Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huenda bendera zimemchanganya mwenzetu.

Nitumie nafasi hii kuwajuza wengine kidogo political system of Russia ilivyo.

Russia ama Russian federation ina federal subjects nyingi sana. Zipo hivi nitazitaja kwa kutumia msaada wa picha hapa chini.


Kuna Republic 22 (Moja wapo ikiwa Chechen Republic, Hayo maeneo yenye Kijani kwenye hiyo Map), Oblast 46 (Maeneo yanye njano), Kraigs 9 (Hapo kwenye brown color), Autonomous Okrugs 4 (Rangi ya blue), Federal cities 3 (Hizo sehem zenye uwekundu), Autonomous Oblast (Eneo lenye rangi ya Zambarau).

Ili kufupisha hii post tujikite kwenye hizo Republics. Sifa ya hizi republic ni nyumbani kwa watu wenye asili moja. Mfano kama hawa Chechen(Chechnya), Chuvashia, Dagestan na nyinginezo. Hizi republic zina their own constitution, language, and legislature, lakini huwakilishwa na federal government in international affairs.

Mfano mzuri kama alioutoa Galip Vrl kwa Zanzibar ndani ya Tanzania.

Na kama haijaeleweka vizuri, naomba niwasogeze hapa kwenye hii Illustration nyingine.


Hapo nilipoweka hizo dot mbili ndipo kuna wakuu wa hizo Republic na other federal Subjects kama Oblasts, Federal cities na zile autonomous tulizozitaja awali. Ambao mmoja kutoka serikalin na mwingine kutoka kwenye hizo regional parliament ndio wanaounda federation Council. Na federation Council pa1 na state Duma ndio wanaotengeneza hii inaitwa Federal Assembly.

What amazed me kwenye katiba ya Russia ni kua Raisi anachaguliwa kwa Popular Vote, yani Direct Vote kutoka kwa wananchi wala sio Baraza gani uko kukaa kujiteulia wanayemtaka kama wale wanaojisifu wakuu wa demokrasia duniani.

Kinachowachanganya nahisi ni bendera. Yes, hii flag ya 🇷🇺 tulioizoea ni Federal flag ila kila federal subject ina flag yao. Ndani ya Russia kuna Flags kama 82 hivi, Moscow wana ya kwao, St Petersburg wana yao na wengineo wote kama tulioizoea hii ya Chechnya.

Msaada wa kuelewa hili kwa Illustration ni kama chini hapo... Mtaiona Chechnya kwenye row ya kwanza na ya 5 kutoka kushoto...


Baada ya hilo, ni kua mada yangu sijamaliza, kuna lililo la muhim zaidi ila nitaawambia baadae nikipata nafasi.

Katika hayo ni
1. Kuhusu hiyo Autonomous Oblast 1 pekee iliyopo Russia. Ni ya wa Jewish kina kitu hapo I bet it will blow your mind...

2. Kuhusu hiyo Federal Government of Russia ilivyo, baada ya hapo tuwaulize hawa wanaosema Russia kuna Udikteta watujuze ukoje...
 
In the UK, a transgender paramedic complained to the media that patients were spitting at her and refusing to help.

Steph Mich is one of the first paramedics in the country to openly change their gender. She said that she has been in the profession for about 20 years and after coming out she often encounters insults.

“When I walk in the door, I usually hear [from patients]: “What are you?” This not normal. There were cases when I treated people and they spat at me only for who I am, ”Metro quotes her.
 
Ask-Q mkuu pongezii sana umefafanua vizuri sana kwa undani.
 

Haikua kazi yangu kuhesabu na kuhakiki mita, yangu ilikua kusoma taarifa na kujaza mapicha na video humu, limsafara mlipotez lote likawa chakavu, sidhani kama kuna kipindi nitakua na furaha kama wakati huo, maana nilikua nimeingiwa na hofu ungedhani niko kwenyewe Ukraine.
 
Kwahiyo hitimisho lako ni kwamba kila muislam anaunga mkono uvamizi wa Russia?Hizi kauli za jumla jumla zinamtoka mtu ambaye hajakomaa!

Hitimisho langu kulingana na wote ambao nmehusiana nao aidha kwenye mitandao au mitaani, ni kama mumeingiwa na mapepo fulani hivi ya kumuabudu Putin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…