Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Joa alikuwa anajikuta nae ni neutral kama Tandahimba Vijisenti, Ila mahaba yakamwelemea. Unaweza mwelewesha asbuh mchana karudi kule kule. Yupo kama Zelecocaine, kuna mda anajua anavyoteseka... Akishapitia vumbi lake anarudi na kelele zingine.

Yule mbizi afadhali ya Joa, yule ni mwanamkiwi kasoro jinsia.
 
Historia ya nini, huyo Urusi nini kimemtoa ghafla akapeleka wanajeshi kwenda kufia kwenye nchi ya watu huku wakiua raia halafu nyie na dini yenu hiyo imewashikilia akili hamkai mfikirie, eti tu kisa mndhani anaikomoa Marekani.
Nasikia MOSCOW inawaka moto muda huu majeshi ya UKRAINE yanakiwasha balaa maeneo hayo
Kwahakika UKRAINE inaendelea vyema na OP zake
VIVA RUSSO VIVA RUSSOOO
 
Wee jamaa bana
Shukran sana MKUU sanaaaa
 
Historia ya nini, huyo Urusi nini kimemtoa ghafla akapeleka wanajeshi kwenda kufia kwenye nchi ya watu huku wakiua raia halafu nyie na dini yenu hiyo imewashikilia akili hamkai mfikirie, eti tu kisa mndhani anaikomoa Marekani.
ila we jamaa bwana mbona mm ni mkristo ila ni pro Russian kama CCM. Mm kwa Sasa tunaukristo wa aina mbili ule wa west ambao wewe umo ndani yake ambao unaruhusu ushoga, abortion, uyonyaji, ukoloni na mengineyo ila ukristo wa kweli upo afrika ambamo mm nipo sema mwamba umejificha kwenye kichaka Cha dini
 
Hata nchi tajiri za G7 zinategemea masoko ya hao ulowataja hapo juu
RUSSIA anawauzia vingapi G7 vp kuhusiana na UCHINA
nk nk.....
 
Wewe na hao watu wako huwa mnapambana dhidi ya uonevu gani kwenye jukwaa la kisiasa??

Mazingira ya kisiasa Tanzania ni mazuri kuliko ya Russia mara millioni!
 
Taratibu akili inaanza kuwakaa sawa eeeh[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nasikia MOSCOW inawaka moto muda huu majeshi ya UKRAINE yanakiwasha balaa maeneo hayo
Kwahakika UKRAINE inaendelea vyema na OP zake
VIVA RUSSO VIVA RUSSOOO
Special operation yenu ya siku tatu imeteka Kyev.
 
Wamenasa
VIVA RUSSSOOO
 
RUSSIA taifa TEULE
 

Ukristo hamna cha west wala Afrika, neno la Mungu ni lile lile na halibadiliki, wacha kukubali kushikiliwa akili, kuwa na mtizamo wako huru kuhusu huu ugomvi kama wanavyofanya wengine wote kasoro waislamu ambao wote wamemwagika kwa Putin, utadhani amekua mtume kwao.
Dini zingine kidogo wako balanced, kunao wanaunga mkono mauaji anayofanya Putin wakidai anaua mashoga, ila kunao wanapinga.
 
Mungu anawashangaa nyinyi baadhi ya wakristo wanafiki ambao mnataka urusi ianguke ili wale ndugu zenu wapate njia rahisi ya kueneza ushoga na upunbafu mwingine

Urusi nini kimemtuma akaue watu Ukraine, mumejificha kwenye mgongo wa ushoga, kwani Ukraine ndio inaongoza kwa ushoga dunia hii, halafu kama kweli wewe Mkristo kama unavyojidai, hivi mafundisho ya Kikristo yanafundisha kuwaua mashoga?
 
The Moscow Times!
Mkuu Yoda achana na hizo mambo za The Moscow Times, chukua hii hapa The Washington Post ambayo Marekani inasema kwa huzuni na majonzi kuwa Russia itakuwa imeshaichukua Jamuhuri yote ya watu wa Luhansk ndani ya wiki chache zijazo licha ya misaada kedekede ya silaha ambazo Marekani+NATO wamezimimina Ukraine

 
Wakati Zelensky akiendelea kushinda vita vya Ukraine huko mitandaoni twitter, BBC yaripoti kuwa Russia inagawa passports za Russia kwa wakazi wa majiji ya Kherson na Melitopol (Ukraine) ambao wameomba passport za Urusi na uraia wa Urusi (wanauvua uraia wa Ukraine rasmi). Zelensky amelalamikia hatua hiyo ya Russia akidai kuwa Russia yatengeneza raia wa Russia kwenye ardhi ya Ukraine..

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…