Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Marekani apeleke vikosi Basi, mmarekani mwenzao kauwawa
 
Mkuu Wewe mweupe sana kichwani, hujui mahali gani utumie verb au noun, Bahati mbaya hutaki kujifunza unaanza kuniletea habari za NATO na Russia, mbona Mimi sihusiki nazo, Mimi nilitaka kukuelimisha tu ujue matumizi ya verb na noun /adjective katika sentence

Harafu mbona kiswahili chetu kina misamiati mingi Sanaa, tumia kishwahili , acha wajuvi wa kingereza wakitumie
 
vita gani ya kubomoa majengo, mitaro, barabara ndugu? - Mrusi anapigana vita ya karne ya 17 ni aibu kwa Taifa kubwa linalojinadi lina weredi mkubwa kwa mambo ya vita pamoja na silaha za kisasa - killing civilians afu unajisifu, useless.
Walikuwepo wenzako kina mtoto mzuri mrembo yoda ila leo hii kakimbia uzi karibu na wewe upewe madini utatoka nduki muda si mrefu
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Wapeleke kwa kutumia ndege.
 
Kama anataka achorwe tattoo ya Dubu kwe kalio aingie vitani
 
cha umbeya: imekuwaje huyu mzee mpaka akaanguka
shuhuda namba 1: itakuwa anajifunza baiskeli ukubwani
shuhuda namba 2: itakuwa ameangushwa na vladimir putin

cha umbeya: i
nawezekana vipi kwa putin kumuangusha biden na baiskeli yake
mashuhuda: mhhhhhhh! pengine ametuma iskander missile

cha umbeya:
kwani polepole anasemaje
mashuhuda: aulizwe slava zelensky

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…