Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Na bado hawajatemea mate vizuri.
 
🇮🇷🇻🇪Iran and Venezuela have signed a 20-year partnership agreement, Iranian media report.

The agreement includes cooperation in the fields of science, technology, agriculture, oil and gas, petrochemicals, tourism, and culture, according to Press TV.
 
Hili jamaa ni libongo sio mkenya. Wakenya hawawezagi ubishi na kuandika mipasho mirefu
 
Wale wanamisimamo ya wastan hawana shida na tunawapenda
Ila hawa wauaji na majangili yenye misimamo mikali ya kue KIEV yanatakiwa yaangamizwe hasaaaa !!!!!
Duh!..mnawapenda tena ?..
Umejuaje msimamo wa ni wa wastani ?
 
Shukrani sana, Mkuu.
 
Russia imeunda "G8 mpya" inayohusisha nchi za China, India, Russia, Indonesia, Brazil, Mexico, Iran, Turkey

View attachment 2257487

View attachment 2257494
India na China mahasimu wa jadi tena wapo kwenye mvutano wa mpaka, hawapikiki chungu kimoja.

Mexico ni jirani wa Marekani na mshirika mkubwa wa US kibiashara na hata kiusalama (Vita na drug cartels).

Turkey mwanachama wa NATO aliyeruhusu kambi yake ya anga kutumika na vikosi vya Marekani, bado anaiuzia Ukraine silaha (drones) na anapambana kujiunga EU.

Iran japo bado ana vikwazo ila anaweza kutumia huu mwanya wa Vita kupunguza makali ya vikwazo kwa kufungua soko jipya la mafuta.

Brazil anatafuta tu fursa mpya za kibiashara.

Hiyo ni njia ya Urusi kuonyesha bado wana ushawishi, hao wote bado wanategemea masoko ya nchi tajiri za G7.
 
Hakuna mfumo Bora wa Uongozi kama wa Russia Federation..... Wakatae wakubali....
 
Dah ila Pro Russia Kwa facts TU mmetawala anga.
Umempa ufafanuzi wa kitaalam sana sijui kama atakuelewa.
 
1.Rais wa Russia anaweza kulivunja bunge la nchi hiyo.

2.Rais wa Russia ana mamlaka ya ku suspend sheria zinazotungwa na hizo zinazoitwa Republics.

3.Hao wakuu wote hizo federations anawapendekeza yeye Putin, Romzan Kadyrov wa Chechnya aliteuliwa na Putin.

4.Hizo Republics kila zinaendeshwa kwa sheria za double standards kulingana na umuhimu wake kiuchumi au ubishi wa watu wake. Kuna sheria ilipitishwa na Medvedev mwake 2010 wakuu wa hizo Republics wasijiite Marais, Republics ya Tatarstan wakagoma hadi aliporudi Putin[emoji1787]
Tatarstans wanalalamika sana jinsi Putin alivyopora mamlaka za majimbo kuhamishia serikali kuu.

Huo mfumo wa Republics/federalism wa Russia hauna tofauti na Congo inayojiita Jamuhuri ya "KiDemokrasia" ya Congo au Korea ya Kaskazini ya Kiduku inavyojiita "Jamuhuri ya Demokrasia" ya Korea[emoji1787]
 
Bro,this is gold,inahitaji uzi maalumu.kindly make it happen .sadakta
 
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
 
Hizo nchi zimeamua zenyewe kwa ridhaa zao kuunda ushirika huo mpya wa G8, kama ambavyo kuna G7, G20, EU, NATO, EAC, AU n.k...

Sasa sijui wewe 'mGweno' wa 'Same milimani' walialia nini hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…