Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,188
- 4,188
Zelensky ndiye rais pekee duniani kwa karne hii mpya, yeye mwenyewe pamoja na watu wake wanaishi uhamishoni.Haijalishi chochote mtakacho jiliwaza nacho, ila Kyev iligoma kukamatika, mliangukia pua, Zelensky mliyempa masaa 24 aachie ngazi au aikimbie nchi, leo hii bado ndiye rais.
[emoji23][emoji23][emoji23]Unaelewa maana ya kupoteza independence?
View attachment 2257984
...became one of the regions of the Russian Federation. We unatwambia eti independent state, So wewe na Al Jazeera tumwamini nani? Kwanini mnakuwa na ujuaji wa kijinga mdau?
Independence ya Chechnya unayoizungumzia sii ya leo. Iliikoma 2009 mbona unakuwa mbishi sana mdau. Unasema kua na Jeshi ni kigezo tosha cha kua Independent. Haya wanaomiliki hizo Private military nao ni Independence?
Again, Kiongozi huyu wa Chechnya alitunukiwa wadhifa wa Lieutenant General na Putin.
View attachment 2257993
Unajua hicho cheo kina rank nafasi ya ngapi kutoka kwa Shoigu? If its independent state, Kwenye mfumo wa jeshi la Russia, Kadyrov anatafuta nini?
Ujuaji wa kijuha huo ndio unawafanya kua kama wajinga.
Tena hapo unatwambia federation ni serikali na serikali ya nchi zinazounda federation my foot. Uko serious kweli? So unataka kutwambia Russia kuna nchi 82? Moscow, St. Petersburg zikiwa among federal subjects hizo so nazo zote hizo ni nchi?
Dah!
Hivi kama kitu hukielewi kuna dhambi gani kukiri na kua huru kujifunza.
Zelensky ndiye rais pekee duniani kwa karne hii mpya, yeye mwenyewe pamoja na watu wake wanaishi uhamishoni.
Credit zote ziende kwa Putin
Yupo PolandUhamishoni???
Sijui nani amewashikilia akili...
jamaa alijua eti waislamu pekee yao ndio wanamsupport putin kumbe wakristo tunajua ubaya wa west tupo. Hata ivyo jamaa naona ni mweupe kabisa kwenye Mambo ya dini nime mwambia Kama anamlaani Putin kwa kutumia maandiko hivyohivyo amlaani zelensky kwa kutokumpenda jirani yake kwa kutaka kumkutunisha jirani na adui . Jamaa ameishia kusema mm nina majini sijui ndo niniWakenya wameshazoea ukabila huko kwao,na ndio maana akaona alete Mambo ya udini kwny hii thread akidhani atatugaws kwa misingi hio.
Mimi Ni mkristo kwa 100% na itabaki kua hivyo milele na milele na nina-support wanachokifanya Russia chini ya The Great CIC Vladimir Putin na Nina amini US na West ndio baba wa Maasi hapa duniani.
Republic ni nchi inayoongozwa na rais aliyechaguliwa na watu na nchi iweze kuchagua rais lazima kwanza iwe huru. State ni sifa ya kuwa na serikali ,jeshi ,watu na ardhi ama territory . Kutokea hapo utakua na majibu. Tanzania ni Republic kwa maana ya raisi mwenye mamlaka anayetokana na watu na ni state kwa sifa hizo hapo juu . Tanzania sio federation ni muungano kamili ingawa ni wa kiaina . Tunaitwa United Republic of Tanzania .United kwa maana ya muungano . Republic kwa sifa zilizoainishwa hapo.Mnachanganyana,
Chechnya ni Mkoa(region), Republic(jamuhuri) au State/federal(jimbo)??
Nadhani bado upo kwenye de jure . Ningependa uelekeze hoja zako katika de facto . Wanajeshi wa Kizanzibari hawaitwi wazanzibari ni wanajeshi wa Tanzania . Hawa jamaa wana jeshi lao hiyo ni sifa ya dola .Wana serekali yao , Wana mipaka yao na watu wao ndio maana unatajiwa idadi yao na wana tamaduni yao lugha dini nk.Hayo unayokazana nayo ni de jure aspect ila in practice and real sense ni independent.
