Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tunasema hivi marekani wakitaka kusuluhisha hii vita wakubadi Biden aolewe na abebe mimba azae ndo tutaacha kumtandika zelensky akishindwa kubeba mimba tunaifufa jumlajumla Ukraine kwenye raman ya dunia
Mwenyewe anajisifia kua kwenye utawala wake kawajaza magasho wengi kuliko tawala zote zilizotangulia "combined"...
Your browser is not able to display this video.

Wadau wanaitikia kwa makofi na vifijo. Nyie nyie nyie eeeeenhe
 
Hawa jamaa walipewa silaha nyingi kupitiliza. Russia ni dume hasa

“They asked for 200 tanks; they got 237 tanks,” Milley added. “They asked for 100 infantry fighting vehicles; they got over 300. We’ve delivered, roughly speaking, 1,600 or so air defense systems and about 60,000 air defense rounds
 
Ndio maana Russia alipata shida kutawala anga jamaa wamepewa silaha nyingi sana haya makelele ni zuga tu . Silaha alishapewa longtime
 
Mwanzo nilidhani huenda Russia anatishia kutumia nuclear weapons lakini nimegundua ni kweli atatumia . Hawa jamaa wa West walikua na plàn ya kuimaliza Russia na sio kuihami Ukraine. Ndio maana anasema ukimpa long range akapiga ndani ya Russia basi utajibiwa hukohuko. Russia anapigana vita ngumu sana na ameonyesha uwezo hasa wa kusoma movement za adui na mizigo maghala ya silaha. Russia ameonyesha uwezo mkubwa wa shabaha ya mbali na makombora yasiyozuilika la sivyo hali ingalikua ngumu sana. Idadi ya silaha wanazotangaza kumpa Ukraine ni ndogo kulinganisha na wanazompa
 
Kuna MDA nahisi Zelensky amerogwa sio bure, yanini Sasa kuendelea na Hii Vita wkt uwezo hana
Sasa wanaume watakuja nyumbani kwako na wewe dude zima unakimbia unapambana ndugu .Yaani unafanisha Zele na wanJme wa Dar wanakimbia panya Road? Ruton kaleta panya Road wake kwa Zele akimbie go brother zele Dar kuna wanaume wanachukuliwa wake zao hata na panya Road wanalia.Tunahotqji Zele wawili tu Dar Panya Road wNaondoka.TZ WANAUME NAO WANALIA MAMA MAMA MTAKONA NAE KIMYA
 
Maneno yA mkosaji hayo[emoji28]

Hivi vita tayari nimehitimisha tathmini yangu kwamba Urusi ni useless, ile kwamba wameteseka mpaka hapo na kufa majenerali na kupoteza sana na mpaka sasa hawajaiteka Kyev, ina maana hata kama ipo siku wataiteka itakuakwa gharama kubwa sana na mateso mengi na vifo vingi sana.
Urusi hii moja tuliyosifiwa kuihusu miaka yote ndio inapata tabu yote hiyo kwa kainchi kadogo jirani yake hapo....
 
Lala kwanza Mr.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuiteka Kyev sio sababu za kuingia vitani, Russia ni nchi ya pili duniani kwa nguvu za kijeshi, ni nchi ya kwanza kuwa na silaha za nuclear, ina export silaha za kutosha na imekuwa kwenye biashara hio miaka na miaka, nchi nyingi zimepigana vita duniani wametumia silaha zao.

Russia wakitaka kuipiga Ukraine vipande vipande inawezekana.
 

Ndivyo tuliaminishwa siku zote kuwa Urusi ya pili, Urusi supapawa, Urusi ndiye komesha la Marekani na mauwongo mengine yote, ila ameumbuka kwa ujinga wake, kapigwa za uso ple Kyev, limsafara likafyekwa, sasa amekwenda kuparamia tumiji twa huko mbali, yaani hata China anachekelea pembeni maana yaani.
 
Sawa Ukraine ni wababe na watamshinda Russia wakisaidiwa na NATO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…