MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Si kweli
Naona unajaribu kweli kweli kuuingiza udini kwenye huu mjadala.Mimi napambana na Warusi wenyewe kule kwenye mitandao yao ya propaganda sembuse nyie hapo waganga njaa kwenye mitaa ya Buza.
Waarabu wenye dini yao wamepiga kimya kwa mshangao, hawaamini huyu ndiye Mrusi waliyemtegemea siku zote.....ha ha ha!! Hadi raha yaani.
Leo hii Urusi kesha dhihirisha madhaifu yake, aendelee kuteka huto tumiji twa huko mipakani japo na twenyewe tunampa tabu, majenerali wameuawa kama senene.
Huyu tayari kashahishiwa hoja.Hamna, united ipi, hakuna mwafrika hata mmoja muumini wa dini ya waarabu ambaye kwa sasa hamuabudu Putin, mumeaminishwa kwa yeye kupambana na Ukraine anaikomoa Marekani na ukizingatia mlivyojazwa chuki dhidi ya Marekani (licha ya wengi wenu kutamani kwenda kula bata huko huko Marekani).
Kwa namna mnavyopata hasira kila mkiona taarifa za Urusi anavyteswa na hivi vita yaani napata raha sana.
Akija kugeuka hamuoni mtuHuyu tayari kashahishiwa hoja.
Mufilisi
Uko nje ya muda mkuu. Uarabu uizungumziayo Leo Ni allies was Us karibu wote. Rudi katika vyanzoHamnaa, kwa muda mrefu waarabu na dini yao na pia waajemi na hata wafuasi wa hiyo dini ya waarabu kote ikiwemo Bongo, wote wamekua wakiitegemea Urusi kama komesha la Marekani, ila kwa aibu hii, wamemshangaa sana na ndio maana humu wafuasi wa waarabu hamkomi nyuzi za kumsifia na kumuabudu Putin.
Ha ha haa pale ma giant wawili yanapofanyiana utani sisi vi digidigi tunachungulia TU kwa mbali Huku nasi tukichekelea na kufurahi[emoji23][emoji23][emoji23]
Tulia mwamba we ni dogo tu hizo ndevu zisikudanganye
👏👏👏👏👏👏👏👏👏💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸U.S. paid 2 bln in rubles for astronaut's trip via Russian spacecraft: Roscosmos
Russian Space Agency official said U.S. has already paid in rubles for its astronaut's flight on Russian spacecraft in an interview on Saturday, according to China Media Group.news.cgtn.com
U.S. paid 2 bln in rubles for astronaut's trip via Russian spacecraft: Roscosmos
Russian Space Agency official said U.S. has already paid in rubles for its astronaut's flight on Russian spacecraft in an interview on Saturday, according to China Media Group.news.cgtn.com
Tena watalipa kwa ruble
Soma komenti na. 50145Russia ipo vizuri sana mkuu. Hata mfumo wao wa Uongozi ni mzuri na ndo maana karibu kila idara yao ipo vizuri.
🤣🤣🤣🤣🤣,Naongeza pia asome komenti na.50145.Yoda,
Leo sijaona comment yako kwenye huu uzi. Kwema?
Ukipata muda soma nasaha za Katibu Mkuu wa NATO, Jens Stoltenberg.
Usiku mwema.
🤣🤣🤣🤣🤣Kaamua kujialika kwenye futari[emoji28]
👏👏👏👏👏👏🤝🤝🤝🤝🤝👍👍👍👍👍💪💪💪💪💪💪Za ndani kabisa,
Baada ya ghala kubwa ambalo lilikua linahifadh mzigo wote wa silaha unaotoka kwa wahisan kugundulika na kulipuliwa hatimaye wahisan wamekubal bora yaishe wafanye shughul nyingine.
Ghala husika ambalo lilikua mbali kabisa tena iliaminika ni bonge la chimbo baada ya kuthibitishwa na majasus nguli wa mataifa fadhili na waitifak wao chakushangaza jamaa wamelishtukia kwa namna ambayo mpaka sasa majasus hawaelew ilikuaje mpaka wakalishtukia hilo chimbo.