Federation inakuwa na serekali kuu na serekali za nchi zinazounda hiyo federation. Tofauti huja kisheria na kiutendaji juu ya kiwango cha mamlaka kati ya central gvt na nchi zinazounda federation na msingi wake ni historia ikihusisha sababu na asili utofauti au ulingano kati ya wanaounda huo muunganiko
Sema mkuu unapiga sana kichwani, utaua! Jamaa kila akitokeza kichwa unashusha rungu [emoji13][emoji13][emoji13]Hiyo "kyev" uliyoandika hapo ipo nchi gani? Mbona sijawahi sikia kitu kinaitwa "kyev" hii inaonesha jinsi gani ambavyo akili yako haina akili.
USA kapambana na wataliban miaka 20 mwisho wa siku akaishia kukimbia kama mbwa koko bila kudhibiti kijiji hata kimoja, leo hii unashangaa Urusi iliyo tumia siku100 kuteka 20% ya nchi kubwa ya pili kwa ukubwa barani ulaya?
☆Au hujui kwasasa Ukraine inanunua umeme wake kwa Urusi in ruble?
☆na Hujui kuwa Urusi anasafirisha kila siku malighafi za Chuma kutoka Mariupo?
☆Pia hujui kuwa Ukraine kwasasa hawez kusafirisha chochote kupitia bandari zake bila ruhusa ya Urusi?
☆na nani alikwambia kuwa Mrusi ana shida na Kyiv, kwa faida gani?
Na inaonesha kwa akili zako mgando wakikwambia uchague jiji la kumiliki kati ya DSM na Dodoma, utachagua Dodoma kisa ni makao makuu ya nchi. (wewe@MK254 ni bureee kabisa)
My friend, toa hizo akili zako kiuononi uzihamishie kichwani, ili unapochezesha hicho kiuno chako akili zako zisiyumbe, hiyo itasaidia kuepuka kuandika ugoro wako hapa Jf.
Republic ni nchi inayoongozwa na rais aliyechaguliwa na watu na nchi iweze kuchagua rais lazima kwanza iwe huru. State ni sifa ya kuwa na serikali ,jeshi ,watu na ardhi ama territory . Kutokea hapo utakua na majibu. Tanzania ni Republic kwa maana ya raisi mwenye mamlaka anayetokana na watu na ni state kwa sifa hizo hapo juu . Tanzania sio federation ni muungano kamili ingawa ni wa kiaina . Tunaitwa United Republic of Tanzania .United kwa maana ya muungano . Republic kwa sifa zilizoainishwa hapo.
Jambo kubwa na la msingi ni kupima hizo sifa hapo katika karatasi na katika uendeshaji yaani hali halisi. Ni wazi Zanzibar haina sera ya mambo ya nje ni wazi pia kwamba Zanzibar ina internal sovereignty ya kiwango fulani yaani autonomy . Unafahamu Zanzibar ilipenyeza kipengele cha kujumuisha eneo la bahari linaloizunguka ikaleta shida . Unafahamu Zanzibar rais atagawa mikoa ila kwa approval ya rais wa URT. Unafahamu wizara za muungano? Hapo ndipo inakua makosa kulinganisha Zanzibar na Chechynia. Zaidi Zanzibar haina foreign policy yake .Je Chechynia inayo? au haina .Je chechyn ina jeshi ? Je mamlaka ya raisi wa Chechynia ki uhalisia ipo ama inalindwa na Russia. Je huyu rais wa Chechynia alichaguliwaje ? Na hizi sheria ama katiba vilipatikana vipi? Ni uchawa wa Kadyov ama ni kupitia mifumo ? Kuna mengi ya kutazama tusiishie kutazama bendera
Zaidi Zanzibar haina foreign policy yake .Je Chechynia inayo? au haina .Je chechyn ina jeshi ? Je mamlaka ya raisi wa Chechynia ki uhalisia ipo ama inalindwa na Russia. Je huyu rais wa Chechynia alichaguliwaje ? Na hizi sheria ama katiba vilipatikana vipi? Ni uchawa wa Kadyov ama ni kupitia mifumo ? Kuna mengi ya kutazama tusiishie kutazama benderaRepublic ni nchi inayoongozwa na rais aliyechaguliwa na watu na nchi iweze kuchagua rais lazima kwanza iwe huru. State ni sifa ya kuwa na serikali ,jeshi ,watu na ardhi ama territory . Kutokea hapo utakua na majibu. Tanzania ni Republic kwa maana ya raisi mwenye mamlaka anayetokana na watu na ni state kwa sifa hizo hapo juu . Tanzania sio federation ni muungano kamili ingawa ni wa kiaina . Tunaitwa United Republic of Tanzania .United kwa maana ya muungano . Republic kwa sifa zilizoainishwa hapo.
