LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
anahenyeshwa kivipi mkuu? wakati hadi sasa hivi ukraine inakula kipigo kitakatifu tena bila majibu? huku miundombinu yake ikiharibiwa vibaya sambamba na wanajeshi wake kufa kama kuku? hadi sasa hivi hakuna hata risasi moja iliyovuka urusi, na kwanini wanaomba msaada km wana uwezo wa kumcontain mrusi na kuhimili vishindo?
 
Hayo mafuta na gesi vmepanda ulaya huko au na nyie huku mnanunua gesi ya russia???
Pili vita haiwez fika huku maana hatuhusiki na hao unaosema NATO hawazezi ingza majeshi yao ukraine sababu ukraine sio member wao
 
Wapi ilisemwa kwamba USA to Iraq, Libya Na Israel to parestina hivyo sio vitendo vya kihalifu?
Kwanini unaona ni sahihi kuhalalisha ubaya kwa ubaya mwingine?.
Mbona US anaendeleza operation zake Yemen kwa kutumia kivuli Saudi Arabia na kuua raia wasio na hatia lkn mpaka mda huu dunia ipo kimya.

Ndio huwezi kuhalalisha ubaya kwa ubaya,ila tukitaka dunia iwe salama basi UN,US na EU waache unafiki, kwani wao ndio wameacha majanga makubwa kuanzia Iraq,Libya, Afghanistan nk ambapo mamilioni ya watu wamekufa na hizo nchi hazitawaliki, zimekuwa machaka ya kigaidi ambayo wanasambaza itikadi za kigaidi mpaka kwenye nchi zetu za Afrika kuna vikundi vinawatii ISIS.

Nchi kama Libya ni sawa na Jehanum iliyopo dunia,magaidi kibao, biashara ya viungo vya binadamu na vita isiyokuwa na mwisho. US anapigania haki ya Ukraine, wakati ICC wameomba uchunguzi ufanyike kwa raia 24 waliokufa Yemen (BBC Panorama),wakawawekea vikwazo wale majaji. Ila siku na saa uchunguzi ukifanyia Iraq,Libya na Afghanistan utapata picha halisi ya unyama wa kutisha kwa mamailioni ya raia waliokufa wasio na hatia na ndio maana US na washirika wake akiibuka mtu yoyote kuhoji lazima wamuwekee vikwazo.

Tukitaka dunia iwe sehemu salama basi tuache unafiki.
 
askari wa ukraine wao hawafi ee? yaani urusi arushe makombora usiku kucha halafu askari wake ndo wafe kwa wingi kuliko wa ukraine? yaani ndani ya siku 5 marekani kaunda silaha gani na kakuza uchumi gani mariamu matako wazi?
 
Ndio shida ya propaganda za uongo.... angalia sasa anavohaha ye si hero akaze sasa tumwone na mbaya zaidi ombi lake kujiunga EU limekua rejected...
Kwa lugha ya kawaida haelewi huyu. Mmarekani kutaka kukutorosha mapema ilielewa nini kinatokea, kujifanya unasimama na kupigania ardhi ambayo we mwenyewe ulikuta na kuingiza raia wasio na Atia wakati iliwezeka kukaa chini tangu mwanzo hiyo ni akili ambayo hupaswi kuwa nayo hata baba nyumbani.

Kuingilia hiyo vita ni kutangaza vita na Russia, akiua wanajeshi wako ni ameua mwanajeshi wa mmarekani, Kukaa mezani tangu mwanzo hata vita haijaanza ilikuwa strategy nzuri sana, Ungeokoa maelfu ya watu either Russia au Ukraine na yeye ndiye angekuwa shujaa sasa. Tuendelee kutazama.​
 
In the center of Kharkov, a rocket hit a fuel truck of the Armed Forces of Ukraine.

Rumble and smoke all over the city.
Your browser is not able to display this video.
 
Big point
 
Kabisa mkuu
 
Katika watu wajinga na wapumbavu nafikiri wewe ni mmoja wapo..

Kuna vita ilishawahi pigwana usiku mmoja? US alitumia muda gani Afghanistan, Iraq, Vietnam na Libya??
 
Unafikiri silaha zinazotoka ulaya kwenda ukraine ni msaada? Kuna biashara kubwa inaendelea hapo.
Kumbuka vita ya pili ya dunia Marekani alifanya sana niashara ya silaha
 
Kwa mujibu wa myukrane wa buza Kwa mpalange🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…