Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Hapa umesema 1+1=2 au umesema 1+1=11 ???Kwa hiyo lengo lako hapa ni lipi ? Yaani unataka kutuambia nini ?
katambike mkuu,kwa m9zimu ya babu zetuJamani hii Vita Mbona Haiishi. Nimesali Lakini Bado. Au Nimekosea Wapi Wadau Tushirikiane Jamani Maana Amani Ni Jambo Zuri.
Yaaani sanaaaa 😂😂😂😂watesi wa wababu wa mababu zangu na wenyewe wanawababe wao.Shangazi una moto si wa nchi hii...
Umenifanya niwaze sauti yako, JF inabidi waweke Voice Note Option. Hilo shangwe lingesindikizwa kwa sauti lingekuwa ni mouuutooo ha ha h!
Anaomba asaidiwe baada ya yeyye kusaidia mpaka kuishiwaUchaguzi ujao wananchi wa poland wanapaswa wamchague mchezaji robert lewandowski awe rais wao. Raisi wa poland amewaomba nchi washirika wamsaidie silaha baada ya silaha zake kuwapa ukraine. Sijui mmenielewa
Vita au operation huwaje?. Tupe mfano wa vita unayoijua weweMrusi anabomoa majengo, mitaro ya maji safi na taka... huu si ubinadamu. Vita imegeuka ya kuharibu miundombinu na majengo, this is not acceptable; kimataifa Putin kachemka vibaya sana.
Naam lakini ujue kipi mdau, hapo umeenda kutafuta maana ya neno Cabal pekee ila sio siri iliyojificha kwenye hilo neno! Ni kubwa zaidi ya hapo.Hilo neno nimelitafuta na nikajua maana yake. Wazungu wa kimagharibi wapo hivyo wanataka tuwaone sooo special. Kuleta ugomvi tu ambao hauna maana ili watetemekewe.
"We have something to offer each other"Medvedev kashusha uzi mrefu ila nimeamua ku'copy hiki kijisehem niwaletee
We will consistently expand cooperation with our friendly countries in Asia, Africa and Latin America. We have something to offer each other.
Now it is necessary to accurately determine the possible volumes of supplies of our energy resources, including from the Arctic, in these areas.
And also to analyze in detail the prices for their products, which would meet national interests.
Putin ni katili, anaua watu sababu he got nothing to loose at his age 70+, he has eaten his life already now teminating life of innocent youngsters below 35.Vita au operation huwaje?. Tupe mfano wa vita unayoijua wewe
Putin ni katili, anaua watu sababu he got nothing to loose at his age 70+, he has eaten his life already now teminating life of innocent youngsters below 35.
Tena kwa sababu ya kijinga kijinga za kale wakati wa Soviet union.
French Foreign Ministry: before joining the EU in Ukraine, hostilities must first cease, and only then it is necessary to discuss the conditions of its membership
Walizoea vita nyepesi.iraq, Afhanistan na Libya.Kitu alichotumia mrusi kuangamiza silaha za msaada za marekani Kwa Ukraine, 12,000km/hr kinaweza kwenda chini ya ardhi 136m
View attachment 2260522
Umejuaje kama alifaulu mitihani?Uliwezaje kufaulu mitihani kwa akili hii
Huh, that's goodness of Russia. The best of the Eastern side. Ni mutual benefit pande zote hakuna kunyonyana. Sio kama hawa Parasite wa West wanaoleta "ndom" in condition of being Sodomized!"We have something to offer each other"
It's our time baby🤩🤩🤩🤩