Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

👏👏👏👏👏🇷🇺
 
‼️🇧🇾🇺🇦Belarus has concentrated about 4 thousand troops near the borders of Ukraine, the Russian Federation can quickly transfer its troops there and prepare a new offensive, — the speaker of the Ministry of Defense ofUkraine Motuzyanik‼️

They probably see ghosts again...
 
Mkuu hata mie niliogopa sana mpaka nikaanza kutetemeka nafikiria Russia akiingia vitani itakuaje sasa hii Ops tu Dunia nzima imeyumba sio mkubwa sio mdogo, nahisi Russia ni Taifa la Aliens lililopo Duniani waliojivika Ubinaadam
 
Russia kashindikana
 
Your browser is not able to display this video.


"We want to stay here" - Ukrainian conscripts who surrendered to the Russian military commandant's office in Kherson asked not to be included in the exchange lists and to issue Russian citizenship, RIA Novosti correspondent reports
 
Pesa za Kuprint?? Kule afghanistan mlitumia muda gani mkuu, na libya mlitumia muda gani?? Tena mlikua na NATO.

Afhanistan.

Kwanza watalaban,Hawa ni kikundi TU hakiwakilishi taifa Zima.

Pili hawakua na airforce,Navy na groundforce iliyokamilika.

Nikisema ground forces isiyorasmi maana yake hawana vifaru,mizinga,APC na vitu kama hivyo
Hawakupata misaada yoyote ya silaha wala fedha.
Hawakua na Ubalozi na nchi yoyote duniani.
Baadhi ya raia na makabila na madhehebu hawakua pamoja nao.

USA
Hawa kama kawaida walikua pamoja na washirika wao wakubwa wenye zana zote za kijeshi.

Wengi wa Hawa ni NATO.pamojabna wapambe wengine.
Walikua na silaha zote,
Wana Hela,
Vifaa vya kila aina vya kijeshi na kiraia.
Walikua na majeshi yote,
Ya ground,
Ya navy,
Ya airforce,
Kwa kifupi NATO wa silaha za aina zote za kijeshi hapa Duniani,nyingine wanazo wao TU,hakuna nchi nyingine inazo
Lakini walichukua miaka 20 na wakakimbia.
Sio msemo kukimbia,Bali walikimbia kwelikweli na kuacha vifaa na baadhi ya silaha.
Watalabani bado wapo na ndio wanaongoza nchi hiyo.
 
Wale wanao post Generali mmojammoja wa Russia anapokufa, sasa wapost hili kundi zima la Ukraine lililo angamizwa kwa pamoja
Kwahiyo sasa hivi Ukraine wanaupungufu wa mejenerali Dah sasa hao Wanajeshi wa si watakua kama Kondoo au Nyumbu wanaojichunga wenyewe ngoja tuwapelekee Jenerali Ulimwengu akawaongeze [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Hao ni Majenerali ya Nyumbu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sisi Tanzania tuna ndege vita 11
View attachment 2267665
Nilisema humu kwa niliyoyaona Ukraine, maelfu ya vifaa yalivyoharibiwa hakika nchi za kiafrica zi-invest kwny kilimo tu mambo ya kupigana iachane nayo.

Eti Uganda ndio Ina strong airforce kwa A/Mashariki ukiuliza kwanini unaambiwa kisa alinunua zile Sukhoi Su-30.Yaani ndege 6 tu 😄😄😄
 
Kesho tarehe 22 itakuwa miezi minne imekatika rasmi tunaingia mwezi wa tano wa vita. Hii dunia ina mbabe mmoja tu, US. Pesa anazo na jeshi analo.
Hakuna vita pale, ile ni special military operation (operesheni maalumu ya kijeshi) yenye lengo la demilitarization, nk. Kwa nchi ya Ukraine wao ni vita!!!

Ikiwa Russia angetangaza vita kamili yangetokea mauaji makubwa sana hasa kwenye mji wa mariupol na Kiev. Utakumbuka kua majeshi ya Ukraine walikua wakijificha kwenye nyumba za raia na mapango, huku wakiweka raia kama shields ya mabomu.

Vita haina macho, lakini hii ya Ukraine ina macho, ina huruma, ina subira. Na yote haya watu wa Ukraine wanaelewa, ila ushabiki wetu tu ndio unatusumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…