Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Kwahiyo hitimisho lako ni kwamba kila muislam anaunga mkono uvamizi wa Russia?Hizi kauli za jumla jumla zinamtoka mtu ambaye hajakomaa!
Russia imeunda "G8 mpya" inayohusisha nchi za China, India, Russia, Indonesia, Brazil, Mexico, Iran, Turkey
View attachment 2257487
View attachment 2257494
Russia imeunda "G8 mpya" inayohusisha nchi za China, India, Russia, Indonesia, Brazil, Mexico, Iran, Turkey
View attachment 2257487
View attachment 2257494
Putin anapiga mtu,mkewe,shemej yake pamoja na baba mkwe wake[emoji28]
Too low ...jifunze kujenga hoja
Dah wewe jamaa ndio wale hua mnaamini kua USA ni mbinguni na Rais wa USA ni Mungu.
Maana hoja zako zote ni kuonesha kua USA ni Kila kitu,hakuna wengine wanaweza fanya bila USA.
Pole sana.
I second you .... Sky Eclat sikumbuki nimepingana naye kati lipi.... Ila Kuna vitu anavipiga low-profile... Mtu Mmoja anajielewa sana ... Katika jinsia za Ke.... Kongole kwakeDada Sky nimekufatikia muda mrefu na kwa komenti hii nimegundua kitu kimoja ulicho nacho.
Ni kuwa wewe ni mwema sana ,hupendi kuona mtu anaonewa,unapenda haki na kuheshimu watu wengine,hupendi blah blah,unapenda haki itendeke na ionekane kuwa imetendeka.
Na hiyo ndio tabia ya Putin.
Kwa kifupi umechagua upande wa haki.
Kwa kawaida Urusi ama china huanza na diplomasia na mwisho humaliza na vita ,
West hasa USA huanza na vita humaliza na diplomasia.
Putin ataleta heshima kwa wanaodharauliwa hapa duniani.
Hongera dada yangu.
Daah, [emoji17]Puttin amekuwa msumbufu sana. Uwezo wake wa maamuzi si wa kukejeli. Ukweli ni kuwa Inahitajika muda na akili zaidi kumwangusha huyu. Hard but possible.View attachment 2257654
Turkey ana shida yake ambayo NATO hawamuungi mkono ... Ya vita na Rebels ambao pia wanalindwa na baadhi ya nchi za NATO ... Anapiga miguu yote ...MIND YOU .... Turkey ndio second in Military power after USA ndio anafuata France .... Katika NATO membersTurkey si yupo NATO?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316][emoji1316]. Hawa jamaa wananifurahisha sana[emoji1787][emoji1787]
Nasoma kuhusu inflation hapa inabidi nikiri tu kuwa amekuwa smart. LAKINI NAAMINI NAFASI YA KUMSHINDA BADO IPO NA SI NDOGO.Kumbe unakili Putin ni mtu hatari, safi tuendelee kugonga glass waiter ongeza bucket ya heineken hapa
Kisu kimegusa mfupa ...ππππ Mpaka Tsh kukiri....Kumbe unakili Putin ni mtu hatari, safi tuendelee kugonga glass waiter ongeza bucket ya heineken hapa
Jeshi bora zana blaza.
Tena kuna waarabu na falme zao, tena wanarithishana + capital punishment....Vipi kuhusu UK na malkia wao?
Au ni powertila ipo shambaniBila kusahau howtizers zinateketeaView attachment 2257565
1.Rais wa Russia anaweza kulivunja bunge la nchi hiyo.
2.Rais wa Russia ana mamlaka ya ku suspend sheria zinazotungwa na hizo zinazoitwa Republics.
3.Hao wakuu wote hizo federations anawapendekeza yeye Putin, Romzan Kadyrov wa Chechnya aliteuliwa na Putin.
4.Hizo Republics kila zinaendeshwa kwa sheria za double standards kulingana na umuhimu wake kiuchumi au ubishi wa watu wake. Kuna sheria ilipitishwa na Medvedev mwake 2010 wakuu wa hizo Republics wasijiite Marais, Republics ya Tatarstan wakagoma hadi aliporudi Putin[emoji1787]
Tatarstans wanalalamika sana jinsi Putin alivyopora mamlaka za majimbo kuhamishia serikali kuu.
Huo mfumo wa Republics/federalism wa Russia hauna tofauti na Congo inayojiita Jamuhuri ya "KiDemokrasia" ya Congo au Korea ya Kaskazini ya Kiduku inavyojiita "Jamuhuri ya Demokrasia" ya Korea[emoji1787]
Hajashinda bado ingawa anastahili credit kwa cointer attack ya kuwa sababu ya inflation, ilitegemewa yeye ndo awe katika wakati mgumu wa kujieleza kwa raia wake ila naona Biden ndo imebidi ajieleze kwann kuna inflation. Kwa hilo huwezi kwepa kumpa credit ila naamini ni swala la muda tu na akili atakaa.Kisu kimegusa mfupa ...ππππ Mpaka Tsh kukiri....
Angalau wewe umeanza kuja kujaHajashinda bado ingawa anastahili credit kwa cointer attack ya kuwa sababu ya inflation, ilitegemewa yeye ndo awe katika wakati mgumu wa kujieleza kwa raia wake ila naona Biden ndo imebidi ajieleze kwann kuna inflation. Kwa hilo huwezi kwepa kumpa credit ila naamini ni swala la muda tu na akili atakaa.
Amezoea ukabila nchini mwaoWewe hayo umejuaje?Kwani humu jukwaani tunatambuana Kwa dini au makabila?Aisee