Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Baada ya Russia kuelekea kushindwa mnajipa moyo .Yaani more than 100plus days vijana wa mtaani wakakamavu wa Ukraine Russia inawashindwa.Ndio maana Putin machozi yanamtoka akisikia NATO iko karibu na mpaka wake.Angekuwa mwanaume kweli angewaacha NATO Wamsogelee apigane.Yaani ni kama mwanaume rijali anapigana na mwanamke halafu anakuja huku kutamba nimemweza yule mwanamke na vibwana vyake kumbe yeye mwenyewe ovyooo tu .Hakuna vita pale, ile ni special military operation (operesheni maalumu ya kijeshi) yenye lengo la demilitarization, nk. Kwa nchi ya Ukraine wao ni vita!!!
Ikiwa Russia angetangaza vita kamili yangetokea mauaji makubwa sana hasa kwenye mji wa mariupol na Kiev. Utakumbuka kua majeshi ya Ukraine walikua wakijificha kwenye nyumba za raia na mapango, huku wakiweka raia kama shields ya mabomu.
Vita haina macho, lakini hii ya Ukraine ina macho, ina huruma, ina subira. Na yote haya watu wa Ukraine wanaelewa, ila ushabiki wetu tu ndio unatusumbua.
Bongo labda IT wa kulamba asali na uchawa ndiyo wanapatikanaTwenzetu Urusi
Russia is experiencing a shortage of about 170,000 IT specialists, according to the Russian Ministry of Internal Affairs
The State Duma recently adopted a law on the rapid receipt of a residence permit in the Russian Federation for foreign IT specialists and their families. You can go.
Kaka hakuna vita pale, kuna operation ndogo ya kijeshi. Unaijua vita wewe? Mpaka leo tungezungumza maiti si chini ya laki 5.ndugu vita hii si ya kuisha leo wala kesho, ni vita endelevu na kama Dunia ni lazima tujifunze kuishi nayo kama ilivyoishi na Ukimwi na sasa Corona.
Kule Kyiv watu wameanza kuchoma nyama, kwenda Club na kujivinjari katika migahawa na mitaani kama kawaida.
Despite continued nighttime attacks from Russia, daily life in the Ukrainian capital Kyiv is slowly returning to normal,
Hiki kiichi kitaunganishwa na Kaliningrad nacho kiwe Cha Russia .Wengi hawaelewi Kaliningrad ni mji wa Urusi ambao kabla ya vita ya pili ulikuwa unamilikiwa na Ujerumani, baada ya vita mrusi autwaa kwa makubaliano. Sasa ili kupitisha hayo makaa ya mawe na bidhaa zingine ni LAZIMA apite Lithuania - na wote mnajua Lithuania ni member wa EU. (angalia ramani hapo chini)
Sasa toka juzi Luthenia kafunga njia, kwa hiyo Mrusi akitaka kupeleka mizigo kule ni lazima labda anzungukie Belarus kama unavyoona hapa kwenye ramani ni njia ndefu mno.
Ndiyo maana tukasema kama ni vikwazo basi na wewe lazima wakupige navyo. Mrusi kasema atajibu mapigo. Sasa tunasubiri - stay turned.
Kumbuka Lithuania ni member wa EU.
View attachment 2267497
Mganga hajigangi[emoji41][emoji41][emoji41]Marekani inaendelea kuteseka zaidi na kuongezeka kwa bei ya mafuta ya Urusi, yanasema yataka kuseti kikomo cha bei ya mafuta ya Urusi.
Kwani si tuliaminishwa kuwa Marekani huwa ana akiba kubwa ya mafuta kiasi kwamba anaweza kuhudumia Dunia? Sasa mbona Biden na wamarekani wote wanalilia kwa bei ya mafuta kupanda nchini Marekani?!
Halafu Marekani si ilitangaza kuwa yenyewe imesitisha kununua mafuta ya Urusi, Sasa mbona wamarekani wanateseka kwa bei ya mafuta ya Urusi kupanda?
Si huwa tunaambiwa kuwa Marekani hutoa misaada mingi ya pesa kwa nchi zinginezo ikiwemo Tanzania, kwa nini Marekani inashindwa kujisaidia yenyewe kwa serikali ya Marekani kufidia ongezeko la bei yya mafuta ili raia wa Marekani waendelee kulipia ile bei ya dezo waliyozoezwa kudekezwa na Urusi?
View attachment 2267341
Mkakati wa Urusi ni kujaribu kuondoka Ukraine kwa heshima, maana so far ni aibu kwa taifa kubwa kama hilo kupigana na Ukraine kwa miezi 4 na bado haelewi afanye nini ili kumaliza vita hiyo !!
Hivi EU kumbe wameishafika hapa?
Ilinipita hii
===
Anyone who wants to buy Russian food and fertilizers can do so freely and without the fear of sanctions, which don’t apply to these products, EU Foreign Policy Chief Josep Borrell said on Monday.
“Our sanctions don’t target food, don’t target fertilizers. Everyone that wants to buy Russian food and fertilizers, they can do it, no obstacles... so they can operate, they can buy, they can transfer, they can insure,” Borrell told the press ahead of a meeting with EU foreign ministers, which is set to focus on ways to free up Ukrainian grain stuck in Black Sea ports amid the ongoing military conflict in the country.
vita gani ya kubomoa majengo, mitaro, barabara ndugu? - Mrusi anapigana vita ya karne ya 17 ni aibu kwa Taifa kubwa linalojinadi lina weredi mkubwa kwa mambo ya vita pamoja na silaha za kisasa - killing civilians afu unajisifu, useless.