Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Ndio nandio aina ya DUNIA tunayoihitajiBelarus ??
sasa hivi kila mtu ana sauti ya kukaripia.
Mpaka Leo malengo ya "Coward Putin"hayajatimia.Zenensky Bado ni raisi wa UKRAINE, Kyiv bado ni mji mkuu wa UKRAINE."Coward Putin" amebaki kutishia kutumia nukes huku amejificha kwenye mashimo kama panya,na waoga wengine kama kina Hassan Nasrallah.Ni maombi yangu atakapofwetua button ya nukes ianze kumuangamiza yeye mwenyewe Hapo Kremlin 🤔
Acha fix, si Urusi pekee yenye hypersonic missiles.Russia ana hypersonic missiles ambazo zinakwenda mpaka 20x zidi ya sound hapohapo NATO wote wameshindwa kutengeneza hilo kombora juzi kati hapa wamesema wamefanikiwa kutest lenye spidi ya 5x ya sauti lakini sina imani nao.
Oooh!! Kuhusu meli ya tatu kuzama sijui Kwa kweli. Hebu nipe details vizuri na reliable source nami niongeze ufahamutunasema yanaoendelea huko kwamba Vita hii haitaisha leo wala kesho kama wewe na mimi tulivyotegemea ndugu. Ukraine wamegoma kusalendar. Kosa la Urusi ni underrate Ukraine, hawakutegemea counterpunch kama hii toka kwa Ukraine na marafiki zake wa Magharibi.
Meli ya kivita ya 3 imezamishwa una habari ndugu? je unajua gharama ya meli moja?
Kama ya mrusi niuzie kama ya beberu,haya SII taki🏃TUNAUZA
Iskander-E
Tactical ballistic missile system
The Iskander-E tactical ballistic missile (TBM) system is designed to effectively destroy high-value pinpoint and area targets in the tactical depth of enemy troops. It is capable of handling missions in all types of ground activity on all theaters of operations in any weather, day or night, with a high probability of combat mission accomplishment in conditions when the enemy actively uses traditional and precision guided weapons, missile defence and air defence systems. In addition, no launching site preparation and survey support as well as launch weather support are required.
The main advantages of the missile system:
Components:
- high firepower of a missile attack through installation of two missiles on one launcher;
- effective engagement of a wide range of targets with one or two missiles through the use of advanced warheads, high missile accuracy and reliability;
- high effectiveness of missile strikes and speed in command through command & control automation;
- tactical mobility and maneuverability through the all-terrain cross-country capacity of combat vehicles and strategic mobility due to transportability of the system’s components by all modes of transport;
- high growth potential of the missile system, including through improvement in warhead performance, missile strike accuracy and other areas.
View attachment 2259506
- combat assets;
- command & control and information systems;
- maintenance and repair facilities;
- auxiliary assets;
- training facilities.
View attachment 2259507
Kweli kabisa mkuu, yaani Jana Tu, Ukraine imeua majereli 50 na ofisa wengi wa Urusi kwa kombora calibre. Hawa wa Urusi hawajawahi kuuwawa hata mmoja!😎😎🤣🤣Rusia amejivua nguo, Majenerali wake wanauawa kama kuku!!
Askari wake ndio usiseme.
Washampritintia Tshirt Joy Gayden 😂😂😂View attachment 2266225
Nalog off Z
Hahahahah hawa mabwege Nazi kweli yani, sasa must take long wakati wanajeshi 1000 wanaangamia kila siku kwa shambulio la visilaha vidogo vidogo kama hypersonic missile. Hao wanajeshi wa kupigana watatoka wapi maana NATO kwenda front wanagwaya😂Russia shinda vita leo ama SAHAU.
The West must prepare to continue supporting Ukraine in a war lasting for years, Nato's chief has warned.
Secretary-General Jens Stoltenberg said the costs of war were high, but the price of letting Moscow achieve its military goals was even greater.
"We must prepare for the fact that it could take years. We must not let up in supporting Ukraine," the Nato chief said in an interview with German newspaper Bild.
View attachment 2266238
Nato's secretary-general speaking after a meeting with the military alliance's defence ministers on 16 June
Vifaa tiba vya mnyamwezi Putin vinasubiria wakae kikao cha mafunzo tu ili waweze kufutwa wao na M113 sijui APC zao...Tunasubiria taarifa kutoka Moscow ndani ya masaa 24 ya kazi😂😂😂Australia has sent the first four of 14 armoured personnel carriers to Ukraine as part of a $285 million aid package.
