Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,434
Kibabu kinafungishaKibabu Joe kilikuwa kinaendesha baiskel kimepiga mweleka hadi kinatia Huruma.
View attachment 2265219
Video hapa chini anaonekana vizuri... Again de cause of falling watatwambia ni Putin Strike 😂
View attachment 2265220
What comes around goes around, hii ingetokea kwa Putin Media zote duniani wangeiweka front page na main topic ya siku!
hii inawezekana ni kweli, na kusudi hasa ni kupunguza supply ya gas ili kuwalazimsha watumie akiba ya gas waliyo iweka kwa ajili ya winter.Hapo mkuu mrusi kujifanyia hujuma inakuwa na nguvu kuliko kama angefunga Kwa kusema nimeamua kufunga kwanini ni kwasababu
Akijifanyia hujuma maana yake kampuni za seamens watalazimika kuja kutengeneza sasa kama kuna vikwazo raia wa EU kipindi cha baridi hawata mlalamikia Putin Ila watawalalamikia viongozi wao Kwa kufanya maamuzi ya kujinga na hii itasababisha machafuko Kwa EU na kitu ambacho Putin anakitaka kama Putin akiamua yeye mwenyewe kufunga gas wananchi wa EU watashikamana na viongozi wao Kwa kuwa kitendo cha wao kukosa gas ni Kwa sababu Putin kaamua kufunga bomba la gas na Siyo maamuzi mabaya ya viongozi wao, sasa Putin hataki Kwa namna yeyote aonekane kuwa matatizo wanayopitia raia wa EU chanzo ni viongozi wao na Siyo putin
Poland watakuwa na wakati ngumu sana kipindi cha baridihii inawezekana ni kweli, na kusudi hasa ni kupunguza supply ya gas ili kuwalazimsha watumie akiba ya gas waliyo iweka kwa ajili ya winter.
Msimu wa baridi kali ukifika watakuwa hawana gas hivyo itawalazimu wakapige magoti Moscow.
Hawa jamaa wanafanya uhuni waziwazi bila aibu yoyote,hii federal reserve ya marekani haikuwekwa kwa bahati mbaya.Inshort niseme R.I.P to the former US president Abraham Lincoln and John F Kennedy.Nop Shangazi... Fedha haziingizwi kwenye mzunguko namna hiyo unavyowaza.
Kwamba una print unamaliza unaenda kuzimwaga kwa watumiaji la hasha.
Fedha zinaingizwa kwenyeb mzunguko in term of bill payment. Lel say unahitaji kilo 10 za mchele bei yake 20k, unazama chumbani unafanya prrrrr unachomoa note unaenda kununua....
Ile 20k uliyoitoa chumbani ndio umeiingiza kwenye mzunguko. Na kule ndivyo ilivyofanyika na inavyofanyika siku zote.
Msaada wa maelezo ya data kwa picha ni kama hivi
View attachment 2265197
Unaiona 2020 ilivyokua... That sharp rise? Happ 2021 data zake hazipo. Ila kwa mfano tu utakuwa umeshika kitu.
Kwa mfano mwaka 2022/23 budget ina deficit ya zaidi dollar trillion 1 na chenchi hivi. So hizo fedha zinatoka wapi? Wanajua Fed!
Kingine sio kwamba hawajui, wanajua sana. Toka kitambo mwanzoni kabisa wa mwaka jana nilikuwa nikiwasikia wanalalama kuhusu Fed kuzidisha shughul za Printers 😂😂
Kote huko kwenye social networks na baadhi ya Channels za wale wanaojiita ma-patriots (Sampuli za akina Mdee na Bulaya) wakilikosoa sana hilo swala.
Putin anavyowaambia West kua hawaongozi nchi kwa maslah ya Raia wao, He is sure na kile anachokizungumza.
Hapa sasa unajiuliza anayedai huu upande una demokrasia anamaanisha ipi kama ile "of the people to the people for the people" halipo katika uhalisia.
