hao ukiwaibia printer zao ni weupe tu kuliko sisi.Marekani inaendelea kuteseka zaidi na kuongezeka kwa bei ya mafuta ya Urusi, yanasema yataka kuseti kikomo cha bei ya mafuta ya Urusi.
Kwani si tuliaminishwa kuwa Marekani huwa ana akiba kubwa ya mafuta kiasi kwamba anaweza kuhudumia Dunia? Sasa mbona Biden na wamarekani wote wanalilia kwa bei ya mafuta kupanda nchini Marekani?!
Halafu Marekani si ilitangaza kuwa yenyewe imesitisha kununua mafuta ya Urusi, Sasa mbona wamarekani wanateseka kwa bei ya mafuta ya Urusi kupanda?
Si huwa tunaambiwa kuwa Marekani hutoa misaada mingi ya pesa kwa nchi zinginezo ikiwemo Tanzania, kwa nini Marekani inashindwa kujisaidia yenyewe kwa serikali ya Marekani kufidia ongezeko la bei yya mafuta ili raia wa Marekani waendelee kulipia ile bei ya dezo waliyozoezwa kudekezwa na Urusi?
View attachment 2267341
It started in Mali,now Burkina Faso. Next...
[emoji635][emoji635][emoji123]
Walijinadi wana Reserve ya kutosha kuendesha nchi mpaka 2028 hapo mwezi March [emoji23][emoji23][emoji23] ila baada ya miezi mitatu naona ile Reserve imekata bila shaka wanatafta huruma ya mwanaume Putin Vladimir
Wanataka ku sabottage supplies kwenda Russia kuputia Kalingard. Naona USA anataka amponze Liuthania, wanamchezea shere Vladimir Putin wakati mikataba anayo toka 2002.Kamwe usiwaamini US taifa linaendeshwa kipropaganda
watu washashtuka ! Mambo ya Nato ni kichefuchefu saivi baba lao ni urusi.In Burkina Faso, theyβre calling for the withdrawal of France and they want Russia to send its troops instead. https://t.co/Gz9GgwdmYg
Wanataka ku sabottage supplies kwenda Russia kuputia Kalingard. Naona USA anataka amponze Liuthania, wanamchezea shere Vladimir Putin wakati mikataba anayo toka 2002.
Ha ha ha ha......Mdogomdogo View attachment 2267169
tunazilipua zikiwa njianiMjapani atawatumia maana ndio anazizalisha na ni kijana wake USA.
Mtawaua njaa Supapawa jamanitunazilipua zikiwa njiani
Kmamake hyo iskander ni kisanga imetumwa alaf chuma inarudi chimbo kuskilizia zelensky anavyotoa migunoView attachment 2267350
The Russian Defense Ministry publishes footage of the Iskanders, which strike at the infrastructure of the Ukrainian army
Hawa ni supabawa sio supapawa hii ni special kwa urusi. Us ni printer(canon au Epson) au supabawaMtawaua njaa Supapawa jamani
Hahahahah supabawa wa mchongoHawa ni supabawa sio supapawa hii ni special kwa urusi. Us ni printer(canon au Epson) au supabawa
Kwahio walitaka wakae nae Mezani tuπ hii ni sawa na kuchelewa kipindi na kumsubiria Lecture koridoni akielekea ofisini ili muyajengeUnyenyekevu unaendelea taratibu. Sindano zinaingia kisawa sawa
The EU Ambassador said that he met with Deputy Minister Grushko and Rudenko at the Russian Foreign Ministry, addressed the Russian side with a request to resolve the issue of Kaliningrad transit through diplomacy and not aggravate the situation
Hajataka tu ila nguvu hizo anazo kabisa za kwenda full scale na kusambaratisha kila kilichopo katika eneo la vita.Hii kauli ya Putin ya kukataa si vita bali kinachoendelea Ukraine ni operation, ni kwa sababu jopu la washauri wa Putin baadhi wanaona ni kama Russia inawalea Ukraine, au ni kama Russia haipeleki mashambulizi vile ambavyo wanajua kiuhalisia uwezo wake.
Kuna washauri wa Putin ni vichaa, vichaa haswa, na wanajua kabisa Russia uwezo wake kijeshi upo vipi, ukitizama viongozi wengi wakubwa Russia ni wakongwe toka anguko la Soviet Union wakiongozwa na Putin, wana uelewa mkubwa sana kwa kila kinachoendelea EU na USA na umoja wao wa NATO, ni jopu la watu ambao ni vichwa haswa.
Putin anawatuliza washauri kwa kuwaambia hio ni operation tu si vita, Putin ni kama kwa namna flani anawatuliza wenzie. Sasa tujifikirieni tu Russia si nchi ya propaganda wala kujisifu, lakini unapoona kiongozi wa nchi ya Russia anasema ni operation unaelewa nini?
USA wanalifahamu hili kuwa Putin ana washauri vichaa, na mistake ndogo yaweza pelekea kupokea ushauri kwa hao vichaa kitu ambacho hapatokalika hapo EU, ndio maana hata siku ile Biden alitaka kuvuka mipaka kwenye hotuba eti Putin hafai kuendelea kubaki madarakani, white house ikakana juu ya hio kauli kwamba hayo ni maneno yake binafsi πππ.
Kinachoendelea hapa ni kwamba NATO wanabalance Russia iendelee kuwa kwenye Operation Mode, mistake ndogo wakikaa kwenye War Mode, nina imani kabisa kuna moja kati ya hivi kutokea.
1-NATO wakijua Russia yupo kwenye War Mode wajitoe kabisa kwenye huu mgogoro waiache Ukraine ipigwe itekwe yote.
au
2-NATO waingilie kumuokoa Ukraine, EU yote moto uwake, uchumi udorore, kazi za viwanda na uzalishaji mali zisimame, wakimbizi ambao ni raia wa EU wakimbilie Africa na sehemu nyingine salama kwao na familia zao.(Kuelekea WWIII)
Wote tuendeleeni kuomba tu, Putin asije akaamka asubuhi akasema sasa tunaingia vitani.