Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huh you get it wrong Miss Ngaboru.

Until when utakapokuja tambua kila aina ya knowledge iliyopo mbele yako ina some flaws. Utaweza ongeza ability to understand vitu critically.

Kila kitabu kina some flaws, kila history ina some flaws, kila kona kuna some flaws. Kilichopo kunapishana degree ya ukweli, kuna vitu vingine uongo mwingi kuliko ukweli, na kuna sehem kuna ukweli mwingi kuliko uongo.

Understanding ni nini? Understanding inakuja na prior knowledge... Basic knowledge ambayo daima huwa ipo kama reference ya kila jipya unalotaka kujifunza.

Swali, what if prior knowledge ikiwa ni wrong knowledge? Huh Hapo ndipo shida inapoanzia.

Em jiulize kwanza, Culture ni nini? Na kwanini hii Culture ipigiwe promo kwa kiasi kikubwa. Na wengineo... Wanaoipigia promo wananufaika na nini?

Ukisema kuabudu mizimu.. Haya kuabudu hiyo mizimu US na wenzie wanapata hasara gani na hilo?Au je kutokuabudu mizimu wao wananufaika vipi na hilo?

That's why nikasema mis-understanding. Hapa narudia tena kusema kila kilochopo mbele, itikadi flan au habari flan au taarifa flan ina some flaws, kuivaa bila kuichuja bado daima wengi wataendelea ku-miss ile target iliyokusudiwa.

Again what's Culture? Culture are the ideas, customs, and social behaviour of a particular people or society.

Hapo isome hiyo maana vizuri... Toka na hizo Key term 3. Ideas, Customs na Social Behavior... Hapo ndipo utapata majibu ya nini wananufaika nacho through Cultural Assimilation.

Unaowataja kama Ibrahim sijui au maria au sarah hao ni binadam kama mimi na wewe walioishi miaka hiyo na sasa washakufa kama ambavyo mie na wewe kesho tutadanja... Siwezi kuwaomba hao mvua au chakula kamwe.

Na utawaombaje wafu mvua wakati Rain ni natural occuring phenomenal? Hii issue ya wanadam kuwaabudu binadam wenzao ukiichimba psychology inakupa majibu. Binadam tuna tabia ya kushangaa sana.

Mifano hai ni Rais aliyetangulia, kuna watu walifikia hatua ya kumueka kama Mungu, hio ni hulka ya binadam. Hawa wanaoitwa mizimu ni watu mashuhuri waliokuepo wakadanja...

Baada ya mda wakachongewa vijisanam. Zile iman ambazo huwa naziita za kipuuzi wakaanza kuwa wanaziomba hizo sanam walizozichonga wenyewe.

Nimekupa mfano mwepesi, kuna watu hadi leo wanafanya matambiko, wanatembea na mahirizi ya mababu zao... Je kuna lipi wamelifanya la kujivunia?

Hiyo mizimu au hao wakina sara ambao umewatolea mfano, tukichinja ng'ombe 20 kafara tutapata Satellite huko angani? Tutapata Samart 2? πŸ˜‚

Sasa pale inaposemwa turudi kwenye tamaduni zetu sio kurudi kwenye miti kuomba mizimu. Hiki ndicho kinachowagharim wengi. "Understanding"

Understanding inaanza kwa kudefine key term kwa kile kilichosemwa, nimeambiwa nirejee kwenye tamaduni zetu. Kwani tamaduni ni nini? Na how zinahusiana na maendeleo. Hapo ndipo tutaenda na lengo lililokusudiwa.

Kama tamaduni ni mizimu, em nenda Congo, kuna Bantu Mythology, Chad na Gabon kuna Hausa Animism, Hapo Sudan kusini kuna Lotuko mythology. Ukirejea hapa Tz haraka haraka kuna Kalenjin na Maasai Mythology.

Hawana beliefs za kiiman kutoka kwa wageni eti Uislam au Ukristo incase labda unafikiri kwamba hatu-practice hizo beliefs za mababu.

Sasa yaangalie makundi hayo kama mifano iliyo hai, Jiulize tena kwa maana ya Culture unayoifikiria tukirudi huko ndio tutafika mwezini?

Of course hapana, culture is all about IDEAS, CUSTOMS and SOCIAL BEHAVIOR ambavyo kwa pa1 ndivyo vinahusika katika chachu y uchumi wa watu husika.

Haya yote sio mahala pake kwenye huu uzi. Ila tuzidisheni kupanua wigo wa uelewa katika mitizamo tofauti.

Moja wapo ya Customs ni kama Lugha, Lugha ndio msingi wa maendeleo, lugha ndio mzizi wa mawasliano. Bila lugha hakuna maendeleo. Sasa leo tunaacha lugha zetu tunajifunza za watu. Tena tumezifanya official!

That's means tume-create madaraja ya uelewa. Ili kuelewa kitu kinapita kwenye lugha zaidi ya moja ambayo inaweza fika kwenye lugha mama ukiwa umeisha ibadili maana ya awali.