Shukrani sana mkuu kwa kuendelea kutupa maziwa na asali tamu,hapa umeniongezea kitu 👍Kawaida tu shangazi ila sina hakika kama na yeye umemuelewa alichokimaanisha.
Fedha zilizotoka kwenye Covid-19 ni just a fraction ya hizo fedha... US kila mwaka ana deficit ya budget ya over trillion of dola. Hiyo deficit inasuluhishwa vipi? Hapo ndipo utakapouona mlango wa kuziingizia hizo fedha kwenye mzunguko.
Mfano we na Baba Yoyoo, mmepanga budget yenu ya 20k, ila makusanyo ya miradi yenu hapa na pale inafikia 11k, hivo 9k hauna... So inabidi ukakope si ndio?
Naam katika mikopo yako ukabahatisha 5k means 4k bado inahitajika right? Sasa zile bill ulizopanga na Baba Yoyoo za 4k unaingia chumbani kuprint.
So kile kipya unacho print unakiingiza kwenye mzunguko... N kwenye demand and Supply maana ake unaongeza Supply.
Demand and Supply iko hivi
1. High Demand with High Supply... The value is maintained constantly...
2. High Demand in Low Supply... The Value is Increasing
3. Low demand in Low supply... Rejea kwenye moja
4. Low demand kwenye high supply, inakua kinyume cha number 2... Thamani inaporomoka
Sasa ukirudi kwenye budget deficit ya US, Over 1 trillion dollar. Ambayo Iko on par na GDP ya 12th au 13th hivi of the world largest economies. Hiyo deficit haifidiwi kwa mkopo tu bali Printers zinahusika.
Kwenye ile Graph niliyokupa, Upande wa kulia inaonesha Jumla ya Fedha zilzio kwenye mzunguko. Upande wa kushoto unaonesha kiasi cha fedha kilichokua printed mwaka husika...
Ngoja niiweke tena...View attachment 2265261
Cha kutoa kwenye graph ni kama haya
1. Kila mwaka fed wana print fedha (Sio zile za kubadilisha chakavu pekee la hasha, za kuongezwa kwenye mzunguko) kupitia bills!
2. Kua 2020 na 2021 (mind you hapo 2021 kwenye graph haipo) US wamefanya over printing.
Mfano wa ziada, majuzi kati baada ya kuidhinishwa zile B40 dolla, Senator Rand Paul akawa anasema hizo fedha Serikali haina that means wakakope ili wapeleke Ukraine. (hapa china alihusishwa) wengine wakawa wanasema Fed watafanya mambo yao wana print kisha wanasafirisha.
Yote kwa yote issue za fedha ziko complicated sio lazima tuzijue deep kiiivyo. We kitendo cha kujua Putin anafanya nini mie nakupea salute tu 🤩🤩🤩
Kabisa mkuu yani inaumiza sana,waafrika tuna kila aina ya rasilimali,lakin ndio hivyo tunazidi kuwa maskini. Kutokana na mipango inayofanywa na waovu wachache wenye tamaa ya kuwa na power kuimiliki dunia.Ndomana hii mikopo nchi nyingi za Africa haziendelei ni mikopo inayofanya tuzidi kuwa maskini
Mwezi wa ngapi Iyo baridi,Kiufupi Nina mashaka na hizi ajali za Moto za urusi kwenye mabomba ya kusafirishia gas, nahisi kabisa hujuma hii anaifanya mrusi mwenyewe ili kuzibana nchi za ulaya
Kuna uharibifu wa bomba la mafuta umetokea kama siku Tatu nyuma Ila nimeona ya kuwa urusi imepunguza kusafirisha gas kwenda EU sababu watu wanahusika na ukarabati ambao ni seamens wameshindwa kwenda kukarabati sababu ya vikwazo
Yaani kiufupi EU wanajikuta wanalazimika kula matapishi Yao kitu ambacho kinawauma Sana Ila hawana jinsi
Kwa baridi hili linalokuja ulaya itakuja kuingia kwenye machafuko ya kiraia kama viongozi wao hawajachukua maamuzi mapema ya kuondoa vikwazo
Aisee kwenye hili USA Ni wahuni Sana[emoji28]Thanks [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sisi maslow learner tuvumilieni yaani nakukusoma kote hapa sikuambilia kitu,kuna uyo alotoa mfano wa covid 19 kwangu ndio nimemuelewa wanatengeneza tatizo alafu linatatuliwa kwa kukopeshwa note zao ambazo zina masharti ya jinsi ya kulipa.
