Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawa jamaa wahuni sana, wenyewe wanaprint pesa tu ndomana inflation imekua kubwa sana na wana madeni kibao.

Uchumi wao wa karatasi wanatuonea sana Africa.
Kumbe ndio maana kugawa usd 40 million kwao jambo easy tu. Si wanaingia stoo tu na kuwasha mtambo wa Canon unachapa benjamins za kutoshaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kubwa sanaa kama Zulu,mali, timbuktu,Buganda zilikuepo ila mm nimeongelea icho kipindi cha Lenin na sisi hapa 1800s,ili kuona tunayoyapitia kutoka kwa Hawa NATOs.
Hakika tena icho kipindi Mwafrika ndo alifundishwa rushwa na wale waliokuwa karibu na wafalme na machief walipewa sumu kuwauwa na wao kurisishwa na/au kupatia mali......kupelekea betrayals and slavery. Kama kingdom of Kongo biashara yake kubwa ilikuwa kuuza wafungwa wa kivita,wezi na majambazi Kama watumwa mpaka mzungu alipogundua hilo ndo wakaanza kuja na kuteka watu mitaani ma kiwachukua ikiwa moka ya sababu kingdom of Kongo kujiunga na wadutch kupambana na wazungu wengine nakuja kugeukwa. Ila history tamu sana Yani Afrika tulipambana tena ukija ukisogea hapo kaskazini Moshi ilisha tambilika tangia 1340 arooo
 
Hee we bado hujajua TU?
Huyu aliekua anahutibia sio Putin halisi,huyu ni Putin aliefanyiwa
"Clonie" sijui "cronie"
Putin halisi alishakufa miezi mitatu iliyopita akiwekewa sumu kwenye uji.
Unajua Putin anapenda sana uji wa ukezi.
сарказм Π²Ρ‹ΡΠΎΡ‡Π°ΠΉΡˆΠ΅Π³ΠΎ уровня.Π½ΠΈΠΆΠ΅ пояса ΠΏΡ€ΠΎ НАВО
 
Hapo utaratibu ulikuwa hivi:

Medvev: Braza P ujue tunawakawiza hawa machoko, hebu ona wanavyokuja kuja Kiev dharau hizi, wacha niwatie Iskander Moja niwawahishe kwa Mungu baba 😬

Putin: Wakaukie tu mdogo wangu, itakuwa jau sana tukiwatungua hawa machoko, UN italia sana ngoja tuwavungie tu ila wakiboloka pembezoni kule watembezeeni moto tu!
 
Waziri mkuu wa Uingereza pamoja na Raisi wa UKRAINE watembelea maonyesho ya hasara aliyopata Urusi Kwa vifaa vyake kuharibiwa huko Kyiv.
My Take: ProPutin msije na maneno hizi ni propaganda za magharibi,iliyoleta habari hii ni media ya China,Swaiba wa Putin πŸ€”
 
Unaangalia vifaaa chakavu...mwenzako anachukua maeneo ya nchi yako....mkiambiwa hamna akili mnakasirila
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kumbe ndio maana kugawa usd 40 million kwao jambo easy tu. Si wanaingia stoo tu na kuwasha mtambo wa Canon unachapa benjamins za kutosha[emoji23][emoji23][emoji23]

Hii operation imefanya nijue vingi asee nilikua sijui kama US wanaprint noti, na inabidi ujiulize kwanini US ndo nchi pekee inayoprint pesa zake?. Putin ametuonesha mengi sana, uchumi wa US ni wa kimchongo sana[emoji1787][emoji23].

Eti wanatoa misaada kumbe wanaingia store wanaprint dollar za kutosha, fwallaa sana[emoji1787][emoji1787]
 
Ila mpaka sasa Rais wa Ukraine ni mwanaume.

Ameamua kubaki na nchi yake mpaka mwisho.

Alionekana ni commedian mwepesi ila sasa anawaonesha.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kikawaida kila nchi duniani ina Print fedha hizi ambazo tunazitumia. Kuna baadhi wana print wenyewe kama hao US na wengine ambao ndio wengi haswa wana print fedha zao nje ya mipaka ya nchi zao.

Mfano hapa Africa over 40 Countries wanaprint fedha zao hapo Europe.

Alichokifanya US ni over printing!

We all know hii principle ya demand and supply. When the demand become high while supply is fixed basi Value inaongezeka. Na demand inapobaki fixed au kupungua ilhali Supply inaongezeka basi Value inaporomoka.

Yakadiriwa kufikia mwaka 2019, kulikuwa na around 4 trillion dollar kwenye mzunguko. Lakini mwanzoni mwa 2022 kunakadiriwa kua na over 20 trillion dollars kwenye mzunguko.

Maana ake nini? Kwamba jumla ya dollars zote zilizopo kwenye circulation toka 1792 kulipokoma matumizi ya Continental currency kuzaliwa kwa US dollar , 85% katika hizo zimekua printed ndani ya miezi 24 hii ya juzi kati πŸ˜‚...

So there ndipo ilipo point... Why there record inflation in US.

Sasa kama kawaida ya wajeuri huwa hawakubali makosa, hawakili kukosea, hujiona wako sawa mda wote na ndipo anaangaliwa wa kutupiwa lawama. Ndio maana Putin anawaambia Actions zao wenyewe ndio zinawagharim wala sio Issue ya Ukraine.

Yes, Of course US sio kama Europe. US is rich in resources kama ilivyo Russia na nchi nyinginezo. US ana natural resources worth of 45 trillions dollars, second only to Russia mwenye natural resources worth of 75 trillions dollars.

So excuse ya US kua tatizo ni Russia huko kwao ni invalid. Tatizo lipo kwao wenyewe. Miscalculation, Upuuzi wa viongozi na majina mengineyo unayoweza kuyatumia.

Hii inanikumbusha 2001, enzi hizo kwenye issue ya Sept 11.

On Sept 10, Pantagon ikatangazwa kupotea kwa kama 2.3 trillion dollar hivi halaf siku inayofata Sept 11 kukatokea Ulipuzi wa hilo eneo bila kusahau kule World trade center. Hii ikawa sababu ya wao kwenda Afghanistan miaka 20 na wameteketeza almost 8 trillions dola za walipa kodi wao kwa wachunga mbuzi wa taleban.

2022 huu ni mwaka wa mid-term election hapo US... Chaka la kujifichia ndio hili Ukraine, Nyukraine, Vyukraine, Pussykraine πŸ˜‚πŸ˜‚ utafikiri ni jimbo la 51 la United Shit of America.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ halafu wao wanachukua real gold na mazaga mengine wanapeleka kwao.
 
Russia: Haitawezekana katu Ukraine kurudi tena kwenye mipaka yake ya zamani
Hapo zamani za kale huko ulaya kulikua na Nchi iliyoitwa Ukraine iliyomegwa kibabe na jirani yake baada kuendekeza siasa za kimalaya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…