Ni siku nyingi suala la Udini umeli ng'ang'ania Sana kwenye huu mjadala.
Ukichunguza in and out hakuna udini hiyo ni propaganda mpya yakwako (Pro NATO) nje ya uwanja wa vita. Unatumia kichaka cha Udini kuleta hoja dhaifu sana.
NATO wanapigwa sana na inatia huruma kwa vifo vitokanavyo -Mungu awajalie wepesi Raia wanaoteseka huko bila kosa lolote bali makosa ya Zelensky.
Sasa acha kutafuta huruma kupitia udini. Tueleze kwa nini NATO munapigwa na Russia muliodai inatumia old technology weapons? Usisahau yanayo endelea huko Azov
Acha sindano iendelee kuingia taratibu, Zelensky told Ukraine soldiers in Severodonetsk Azot plant to surrender. And he says Ukrainians military losses are 'painful.
Unajua MK254 kuna muda unazingua sana asee, Umeona Ukraine inafirimbwa huko unakuja na mada za Dini sio 🤔.
Tuta suport vitu vya maana kutoka USA kama Operating systems (Android,Windows) na sio kupumuliwa unakoshabikia wewe.
Mkuu pumzisha adrenaline utakufa kabla ya muda wakoUdini umejionyesha wazi, wala sio mimi ni nyie mumejiweka kidini ambayo huwa mumejiweka kuchukia Marekani ila mnawategemea kwa kila kitu, kama kweli hamuwataki anza kwa kucha kutumia hii JF, maana kila kitu kwa namna fulani kina Umarekani ndani yake.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uzalendo unapigania nn?? Na ukifa familia yako atailisha nan, ila kuzingira na mkaingia chemba ni survivle tactic, bila kuingia chember watauwawa, na warusi kuzingira hyo ni tactic pia
Mkuu pumzisha adrenaline utakufa kabla ya muda wako
Huyu Pro NATO ni mtupu mpaka anajipotosha. Nimempa one reply in a day.[emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa nikiiwambia maximum reply kwa Pro-NATO ni moja, huwa najihisi kama nawaingilia uhuru wenu wa kuzungumza!
Lakini kiukweli kabisa facilitator wa pumba zao kuzidi kumiminika hapa ni sisi wenyewe.
Russia ni Third Country in term of population ya Idadi ya Wakristo Duniani, Wako over 100Millions. Russia ni home of Eastern Orthodox, ambapo yakadiliwa around 77% of Eastern Orthodox duniani kote wapo Russia.
Russia kuna waislam kama 14Million hivi ambao ni just as little as 10% of Total Russian Population. Na katika hao 14M, wengi wapo Chechnya, Ingushetia, Tatarstan, Karachay-Cherkessia, Kabardino-Balkalia, Dagestan na Bashkorstan.
Na ni hii mikoa mi8 tu kati ya 89 iliyopo unayoweza pata Muslim over 5 out of 10 kwenye Population kwingine kote ni wa kutafuta kwa Torch.
Shida ya wakatoliki huwachukulia madheheb mengine ndani ya Ukristo kama sio Wakristo kwasababu wanapingana na Mambo yao.
Sasa kwa hizo data unaendeleaje kujadiliana na huyo kiumbe? Utaihusishaje hii Operation na Udini? Au utawahusishaje Waislam na hiyo Operation? He he he Mnalazimisha sana Nyasi kua Mahindi wadau wangu wa Nyuvu...[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo zitaendelea kua nyasi tu na unavyozidi kuzimwagilia ndivyo unavyozidi kutengeneza kichaka mlangoni mwako.
Fyeka mdau, keep them short as much as you can 🥱[emoji124]
Unaleta issue tofauti kabisa...una tatizo la kisaikolojia, ndiyo maana wengi humu wanakuona upo tofauti..
Huna hoja.Ushabiki hupofusha na waafrika wengi ni wanafiki balancing kwao ni mtihani.
Mkuu kwani nyie na wale mnaoua pale somalia kwa kutumia jeshi butu ni mbuzi au haukushilikishwa kushauri?Udini umejionyesha wazi, wala sio mimi ni nyie mumejiweka kidini ambayo huwa mumejiweka kuchukia Marekani ila mnawategemea kwa kila kitu, kama kweli hamuwataki anza kwa kucha kutumia hii JF, maana kila kitu kwa namna fulani kina Umarekani ndani yake.
Neno la Mungu linasema aliyenecho huongezewa. Urusi ataongezewa.Mungu wetu hajafa bado Viva Ukraine ,you are going to win .Mungu umwinua myonge kutoka mavumbini.Ila Ukraine bado nawasifu big Urusi for more than 100plus days bado wanacheza kombolela.kwa nchi kama Ukraine halafu wanasingizia wanasaidiwa na US na NATO .Shame on them .Ukraine you are going to win ten big tu
Unaamini wanamuamini mungu wako?Mungu wetu hajafa bado Viva Ukraine ,you are going to win .Mungu umwinua myonge kutoka mavumbini.Ila Ukraine bado nawasifu big Urusi for more than 100plus days bado wanacheza kombolela.kwa nchi kama Ukraine halafu wanasingizia wanasaidiwa na US na NATO .Shame on them .Ukraine you are going to win ten big tu
Nilitaka kupuuza ila naona mwaendelea. Hakuna neno lier ila ni liar .is ni kwa umoja na are ni kwa wingi ila kuna baadhi ya maneno tunatumia are huwezi sema marekani ni uongo(Usa is a lie) badala yake utasema marekani ni muongo kwa kuweka are lier not is a lie
Wewe ni mnato acha kujificha kwenye kichaka cha karangaMm ni pro russia..lakin pia ni mkiristu..uzi huu nilikuwa nauelewa mwamzoni kuwa hauna udini...ila mbeleni nilagundua vibarakashia wengi humu wapo kidini! Shwain kabisaa..hawa mabwana hawajielew elewi..yaan wapo wapo tuu..hawana facts , hawana reasons..they are simply naive! Ukimuuliza kwa nn unashabikia russia atakwambia sishabikii mashogaa...wakat ushoga ulianzia na upo sana kwa muhamedee wao huko arabuni!! Mswahili akisikia mwarabu anazan ni mungu kaja...kuna mwingine yuko kwa mjombaa aaakee hukoo...kaz kwel kwel!!