Baiskeli tu anaanguka hivyo,siku akikutana na huyu mwamba kwny Judo huko Inabidi avae Pampus za kutosha.La sivyo ajiandae kisaikolojia.Kawaida Sana hiyo, ajali haina kinga.
No kaanguka kizembe sana,hiyo sio kawaida,kuna shida!Smoky Joe is suffering from Dimentia,asiyejua labda wewe,so most likely Dimentia aliyonayo ndio sababu.Watu ambao ni observant nadhani wameshaona abnormality in his walking.Ni kama ligongo lililo simamishwa,there does not seem to be proper cordination of his body parts.Kawaida Sana hiyo, ajali haina kinga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeinyaka hii nimecheka hadi mbavu zaniuma. Dementia Joe Mada Fanta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bint Cocacola.
View attachment 2265228
Yaani hapa anawapiga na kitu chenye mcha kali mnooo Kuna kitu kwenye uchumi kinaitwa GAME THEORY ni noma Sana ...... Yaani majibu yanayopatikanaga ni Yale majibu usiyotarajia kabisa na Kwa kuwa Putin ni jasusi, mwanasheria na mchumi mzuri tu watachoka sana NATO na EU ..... Watafika mbinguni wanatambaaaa watachoka sanaaaaaHapo mkuu mrusi kujifanyia hujuma inakuwa na nguvu kuliko kama angefunga Kwa kusema nimeamua kufunga kwanini ni kwasababu
Akijifanyia hujuma maana yake kampuni za seamens watalazimika kuja kutengeneza sasa kama kuna vikwazo raia wa EU kipindi cha baridi hawata mlalamikia Putin Ila watawalalamikia viongozi wao Kwa kufanya maamuzi ya kujinga na hii itasababisha machafuko Kwa EU na kitu ambacho Putin anakitaka kama Putin akiamua yeye mwenyewe kufunga gas wananchi wa EU watashikamana na viongozi wao Kwa kuwa kitendo cha wao kukosa gas ni Kwa sababu Putin kaamua kufunga bomba la gas na Siyo maamuzi mabaya ya viongozi wao, sasa Putin hataki Kwa namna yeyote aonekane kuwa matatizo wanayopitia raia wa EU chanzo ni viongozi wao na Siyo putin
November November Hapo mpaka machi flaniiii hivi ...... Unyama sana .....Mwezi wa ngapi Iyo baridi,
tuandae pop corn kabisa[emoji28]
Yaani kashindwa kuweka hata standi za miguu ....kachoka sana huyu mzeeeNo kaanguka kizembe sana,hiyo sio kawaida,kuna shida!Smokey Joe is suffering from Dimentia,asiyejua labda wewe,so most likely Dimentia aliyonayo ndio sababu.Watu ambao ni observant nadhani wameshaona abnormality in his walking.Ni kama ligongo lililo simamishwa,there does not sim to be proper co-ordination of his body parts.
Kutoka 80k mpaka 25k??? Ngoja nifanye subra labda kitafika 5k nami nijinyakulie[emoji41][emoji41][emoji41]
NWO wamemharibu sana Smoky Joe,wanam-control 100%, ni kama Zombie tu mbona,very sad.Yupo pale kutekeleza ajenda za NWO tu,basi.Yaani kashindwa kuweka hata standi za miguu ....kachoka sana huyu mzeee