Jambo kubwa na la msingi ni kupima hizo sifa hapo katika karatasi na katika uendeshaji yaani hali halisi. Ni wazi Zanzibar haina sera ya mambo ya nje ni wazi pia kwamba Zanzibar ina internal sovereignty ya kiwango fulani yaani autonomy . Unafahamu Zanzibar ilipenyeza kipengele cha kujumuisha eneo la bahari linaloizunguka ikaleta shida . Unafahamu Zanzibar rais atagawa mikoa ila kwa approval ya rais wa URT. Unafahamu wizara za muungano? Hapo ndipo inakua makosa kulinganisha Zanzibar na Chechynia. Zaidi Zanzibar haina foreign policy yake .Je Chechynia inayo? au haina .Je chechyn ina jeshi ? Je mamlaka ya raisi wa Chechynia ki uhalisia ipo ama inalindwa na Russia. Je huyu rais wa Chechynia alichaguliwaje ? Na hizi sheria ama katiba vilipatikana vipi? Ni uchawa wa Kadyov ama ni kupitia mifumo ? Kuna mengi ya kutazama tusiishie kutazama bendera
Huyu nae nimemvulia kofia, tutaingia kwenye league za kingese kubishana utopolo usio na maana!Zaidi Zanzibar haina foreign policy yake .Je Chechynia inayo? au haina .Je chechyn ina jeshi ? Je mamlaka ya raisi wa Chechynia ki uhalisia ipo ama inalindwa na Russia. Je huyu rais wa Chechynia alichaguliwaje ? Na hizi sheria ama katiba vilipatikana vipi? Ni uchawa wa Kadyov ama ni kupitia mifumo ? Kuna mengi ya kutazama tusiishie kutazama bendera
Haya maswali mwamba kama ungekuwa unayajua majibu yake basi usingeng'ang'ana na kile ulichonacho.
Chechnya kama republic zingine, ni kauli ya lee van cliff walau ndio ilikaribiana na ukweli. Chechnya aligain independence unayoizungumza baada ya vita ya kwanza ya Chechnya, na wakapoteza uhuru huo kurudi kua region of Russia baada ya Vita ya pili ya Chechnya.
Kadyrov kabla ya kua President of Chechnya alikuwa Acting President kwa kuteuliwa na Putin.
Na hivi sasa hakuna kitu inaitwa President ndani ya Chechnya. Kadyrov ni Head of Government Chechen Republic na Lieutenant General in the Russian Military.
Kua mwelewa mwamba.
Mbona unaandika huku unalia braza?🤣🤣🤣Serikali kuu ya Kremlin na Putin huko Russia ndio kila kitu, hizo sijui de jure, de facto mnazobishania ni blah blah tu. Putin ndiye anawaweka na kuwaondoa wakuu wa hizo so called Republics.
Hizo Republics ukiacha Chechnya iliyochukiliwa kutoka vitani nyingine zote zimeundwa na Kremlin na yenyewe ndio inaziendesha, Hakuna anayeweza kum challenge Putin kwa chochote.
Kanisikitisha sana, kwa tafsiri yake hiyo ina maana hata hizi halmashauri zinazopanga na kujifanyia mambo yao nje ya serikali kuu kwa ngazi ya halmashauri nazo tuziite ni Independent StatesHuyu nae nimemvulia kofia, tutaingia kwenye league za kingese kubishana utopolo usio na maana!
NDIO,Urusi nini kimemtuma akaue watu Ukraine, mumejificha kwenye mgongo wa ushoga, kwani Ukraine ndio inaongoza kwa ushoga dunia hii, halafu kama kweli wewe Mkristo kama unavyojidai, hivi mafundisho ya Kikristo yanafundisha kuwaua mashoga?