaandika sentence ya kwanza ya pili inakinzana na ya tatu huko kwenye Project unayodai umefanya madudu mangapi?
Tuliza wenge mwamba.
Usichoke Galip, hahaha. Kuhusu Ukraine Russia nasoma updates hapa taratibu. Ni nyingi.Aaaaagh mada fanta kokakola... Haya karibu uraiani jikite kwenye Ukraine Vs Russia tusichoshane.
Kweli pro nato/neutral ni vidumbusi ivi ile aibu aliyoipata ni wa kurudi uso mkavu hapa🙌🙌🙌🙌😂😂😂emu kalamu yako huo wino ni wa thamani sanaa bora utoe nondo tulishe ubongo....... MPE juvelina aka tarumbeta likamsumbue uko mbele ya safari.Aaaaagh mada fanta kokakola... Haya karibu uraiani jikite kwenye Ukraine Vs Russia tusichoshane.
Thamani ipo juu sana sio.Kweli pro nato/neutral ni vidumbusi ivi ile aibu aliyoipata ni wa kurudi uso mkavu hapa🙌🙌🙌🙌😂😂😂emu kalamu yako huo wino ni wa thamani sanaa bora utoe nondo tulishe ubongo....... MPE juvelina aka tarumbeta likamsumbue uko mbele ya safari.
Point yako n ipi mara waarabu na dini yao.
Sisi tuko united haijalishi dini,mpagani,kabila gani,hali gani (tajiri au maskini).
Hapa utaishia kuonekana kituko tuu myukraine wa kajiado.
Au sio... Kama imeisha bas tuliza mshono we soma ukimaliza utulie.Ona sasa mbio zako za spana unataka tuongelee mambo ambayo nimeyafanya na nimeyafanyaje[emoji3]
Hapo unajiambia NAPIGA SPANA. OKEY, project imekwisha salama, ripoti nimetuma ila hizo information hazina maana kwako unaziulizia sababu akili ipo busy ikiwaza hii kituView attachment 2257197
[emoji23]Kweli pro nato/neutral ni vidumbusi ivi ile aibu aliyoipata ni wa kurudi uso mkavu hapa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]emu kalamu yako huo wino ni wa thamani sanaa bora utoe nondo tulishe ubongo....... MPE juvelina aka tarumbeta likamsumbue uko mbele ya safari.
Norway named five reasons why Ukraine cannot join the EU now:
- widespread corruption;
- problems with the rule of law and democracy;
- the economy and politics are controlled by the oligarchs;
- poverty and nationalism;
- Accelerated accession of Ukraine to the EU will be unfair to countries that have been waiting for this for years.
Jarle Trundal, professor of political science at the universities of Oslo and Agder, and researcher Jorn Holm-Hansen from the University of Oslo, voiced this assessment in an interview with NRK.
The TV channel noted that back in April, at a meeting with Zelensky, Ursula von der Leyen spoke optimistically about Ukraine's membership in the EU, but since then the mood has changed: not all EU countries are ready for this.View attachment 2257206
sawa mrusi wa bongo, nimekusikia..We demu kacheze taarabu hamna unachokijua
Kwa brua hii, ubongo wako umepitisha mionzi ya kutosha inayosababisha PANIC. Mara Mm nna thamani, ww ni mvulana, wewe dogo, boy. Sawa, Nakubali wewe ni mkubwa sana, kwa thamani yako sistahili kukudiscuss na wewe. Naishia hapa😁.Au sio... Kama imeisha bas tuliza mshono we soma ukimaliza utulie.
Huna uwezo wa kunijibu na hauna la kunijibu. Kwa hiyo usinilazimishe maongezi yasiyo na kichwa wala miguu.
Sijakwambia unieleze umefanya nini, sijakwambia unitupie picha ya spana sijakuuliza umeripoti nini na wapi... Yote hayo hayanihusu.
Halafu kama kijana usijisifu kutumwa, huo ni USHAMBA na ni UFALA. Nazani ungekua na akili ungeanza kwanza kufikiria uhuru wako utafanya hadi lini kazi za kitumwa kupangiwa hadi namna ya kuwasiliana.
Huu uzi kuna watu tofauti na kila mtu ana shughuli yake, lakini huezi kukuta mwenye upuuzi kama unaofanya hapa as if you are the only one who gotta a Job out there.
Boy, yes Boy maana kwenye uanaume haupo. Unaishi kwa mshahara, tena wa mazingira ya dizaini hiyo na unapata nguvu ya kujisifu mbele ya wanaume, kweli?
Day ukimliki biashara ukapata wa kukuita Boss naona utanunua kipindi BBC wakujue... Acha ushamba dogo.