The M113AS4s were loaded into a Ukrainian aircraft last week after the former defence minister Peter Dutton promised the personnel carriers and 20 additional Bushmaster protected infantry vehicles in May.
View attachment 2266378
View attachment 2266379
KYIV ($1=29.61 Ukrainian Hryvnias) — Australia has promised Ukraine to provide 14 M113 APC units as military assistance in the war against Russia. The first four APSs have already been delivered and Kyiv is waiting for the remaining ten. The delivery of the first four units were confirmed by the Ministry of Defense of Ukraine and the Ministry of Defense of Australia, the latter publishing photos of the loading of the M113 on Antonov An-124 cargo aircraft nearly two weeks ago.
Hahahahah US anatengeneza silaha zenye uimara wa biskuti kumbe, ikitiwa maji tu kinaumana.
hana jeuri ya kutumia neuclear.. !! anajua fika consequences zake.Vifaa tiba vya mnyamwezi Putin vinasubiria wakae kikao cha mafunzo tu ili waweze kufutwa wao na M113 sijui APC zao...Tunasubiria taarifa kutoka Moscow ndani ya masaa 24 ya kazi😂😂😂
Gharama ya meli moja inaweza kufidia maisha ya wanajeshi wa Ukraine takriban 1000 wanaokufa na mizinga ya Mrusi kila siku. Jana Mecenaries kadhaa na majenerali wa Ukraine wapatao 50 wamechezea Iskander kwenye stoo waliokuwa wanapeana mafunzo.tunasema yanaoendelea huko kwamba Vita hii haitaisha leo wala kesho kama wewe na mimi tulivyotegemea ndugu. Ukraine wamegoma kusalendar. Kosa la Urusi ni underrate Ukraine, hawakutegemea counterpunch kama hii toka kwa Ukraine na marafiki zake wa Magharibi.
Meli ya kivita ya 3 imezamishwa una habari ndugu? je unajua gharama ya meli moja?
Mbona USA yeye alitumia na hakufanywa kitu. Kipi kinakufanya uhisi Russia hawezi kuwapelekea Satan hao mashoga wa NATO?hana jeuri ya kutumia neuclear.. !! anajua fika consequences zake.
vita inaendelea Mkuu, spare your worlds.Gharama ya meli moja inaweza kufidia maisha ya wanajeshi wa Ukraine takriban 1000 wanaokufa na mizinga ya Mrusi kila siku. Jana Mecenaries kadhaa na majenerali wa urusi wapatao 50 wamechezea Iskander kwenye stoo waliokuwa wanapeana mafunzo.
Kyiv mnafika lini? tunataka bendera ya Ukraine ishushwe pale Ikulu ipandishwa ya Urusi kwa muda kabla ya uchaguzi wa Serikali mpya itakayofuata masharti ya makubaliano yetu kuhusu Usalama wa eneo la ukanda wetu.Ukraine Hana nguvu Tena..mataifa ya magaribi yanajua kuwa yamezidiwa kete..kinachofanyika ni kukataa ukweli kwamba wamezidiwa nguvu na Russia
Seven-yr high!!!BREAKING: Russia's ruble hits seven-year high against US Dollar
Russian intelligence and it's field of resources are second to none....time has shown and proven thattime....
Urusi ni zaidi ya USA,Urusi anaenda vita akiwa peke yake.Huyo USA wako bila washirika haendiHizi ndizo story za kwenye kahawa ambazo huwa tunasema[emoji16]
Wewe unahisi US ni dhaifu, Ila Putin hawezi kufikiria hivyo.
Labda tukumbushane si urus ilisema atakae toa misaada atapokea kichapo cha moja kwa moja? Vipi Kuna bomu lishatua US!
Na je unaiona marekani ikiacha kutoa misaada Ukraine? Unafikiri ni kwanini mpaka sasa hajachapwa?
Unahisi wewe unaijua urusi zaidi ya marekani?
Timizeni kwanza mliosema, then ndio mseme marekani ni dhaifu.
US yeye alisema urusi ikipiga hata nzi kwenye eneo ama nchi yoyote ilio chini ya NATO basi atakiona, vipi urusi kashapiga?
Hivi huoni mpaka sasa marekani ni mbabe maana anasaidia hata mtu asie muhusu, vipi ikitokea yeye kaguswa, itakuwaje[emoji16]
Mwisho, acheni story za kahawa, watu hizo ndizo kazi zao, assignments zimefanyika miaka na miaka na wameona wanaweza kupambana na urus, huwezi kumtaka mtu usie muweza.
Kwani we ulitegemea urusi kutoka jasho hivi?