Hebu tutajie ni silaha zipi kubwa mrusi katumia kwenye hii vita? pardon me na ni gharama kubwa kiasi gani katumia in figure i mean how much billions of dollar did he spend? hivi unajua hii ni millitary operation na sio an all out war? hivi unajua lengo la mrusi kwenye hii vita?Mkuu Putin kwa gharama kubwa za maandalizi ya vita alizofanya Putin dhidi ya Ukraine hakuna mtu alietarajia kuwa jamaa angeanza kuomba poo kabla hata ya week.
Warusi wa JF watakuja wakuporomoshee maneno hapa,wana mzuka wa vita hatari,yani wako frontline pale Mlandizi wanakiwasha kumkomesha UkrainePutin bye bye!
Wahindi nao wamemkimbia.
Tupo frontline Mkuu tunapambana kwa maneno,tunazijua silaha zote,ki ufupi tuna Silaha zote za Nyukilia,tunazimiliki kupitia midomo yetu,tuache tuumalize huu mtanange wa Vita vya mdomoni,lakini usituambie hata siku moja tujiunge hata na JKT,huko hatuwezi kamwe.Wakati hata bastora hawajui inavyoshikwa. Iwe ndio vita
Mkuu,unataka kuumbua watu hapa sasa,wewe soma tu na ukubaliane na kila kinachoandikwa hapa,watu wako ndani ya Kiev wanareport Live.Cardless ulishatuambia mji umebaki mmoja tu na wamezingirwa? Sasa Wamerudi nyuma kuelekea wapi?
Sawa. Ila Urusi hastaili kupewa sifa akimaliza kumpiga Ukraine, Ila Ukraine anastahili sifa kwa kupambana na Urusi mpaka muda huu sababu wote tunajua kuwa Ukraine ni mtoto sana kwa Urusi kijeshi.Wapi nilisema mji umebaki mmoja?? Mkuu soma vizuri
[emoji2960][emoji848]Nipo na Mo Energy na pop corn, naangalia namna Urusi anavyomnyonya mavi ukraine(enjoying Russia probing Ukraine's anus
Hii inaitwa RS-24 Yars. Zipo kama 500 hivi zimewekwa stend by. NATO yeyote akitia pua halali yetu.Mkuu,unataka kuumbua watu hapa sasa,wewe soma tu na ukubaliane na kila kinachoandikwa hapa,watu wako ndani ya Kiev wanareport Live.
😀😀😀😀. Ila Urusi mpaka sasa hajachukua tu ile nchi, Ukraine anapambana kwa kweli. Kila nikifanya kazi nikasema nichungulie nakuta hadithi zile zile za Urusi ni noma, anamtandika Ukraine kweli kweli.Mkuu,unataka kuumbua watu hapa sasa,wewe soma tu na ukubaliane na kila kinachoandikwa hapa,watu wako ndani ya Kiev wanareport Live.
Wewe ni mwandishi was unaye mpikia debe? Na je upo Kwa mpalange, Ukraine au Russia hivi sasa😃Warusi wa kwa mpalange watapinga.View attachment 2135206
Myah muah muah muah kitu hicho. When it hits,all secret parts will be prone to the SunHii inaitwa RS-24 Yars. Zipo kama 500 hivi zimewekwa stend by. NATO yeyote akitia pua halali yetu.
View attachment 2135214
View attachment 2135215
Sikuwa hewani kwa muda pia,nikasema acha nirudi nione ile mikwara ya "msafara wa km 40" kwenda kuifuta Kiev utakuwa umeshamaliza kazi na watu wanapop Champagne,nakuja nakutana na screenshot zimejazana hapa za yale yale ya asubuhi na ambayo tunajionea wenyewe pia kupitia hizo media wanazocopy,nikaona kumbe bado ni blah blah tu😀😀😀😀. Ila Urusi mpaka sasa hajachukua tu ile nchi, Ukraine anapambana kwa kweli. Kila nikifanya kazi nikasema nichungulie nakuta hadithi zile zile za Urusi ni noma, anamtandika Ukraine kweli kweli.
Tuungane tumalize ya kongo kwanza.. maana ya hawa blue eyes na blond hair hayatuhusu kabsaaaaaaaa acha wapasuane tuuNow nimeanza kuwaonea huruma UKRAINE. Dah wanayopitia ni magumu sana. Ila ningekuwa na uwezo ningemshauri Rais wa UKRAINE akubaliane na Russia kwa sasa hivi. Huku wakijpanga kwa teknolojia huko mbeleni. Ukraine sasa hivi imerudi nyuma sana. Mungu awasaidie. Tuache utimu tuungane kuhakikisha mzozo huu unamalizika kwa njia ya mazungumzo na sio kwa hali hii.
Naapa wallah wabillah,Ningekuwa Putin mda huu kule Ukraine kungekua archaeologist tu wakiwa bize kufukua fukua kuokota na ku lebel joints,ribs,skulls,vigae na vyunguUkraine naskia kawa rejected kujiunga na EU hahahaaa...
EU na US sio wakuaminika hawa...Rais wa ukraine ka anaakili anyoshe mikono tuu maana yajayo kuanzia kesho sio mazuri kwa kiumbe yeyote atakaekua kyv ...
Ana mweshimu mbabe mwenzie, hapo nakuusoma mchezo ili aujue uimara wa adui/hasimu na kuujua udhaifu wake.Marekani anaogopa?
Sasa vipi mtoto nanavyoungana na wasaliti kumhujumu baba na mama yake🤔Sawa. Ila Urusi hastaili kupewa sifa akimaliza kumpiga Ukraine, Ila Ukraine anastahili sifa kwa kupambana na Urusi mpaka muda huu sababu wote tunajua kuwa Ukraine ni mtoto sana kwa Urusi kijeshi.
japokuwa wametengeneza mobile units lkn still watakaa kwe baadhi ya kambi maana si kila kifaa ni rahisi kuhamahama,Nimeona hii habari kwenye ukurasa wa telegram, wa meya wa khakiv.sijui ilikuwaje kakaa wengi ivyo kwenye iyo base