Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna baadhi ya Number nimeziruka il Maelezo yasiwe mengi.

But yote kutoka 1-17 ni nukuu ya kikichoandikwa kwenye hiyo Post ya Wall Street Journal.

Tunachojaribu kusema ni kua, Kama hujui ulikotoka huezi kujua unakoelekea.
Nimejifunza kitu, kumbe walipanga sikubza nyuma, kweli Russia waliitafutia solutions za hayo mambo yote
 
Wewe dada unatisha una akili nyingi kuliko umri wako.
Unatakiwa udhibitiwe maana unaweza ukawa chizi.
Sitanii,chunguza maprofesa.😁😁😁😁
 
Hatuwezi kupambanua mambo tumejaa mihemko,fikra changa,uerevu wa kishamba.
Mfano nyie warusi wa michongo, mmejaza mipasho tu kwenye huu uzi badala ya taarifa za kinachojiri na hoja zenye mashiko.

Ndio maana Uzi umegeuka wa propaganda za upande mmoja tu kama bunge la Ccm maana werevu wanachungulia na ku- comment mara chache tu ili kuepuka maneno yenu machafu.
Tusipobadilika trust me tutaendelea kua shamba labibi haijalishi ni mtu wa chama gani kasimama pale magogoni au n kitabu kipya kimepatikana.
Kwa akili mnazozionyesha humu lazima muendelee kubakia shamba la Bibi au kitalu cha wahuni tu.
 
🤣🤣🤣Acha matani mkuu au ni kwa siku Moja⁉️
Sio utani mdau, ndio alicho waambia akina Macron na Scholz hivi leo 😂

Nimejifunza kitu, kumbe walipanga sikubza nyuma, kweli Russia waliitafutia solutions za hayo mambo yote
Sasa hiyo ni article 1 tu mdau, na hicho kimekua published to the public kusoma. Je yale ya siri ni mangapi na mazito kiasi gani?

Wewe dada inatisha una akili nyingi kuliko umri wako.
Unatakiwa ushibitiwe maana unaweza ukawa chizi.
Sitanii,chunguza maprofesa.😁😁😁😁
Ha ha ha umkome shangazi yangu, namtengenezea sanam chumbani kwangu huku 😂

Putin, Madvedve na viongozi wote waandamizi tunawaombea, yule kunyaland yuko wapi amuone boss wake😂😂😂
Mweh, sasa shangazi mtu mwenye uwezo wa kufanya french kiss na mwanaume mwenzie tena kwa hisia kali namna hiyo kwenye stage huku kamkumbata.

Unafikiri nini kimebaki kwenye hilo fuvu?
 
Maafisa wa Jeshi la Urusi waliofariki Ukraine karibuni 🤔
 

Attachments

  • Screenshot_20220616-204618.png
    149.4 KB · Views: 28
  • Screenshot_20220616-204751.png
    24.3 KB · Views: 24
Ha ha ha umkome shangazi yangu, namtengenezea sanam chumbani kwangu huku.

Ha ha haa ,Shangazi mtam huyu.
Huwezi kumlinganisha na "Joa,"
Joa kasepa jukwa hili.
 
Naona mwerevu uko unakuna pumbuh tu hapo kwa shemeji,Slava ukraine Slava ukraine Slava ukraine.
 
Hiyo ni mahsusi kwenu nyie pro nato.
Sisi tunakuja na fact pamoja narejea nyie ni chuki,hamko upto date,wadini,mihemko badilikeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…