Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

👊👊⚫👊👊
 
Hizi kelele ni kama za kipindi kile cha FINLAND & SWEEDEN lakin mpaka leo kimyaaa[emoji23][emoji23]. Naona mmeanza tena kwa Ukraine acha tusubiri
Hizi je ??

"I would like to warn Europeans against dangerous rhetorical games on the topic of conflict," the Interfax news agency quoted Russian Deputy Foreign Minister Sergei Ryabkov as saying on Wednesday.

The US State Department said on Tuesday its commitment to Article 5 of NATO's founding treaty - which states that an attack on one member of the alliance is an attack on all - was "ironclad."
 
Hapa watu huwa hawajiulizi kivipi Big Pharma wanavuna Matrillion ya fedha na kwa namna gani wanajiimarisha kuendelea kuwepo sokoni.

Hawajaiulizi kwanini Afrika daima inageuzwa soko tu sio eneo la uzalishaji.

Hawajiulizi kwanini western wanapigania sana Values za Tamaduni zao, kwa fedha au kwa silaha na Vita, je ni faida gani wanaipata in return.

Wengi hatujiulzi, na hatutaki kujiuliza.
 
WTF, si wanasema wana demokrasia hawa? Kwamba watu ndio waamuzi sasa vipi tena hiyo KIMA moja inaamua kwa mihemko yake? Au hiyo ni special type of democracy 😂😂😂
 
Wahunzi wa kiafrika walikatwa sana mikono
Hizo ndio hila za biashara bro, Kuua local technology kuna-pave a way ya kuingiza forein technology... Ambapo in long run ya nyumban inakufa mazima mnakuwa wategemezi kutoka nje.

Kama ambavyo wahunzi walikatwa mikono enzi hizo ndivyo hivi sasa kinafanyika bado. Technology zote zinazorise hasa ukanda wa kusini wa dunia "Global South" inanunuliwa na hawa "Global North" walio jimilikisha mifumo ya pesa.

In turn, kitu unakianzisha wewe... Wanakinunua halafu wana kupangia cha kufanya jui yake... So ile Circle ya utawala na kutawaliwa inaendelea.
 
Utakuta tech flan ipo Malawi, mwanzilishi M-Malawi, Owner British Dadeki. Hapo tutajua hatujui.
 
Fight for Severodonestsk and Lysychansk entering ‘Fearsome Climax’: Kyiv advisor

This comes as the LPR claims about 1,300 Ukrainian soldiers and “Foreign Mercenaries” have fallen into a “tight ring” of Russian forces in the area south of Lysychank.

Kuna mtu keshazungukwa hapo!!
 
Salute general
 
Sio wewe uliyesema Haujui kuhusu Maidan Revolution!!?? Sio wewe uliyesema hajui kuhusu Donbass!!?? Sio wewe .... Aseeee kamalizie vidonge vyako aseee .... Huyu ni nani ....malizia vidonge wewe uchizi hauponi unapungua nguvu tu.
 
Kama hizi tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20220623_113715_113.JPG
    64.6 KB · Views: 21

Hakuna kitu hapo kwamba wewe ni mgeni na NATO??
 
Hahahhaha
Ni muda wa kuitisha Kalibr 3 ili kuweza kukamilisha mazishi😂 ya viherehere toka NATO na wanafunzi wao.

Kamanda Medevedev tunaomba Kalibr 3 tu...Asante!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…