Umeenda shule halafu umendinwa ku grasp a simple joke?? " 😀 😀 😀 "Hizi emoji hujui maana yake?Moscow huwezi piga Bomu lolote, wana intercept za maana sana pale. Umefikiria kama mtu usiyepita shule au kufuatilia mambo ya kivita.
Nchi ndogo!!!!?????Hivi Russia anafaidika nini kuvichukua vi nchi vidogo vidogo kama hivi?
Kwanini asingewashawishi kwa amani kama kuna maslahi pande zote ili waridhiane na sio kutumia nguvu?
Kwa watu wanaokandamiza watu wenye asili ya kirusi au wanaoongea kirusi na kuondolewa status ya kutokuwa mtu wa asili wa Taifa la Ukraine na Neo Nazis wa Ukraine walioshikiria serikari ya Kyiv.Ndio maana ninaona Putini ni fala tu, hana sababu ya kuua ili achukue ndg zake bali angewaonyesha upendo na uhusiano mwema hatimaye waongee kuhusu kuungana
🤣🤣🤣Yaani ukifungua JF Vita inapiganwa na Ukraine kazidiwa hatari..Ila ukiangalia international news unaona Mambo tofauti from reporters ..naona hapa BBCwanajeshi wa Russia wamekufa na ndege zimetunguliwa za Russia...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Humu tupo wafia Putini atuwezi kuleta habari za kitungulia ndege zetu hata siku mojaYaani ukifungua JF Vita inapiganwa na Ukraine kazidiwa hatari..Ila ukiangalia international news unaona Mambo tofauti from reporters ..naona hapa BBCwanajeshi wa Russia wamekufa na ndege zimetunguliwa za Russia...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wanaweka Rais ambae ni kibaraka wa Urusi.Mwisho wake nini,
Wakishateka miji yote ndo wanachukua umiliki wa nchi?
kutunza heshima ndio kutawagharimuKwa jinsi ilivyo its better akae na urusi atafute suluhu kuliko kuruhusu nchi yake kugeuka uwanja wa vita,
Malaki ya raia watapoteza maisha na miundombinu itaharibika na haitarudi kuwa kama zamani tena
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Humu tupo wafia Putini atuwezi kuleta habari za kitungulia ndege zetu hata siku moja
Ndio zetu[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Wanaweka Rais ambae ni kibaraka wa Urusi.
Wanajeshi wa Ukraine wamelala mbele kuoga kipigo cha mbwa mwiziHali sio nzuri kwenye Ardhi ya ukraine, ndege za Warusi zinaonekana kwenye anga la Ukraine na milio ya mabomu inasikima kila sehemu ya nchi ya Ukraine.
Inasemekana mpaka sasa mji wa Maliupol umeanguka kwenye mikono ya Warusi baada ya wanajeshi wa Ukraine kukimbia mashambulizi.
Hata sadam tulimsifu hvi hvi kuwa ni mwanaume 😀😀😀 marekani ni mkorofi Ila tukubali tu kuwa kuna kitu kaongezewa .... China hawez kufanya ujinga wa kupeleka majeshi kusaidia urusi , na Russia hawezi kustand alone dhidi ya western countries , anaweza fanya hvyo Kwa mda mfupi , tatizo vikwazo vikiongezeka alaf western wakaweka full-scale invasion , Russia hawez ku-hold Kwa miaka miwili au minne ya vita lazima achapike tuu. Unless marekani aone tuu hakuna mchongo wa maana kwenda Ukraine wakat kuna option ya nchi nyingi zinazoweza kuwa puppet wa USA near russiaPutin ukitaka achague mradi wa gas na nord stream 2 au ukraine asain mkataba wa kuungana na nato unahisi atachagua kipi ?
atachagua kuivamia ukraine na kuzuia mkataba.
kitu ambacho hawajui media za marekani,ufaransa,australia,ujerumani na bbc zilizo africa kwa kifupi radio mbao zote zilizopo upande wa nato hata urusi.
"""" alivyozindua avangard hypersonic missile linatoka urus mpaka marekani moja kwa moja na bomu la zurcon ambalo marekani hana" mlitangaziwa nawauliza hii habari mara mbili mbili zaidi zaidi huwa mnasikia habari za kiduku tuuu"
hizo media zinamaongezi ya kuonyesha usupa power kwa NATO countries au kuonysha kama urusi hana nguvu za kufanya lolote au wamesalender.
Nawapa taarifa lugha anayo ongea putin na uchina hamuijui kabisa ? wiki iliyopita uchina ilitoa tamko la kuiunga mkono urusi, belarus walimuunga mkono urusi na taarifa nyingi hamzipati kwa sababu "zinachujwa" ....... na kupewa zenye kuonesha urus si kitu.
Ukitaka ujue urusi ni mwanaume nitakuorodheshea mambo kadhaa hapa :…
1. Rais wa ufaransa alienda urusi kufanya maongezi ili wamtulize lakini alipigwa chini hakuonekana kitu, watu kitu ambacho hawaelewi ni kuwa BIDEN kaharibu sana .
2. Cancellor wa ujerumani kwa kiasi kikubwa ndio kasikilizwa baada ya ziara ya jana ukraine na kwenda urusi leo na putin kasema atapunguza troops kule.
3. Nchi zaidi ya 7 kubwa ikiwemo marekani, wingereza,ujerumani,ufaransa wanamuongelea urusi peke yake .
4. Hivi urusi hamjiulizi kwa nini viongozi wakubwa ndio wanamfata kwenye nchi yake lakini jamaa amewakazia mpaka cancellor wa ujerumani ndio kasikilizwa dunia nzima wanaiogopa NATO chini ya U.S.A kwa sababu ya propaganda.
halafu media za NATO zinavyoripoti et putin anatoa majeshi kama kaogopa vilee au hawezi kuvamia yani watu ni wanadanganywa na media.
kwa kifupi mimi nafatilia maneno ya putin kupita media yao ya RT .
kimachofanya asikurupuke anajua kwamba viongozi wa hii dunia ya leo hawajielewi yeye toka mwaka 2000 kaanza na bush,obama,trump anawajua vizuri hlf huyu biden.
1. BiDEN MGONJWA U.S.A
2. RAIS WA UKRAINE ALIKUA MCHEKESHAJI sio kiongozi mwenye uzto.
3. MACRON NI MTOTO bado hajakomaaa kwa maono ya putin.
KIDOGO KWA SASA ANAWEZA SEMA NA KIONGOZI WA UJERUMANI KWA SABABU VIONGOZI WAKE NI WATU WANAOJUA HISTORIA
KWA KIFUPI CANSELLOR WA UJERUMANI KATOA HOJA YA MSINGI KUWA KWA KIZAZI CHA SASA HAKITAJI VITA KAMA KIPINDI WALIVYO SHUHUDIA WAO ATHARI ZAKE NA KUELEZEA NAMNA WANAVYOTAKIWA KUFOCUS NA UWEKEZAJI.
Putin kamuelewa yule cansellor hata mimi hoja za cansellor wa ujerumani nimeziona zinastahili kupunguza jazba ya Putin.
NB : Putin ndio anaongoza kwa bomu za nuclear duniani msisahau hilo licha ya nchi saba kumtaka peke yake.
Unauliza makofi polisi?Mwisho wake nini,
Wakishateka miji yote ndo wanachukua umiliki wa nchi?
Uliziona wapiMarekani ana aircraft carriers 11 urusi ana 2, military budget ni mara tatu ya Russia