Mtoto leo anazaliwa usukuman, anajua kisukuma, aanze kujifunza kiswahili, amalize ajifunze lugha ya kigeni.

Ukitamka neno la kingereza, anaanza kulitafsiri kiswahili, kisha alilete kwenye lugha mama yake ya kisukuma. Kujibu hivo hivo... Alitoe kisukuma alililete kiswahili kisha alilete kwenye lugha kusudiwa... Huuu ni MZIGO.

That way wanatoboa wachache, in turn tunawajaza wasiojifunza wengi mtaani kwa kushindwa mzigo huo ila haina maana kwamba hawana akili.

So inapotamkwa kurejea kwenye tamaduni zetu sio kuabudu masanam kama mabudha au mizim sijui ya kalikwenda au kalirudi.

After all hii maana hailazimishwi kua ndio pekee iwe, anyone anaeza tafsiri kwa uelewa wake as long as ina fit image anayoitaka.
 
"The graveyard of empires" ni jina lingine inalojulikana Afghanistan..dola nyingi zilizovamia huko hazijawahi kushinda wala kuwa na mwisho mzuri
Mongol empire ulianza kuangukia huko
Mughal empire
British empire
Soviet union
Sasa ni usa

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa usa lazma aende namaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wewe uliyesema Haujui kuhusu Maidan Revolution!!?? Sio wewe uliyesema hajui kuhusu Donbass!!?? Sio wewe .... Aseeee kamalizie vidonge vyako aseee .... Huyu ni nani ....malizia vidonge wewe uchizi hauponi unapungua nguvu tu.View attachment 2269540
Huyu Kipala ni mwanamkiwi ndani ya ID tofauti

Akili ni nywele kila mtu ana zake, but huyu ni kipala hana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watu wanataka waendeshe Lamborghini zao kwa amani na kuvalia gucci kwa raha halafu mtu anataka alete shobo aharibu burudani za raiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wamuondoe tu kiongozi mwehu huyo.
Unaonaje wakinichagua mie πŸ˜‚

Nitahakikisha tunaweka brand mpya in town, Z au V... Gucci imefubaa
 
Kila kitabu kina some flaws, kila history ina some flaws, kila kona kuna some flaws. Kilichopo kunapishana degree ya ukweli, kuna vitu vingine uongo mwingi kuliko ukweli, na kuna sehem kuna ukweli mwingi kuliko uongo.
πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š

Mifano hai ni Rais aliyetangulia, kuna watu walifikia hatua ya kumueka kama Mungu, hio ni hulka ya binadam. Hawa wanaoitwa mizimu ni watu mashuhuri waliokuepo wakadanja...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hiyo mizimu au hao wakina sara ambao umewatolea mfano, tukichinja ng'ombe 20 kafara tutapata Satellite huko angani? Tutapata Samart 2? πŸ˜‚
Eti, Samart 2... Dogo fala sana wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Afghanistan pale sijui kuna nini πŸ˜‚

Pia ni miongoni mwa nchi ambazo hazijawai kutawaliwa kamwe toka enzi!
 
Hivi ww Una akili kweli? Russia hakatai Ukraine kuingia EU, Russia anakataa Ukraine kuingia NATO,EU ni economic body.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Idea ni moja sema jinsi ya kupresent labda ndio maana tunachanganyana.

Kwa kifupi mimi nilimaanisha tusividharau vya kwetu na kutukuza vya kwao kwani sote tu binadamu.

Na nikatoa angalizo kuna bad believes na good ila kwa utashi wetu tuendeleze yaliyo mema kutoka kwa mababu zetu tuache kukopi na kupest.

Naona neno mizimu linakupa ukakasi
Maana ya mizimu ni roho zilizoishi katika mwili kabla ya kuaga dunia na mazehebu mengine huita watakatifu.

Why iwe nongwa kwetu kuwakumbuka watu wetu alafu iwe ok kwa kina augustino, ibrahim, Mariam,abel,Musa etc.

Na kuhusu maasai wana Mungu wanaemuamini before haya mapokeo wao pia wameathiriwa.Ni ENKAI (NKAI) ambae aliwakilishwa kwa rangi nyekundi na nyeusi.

Hivyo ni wazi hauwezi kumtenganisha kiumbe yyte chini ya jua na MIZIMU.

Kuhusu Kuomba mvua kwa kufanya matambiko hazikua makosa kwa kipindi icho na ndio maana ilivyogundulika n system ya anga na ardhi hiyo ikaachwa.

Ukitaka uthibitisho mwingine ni kutoka kwa hao watakatifu waliamini dunia n meza ivyo galilee alivyosema n duara aliuawa so errors zipo mpaka kwao.

Kwa nini tusi wa apriciate wazee wetu kwa error zilizopita kama wao walivyokuja kumfanya mtakatifu mzimu galilee na kumuomba msamaha.

Hii ni nature katika kutafuta kutatua changamoto yyte kwa binadamu kuna mbinu huwa zinatika mpaka pale itakapojulikana chanzo na suluhisho la hilo tatizo.Haipaswi kuona ni ushenzi ila nikatika harakati za kutatua jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…