Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Haya majamaa yanatuma silaha mpaka yanaishiwa ila Russia yuko stableView attachment 2269346
Niligusia hii ishu majuzi. Hawa jamaa waliandaliwa sana . Ukisoma ripoti ya kila siku ya waziri wa ulinzi wa Russia utagundua hawa jamaa Wana silaha nyingi mno . Hizo silaha zilisambazwa ndani ya Ukraine kila baada ya eneo dogo kuna maficho ya ardhini na chini ya ardhi. Majeshi yanayopigana ni ya Nato . Makamanda ni Nato na instructors ni Nato.

Demilitarization ilikua haiepukiki
 
Chaos ERUPTS over in Italy over continued military support for Ukraine with members of the ruling coalition walking out saying 'no more weapons to Zelensky'.
Polls show the vast majority of people in Italy want a peace deal but technocratic PM Draghi insists the arms must flow.
 
Kinachofanya waingizwe kwenye Arab league ni Utamaduni wa kiarabu, lugha ya kiarabu pamoja na dini ya kiislamu
Duh mwamba, au basi tu sio mahala pake huu mjadala.

Na sio Sudan pekee, Komoro, Somalia, Djibout naEritrea bila kusahau hata Zanzibar pia ipo eligible kuingia na kuhesabika kama Taifa la kiarabu ila mambo ya Muungano yakavuruga.
Bora ungechimba maana ya arab mwamba, Sudan kaskazini kuna Sudanese Arab, Eritrea hakuna waarab wala Arabic sio lugha yao kubwa, Official language hawana ila wana lugha ya kazi, ambayo ni Tigrinya arabic na English, kingine Eritrea yupo Arab league kama Observer, the same kwa Brazil, India na Venezuela.

Kule Comoros kuna Afro-Arab, Kigezo cha dini pia hakina mashiko. Lebanon miongoni mwa waanzilishi wa hiyo arab league kuna almost half of population ni Wakristo.

Katika vigezo vitatu ulivyovitaja kile cha pili ndio chenyewe, Arabic language. Ndio primarily ya Arabic League. Waarab wapo wa aina tofauti tofauti.

Waarab wengi wao waislam na tamaduni zao ni za Kiislam, that means hata Iran ana tamaduni kama za Saudia kasoro lugha. Lakini Iran ni Persians. Hawapo kwenye hiyo league.

Mauritania hakuna waarab kiivyo ila wanazungumza kiarab. Mauritania kumejaa Harati, Fulaani, Halpulaar, Mande, Howo kwa zaidi ya asilimia 70. Ila wamo arab league. Kigezo ni kile cha pili ulichotaja. Cha lugha.

In general waarab wapo wa aina nyingi, inategemea na kile kilicho akilini mwako kua ni wa aina ipi. Ila sio rangi ya ngozi mwamba!

I think that's why Jesus Mlokozi alikupa mfano wa wahindi weusi mkashindwa kuelewana.
 
Hakuna cha mizimu wala nini ni tamaduni zetu kutegemea ancestors wetu watusaidie pale tunapokwama,neno mizimu limepewa sifa mbaya ili tuone tulikua wapumbavu kuamini katika mababu zetu.

Mababu wa mababu zetu waliomba mvua ikanyesha,waliomba ufumbuzi wa Kila walilohitaji wakafanikiwa kwa kutumia njia zao nazo ni umwagaji wa damu za wanyama.

sasa apa unapata mfano wa rejea kutoka kwa baba wa imani Ibrahim alitaka kumtoa sadaka mwanae wa pekee,yeye nadhani alienda extra mile ili kuonyesha utiifu kwa bwana Mungu wake hivyo ndio akaonyeshwa mwanakondoo si ndio.Hii inadhihirisha kua kwenye jamii yake umwagaji wa damu kwa ajili ya kuomba ni kitu cha kawaida.

Hata wao wanatoa damu kama sadaka kwa ajili ya kufanikisha jambo lao.

Hii ipo mpaka leo hii kwa izi imani zote kuu hapa nyumbani kwamba kuna sikukuu fulani zikifika inapaswa damu imwagike sasa inatofauti ganii na enzi za mababu zetu(mizimu) wenyewe walitimiza bila kuambiwa na hao ivyo tuwape heshima yao bana walikua bora kwa wakati wao.

Tamaduni mbovu zilikuwepo sikatai ila zilikoma na ni jamii zote zilikua nazo hizo tamaduni mbovu.

Mi naona tuwaeshimu waliotutangulia kuishi katika hii ardhi ya Africa,walikua na mema ya kuenziwa,tegemea hata sisi hapa tukifa baada ya miaka 100 tutakua mizimu na wa upande wa pili wao watakua watakatifu tukomeshe huu upuuzi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanamkiwi naona umeamua kuja na jina ingine
Sawa tutaendelea kukupa spana na huku mpaka uje na nyuu nem
Yaani wewe upigane halaf ushinde ila mguu na jicho uwe huna
Kama ndio ushindi huo ngojeeni mnyooshwe huko DON BASS nakwengine ili akili irudi mahala pake
RUSSIA TAIFA TEULE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UKRAINE HAOOOO NATOOO !!!

Ukraine huenda leo ikapata tiketi ya kuwa kwenye mstari wa kunyemelea uanachama wa umoja wa ulaya huku Urusi nayo ikiendelea kukandamiza ili jambo hili lisiwezekane maana itakuwa ni pigo kubwa la karne.

Hii si habari nzuri kwa Urusi ambao washajiapiza kuhakikisha Ukraine haitii mguu umoja wa ulaya.

Ukraine looks to EU as Russia drives on​

Ukraine’s President Volodymyr Zelenskiy has hailed the European Union’s expected offer of candidate status for his battle-weary nation, as Russian forces continue to pound Ukraine’s second-biggest city Kharkiv and the eastern Donbas region.


​

​

 
Wahunzi wa kiafrika walikatwa sana mikono
 
Yes, watu wa Sudan sio waarabu ila kuchanganya tamaduni, lugha na Imani ya dini ya kiislamu ndio wamejitanabaisha kuwa wao ni waarabu na kuwa included kwenye Arab league.
Sijui kukujibu jibu nitakuwa kama nakushambulia? Any way utanisamehe tu. Em tuambie waarab ni wakina nani? Ukiwa na majibu ya hilo basi hoja ya wa Sudan huezi kuipinga.

Case ya Sudan sio kama hiyo mifano unayoitoa. Somalia ethnic yao ni Somali sio arab japo wanazungumza kiarab na kisomali hilo linafahamika.

Lakini kwa Sudan ya kaskazini. Kule kuna waarab ambao wanadai Ancestry yao ni moja ya koo zilizokuepo enzi. Ukiwa na wazo la waarab ni weupe basi hutopata picha kamili.

Wala case ya Sudan haifanani na Djbout, Djbout asili yao ni Somalis na Afar.

Issue ya Sudan unaweza kuifananisha na Comoros, Comoro kuna Afro-Arab, utawaona wapo partial au totally black. Kama Sudanese Arab waliopo hapo Sudan.
 
Tuna nyimana maji ya kunywa kisa hatushiriki ibada pa1, dadeki 😂😂😂
 
Duh...JF Imeingiliwa...kwa hiyo EU ni NATO!!!!!????
 

Unapotaja viungo ni pamoja na lile shimo[emoji23]
 

Kama ni hasara bhs US kala hasara kubwa sana
 

Hizi kelele ni kama za kipindi kile cha FINLAND & SWEEDEN lakin mpaka leo kimyaaa[emoji23][emoji23]. Naona mmeanza tena kwa Ukraine acha tusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…