Kinachouma zaid kuna mzigo ambao masponsa waliamin utaenda kumtia hasara adui lkn kabla hata store keeper hajausajil jamaa wameuvurumishia kombora km zote.
Ref;Muuza viatu vya mtumba karume mchikichin
Naomba na Mimi nichangie kwenye hiki kpengele.Nadhani bado upo kwenye de jure . Ningependa uelekeze hoja zako katika de facto . Wanajeshi wa Kizanzibari hawaitwi wazanzibari ni wanajeshi wa Tanzania . Hawa jamaa wana jeshi lao hiyo ni sifa ya dola .Wana serekali yao , Wana mipaka yao na watu wao ndio maana unatajiwa idadi yao na wana tamaduni yao lugha dini nk.Hayo unayokazana nayo ni de jure aspect ila in practice and real sense ni independent.
Federation inakuwa na serekali kuu na serekali za nchi zinazounda hiyo federation. Tofauti huja kisheria na kiutendaji juu ya kiwango cha mamlaka kati ya central gvt na nchi zinazounda federation na msingi wake ni historia ikihusisha sababu na asili utofauti au ulingano kati ya wanaounda huo muunganiko
Nami nasema sio kweli . Kuna Egypt , SA, Ethiopia , Morroco , Algeria Nigeria sisi ni kuanzia namba kumi nadhani.Si kweli
Misri 99% ni waislam?!Waarabu na dini yao? Hi statement Ni Tata Sana lakini pia mwandishi anaonekana Bado anaishi kwenye cold war ambapo Soviet Russia ilikuwa na Marafiki was kweli ( allies) was kiarabu Misri, Saudia,Qatar, Libya, Iraq na wengine wengi ambapo kiukweli nchi hizi waislam Ni 99% kasoro Lebanon na Syria zenye idadai kubwa kabisa ya wasiokuwa waislam yaani wakristo na wasio wakristo.
Lakini kabla na baada ya Vita baridi hasa baada ya Yom Kippur war aliies was kiarabu wa Soviet Russia wote walihamia kuwa marafiki wa US. Mfano Misri iliingia mkataba was amani na Israel chini ya Us hivyo Misri ikawajaa chini ya US kiushawishi.
Vivyo hivyo kwa Saudia nk. Ni Saudia aliyetoa fedha za kugharamia Vita dhidi y Soviet Russia katika Afghanistan 1979-1988 kuonyesha Kwamba Yuko side ya Marekani.
Kwahiyo basi ukiitoa Syria na Lebanon kidogo Hakuna nchi ya kiarabu ambayo Ni rafiki wa kufa na kuzikana.
Nchi zote za kiarabu mfanowe Qatar,Oman, Saudia nk Sasa Ni marafiki wakubwa was US na Kuna makambi kibao ya kijeshi.
Ni ajabu unapotuaminisha Kwamba Kuna Urusi na Marafiki zake waarabu na dini yao!
Aisee ngoja nijifunze japa.Unajua Putin station yake ilikuwa wapi!!? Unajua alitorosha na kuthread sleepy agents wangapi akiwa ndio REZIDENTURA wa KGB WEST SOVIET !!? UNAELEWA KWANZA MAANA YA REZIDENTURA!!?? ... NYIEEE NYIEEEE ....NAWAONEA HURUMAAAA ....
Mwishowe kuna upande lazima ukubali kupoteza ili vita isimame.🇪🇺Italian Prime Minister Mario Draghi, German Chancellor Olaf Scholz and French President Emmanuel Macron are planning a joint visit to Kyiv on June 16, La Stampa reports.
There is an assumption that the purpose of the visit of high-ranking European politicians is to reason with Kyiv to accept the conditions of Russia and stop the war.
Ha ha ha huyo mpaka nimuibie dada ake ataacha kuniita dogo 😂Ha ha haa pale ma giant wawili yanapofanyiana utani sisi vi digidigi tunachungulia TU kwa mbali Huku nasi tukichekelea na kufurahi