Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Duuu sio mchezo, so inayofanyika ni operation ya kijeshi. Ila si ndio vita yenyewe hiyo kaka. Jeshi kuvuka mpaka wa nchi nyingine na kufanya mashambulizi tayari ni vita hiyo.
Naamini maneno ya Russia kuwa hii sio vita ila ni op ya kijeshi.....ingekuwa ni vita wale waliojifungia kwenye kile kiwanda asingewataka wajisalimishe,Bali angewarushia eskander Moja tuu kwisha kazi.Hii bado ni op ya kijeshi na wala bado haijafikia kuitwa op maalum
 
Walijinadi wana Reserve ya kutosha kuendesha nchi mpaka 2028 hapo mwezi March 😂😂😂 ila baada ya miezi mitatu naona ile Reserve imekata bila shaka wanatafta huruma ya mwanaume Putin Vladimir
 
Hii ni Operation ndogo ya kijeshi tu mkuu, kuna vilaza wanahisi Russia iko vitani ila hamna vita inayopiganwaga kwa kubembelezana na adui. Russia anawa baby sit wapinzani wake na kuwabembeleza wajisalimishe ili wakachukue uraia wa Urusi.

Angekuwa na nia ya kuwamaliza ni chapu tu angemaliza shughuli maana taarifa za walipo zote anazo. Ni kiasi tu cha kutega ma Iskander na Kalibr na kuwafyagia.
 
In Israel, the Knesset can again be dissolved, the current Prime Minister Bennett and the head of the Foreign Ministry, the prime minister by rotation (they agreed to change) Lapid will present such a bill next week for parliamentary approval.

Thus, Israel will face the fifth election in three years, writes the Financial Times. Created about a year ago, the multi-party government was the most ideologically diverse in Israel's history, but has recently begun to "slowly crack."

The likely dissolution of the Knesset and the weakening of the Israeli government could lead to the possible return of former Prime Minister Benjamin Netanyahu, from such news even in Parliament are at a loss, writes the Guardian.
 
Huyu Lithuania ajiandae kula kipigo heavy tu cha mbwa kachoka.
 
Walijinadi wana Reserve ya kutosha kuendesha nchi mpaka 2028 hapo mwezi March 😂😂😂 ila baada ya miezi mitatu naona ile Reserve imekata bila shaka wanatafta huruma ya mwanaume Putin Vladimir
Kabla ya hii op ya Russia nilikuwa naamini US anaweza akajifungia kwa miaka mingi bila kuhitaji supply kutoka nchi nyingine
Kumbe ilikuwa ghiriba za media zao,ila pekee nilichogundua ni kuwa wanaweza sana kujifungia wakiwa na Epson tuu
 
Kabla ya hii op ya Russia nilikuwa naamini US anaweza akajifungia kwa miaka mingi bila kuhitaji supply kutoka nchi nyingine
Kumbe ilikuwa ghiriba za media zao,ila pekee nilichogundua ni kuwa wanaweza sana kujifungia wakiwa na Epson tuu
Kiburi chao kumbe kilikuwa ni kumiliki EPSON pale kwenye BOT yao 😂😂😂 sasa sahiz wameachwa uchi.

USA wameharibu vichwa vya watu wazima kwa miaka mingi kwa kujifanya wao ndio Watabe wa kila kitu Duniani kumbe Vinyangarika tu.
 
Uzuri mikataba ipo kama Liuthania atajizima data basi ajiandae na kile ambacho Kamanda Muroto alikuwa anakisisitiza pale Dodoma.😂
 
In Burkina Faso, they’re calling for the withdrawal of France and they want Russia to send its troops instead. https://t.co/Gz9GgwdmYg

Hii safi sana, Watu washajua hawa west ni worst wanakwapua mali zetu kwa kificho cha misaada, wanajikuta Mungu shenzi sana. Sahv tunakokwenda ni kutamu ule ubabe wa kifala hautakuwepo.

GOD BLESS RUSSIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…