Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


⏩**Europe 'is commiting energy suicide' by sanctioning Russia

**Russia with its energy potential 'is Noah's Ark of the world economy'⏪ Indeed!
 
Kwa sasa Marekani anapigania uhai wake hivyo vita itakuwa ngumu sana kama Russia hatajiongeza . Ndugu warusi wenzangu USA anaadhirika atatoa chochote alichonacho kuhami uchumi wake wa kinyonyaji . Kifo cha dola na kupoteza ushawishi ni pigo kuliko askari wa Ukraine wanaokufa
 
uk
ukweli mm mwenyewe hapa nimeshangaa sana , kumbe Putin anajua na hatuambii
 
Fafanua MKUU
Tayari naona limesemwa huko juu nikilirudia itakuwa kiporo. Kwa ufupisho zaidi ni Overprinting. Kumekua na Ongezeko la dola nyingi sana kwenye mzunguko ndani ya mda mfupi, Hali inayopelekea mfumuko mkubwa wa bei.

Ukiangalia kiasi kilichoongezeka ndani ya hiki kipindi lau kama dola isingekuwa inatumika sana basi uchumi wa US unge+collapse kama jengo lililopigwa tetemeko.

Kingine nijazilize maelezo ya Ask-Q

Ku-Print fedha kupo kwa aina 2,
1. Ku-print fedha kuongeza fedha hizo kwenye mzunguko na
2. Ku-print fedha ku-replace zile zilizochakaa ambazo zipo ndani ya mzunguko.

Ya kwanza ikifanywa kwa fujo inaugharimu uchumi mazima due to hyper inflation.

Ya pili ni healthy kwasababu supply ya fedha inakuwa maintained na demand hivo value yake pia inakuwa preserved.

Alichokifanya US ni hiyo ya kwanza, kajaza lundo la dola kwenye mzunguko ndani ya mda mfupi.
 
Shukrani sana
 
We are heading towards a cashless society no doubt about it.And you know what,this is necessary if the idea of controlling humanity 100% can be a reality,which is the aspiration of the NWO Elite.We are right now in a conditioning process by using M-pesa,TigoPesa,Airtel Money etc.
 
⏩**Europe 'is commiting energy suicide' by sanctioning Russia

**Russia with its energy potential 'is Noah's Ark of the world economy'⏪ Indeed!
Kiufupi Nina mashaka na hizi ajali za Moto za urusi kwenye mabomba ya kusafirishia gas, nahisi kabisa hujuma hii anaifanya mrusi mwenyewe ili kuzibana nchi za ulaya

Kuna uharibifu wa bomba la mafuta umetokea kama siku Tatu nyuma Ila nimeona ya kuwa urusi imepunguza kusafirisha gas kwenda EU sababu watu wanahusika na ukarabati ambao ni seamens wameshindwa kwenda kukarabati sababu ya vikwazo

Yaani kiufupi EU wanajikuta wanalazimika kula matapishi Yao kitu ambacho kinawauma Sana Ila hawana jinsi
Kwa baridi hili linalokuja ulaya itakuja kuingia kwenye machafuko ya kiraia kama viongozi wao hawajachukua maamuzi mapema ya kuondoa vikwazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…