Yamungu Athumani
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 1,383
- 3,258
Una akili sana ndugu yangu.Niligusia hii ishu majuzi. Hawa jamaa waliandaliwa sana . Ukisoma ripoti ya kila siku ya waziri wa ulinzi wa Russia utagundua hawa jamaa Wana silaha nyingi mno . Hizo silaha zilisambazwa ndani ya Ukraine kila baada ya eneo dogo kuna maficho ya ardhini na chini ya ardhi. Majeshi yanayopigana ni ya Nato . Makamanda ni Nato na instructors ni Nato.
Demilitarization ilikua haiepukiki
Maneno sahihi kabisa bossAnachokifanya RUSSIA ni kupigana vita zaidi ya moja
Anapigana vita ya KIUCHUMI dhidi ya west hapa tunaona hajaweza ila anazidi ama anajaribu kuiondolea dola nguvu iliokua nayo
Nandio maana jamaa huku kawapa statement ya RUBO huko kwengne anatumia RUPEE YUAN nk
Hapo kwaupande wa vita ya KIUCHUMI anajaribu kuichallenge dolar swali atafanikiwa
Jibu niacha tuone ingawaje mpaka sasa anaenda vyema
Vita ya silaha tunaiona inaendelea hapo UKRAINE
Tuupeni muda nafas yake MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ulisema kuwa EU ni sawa na NATO, nilichofanya ni kukuonesha kuwa EU na NATO ni vitu viwili tofaut.vsasa kwa taarifa yako Ukraine anaomba membership ya EU kwa nguvu zote ili akishapata ita accerate NATO membership.
Tatizo la warusi wa bongo ni kukariri mambo... UKRAINE inalilia kuwa EU member, ukishakuwa EU member kuna benefits nyingi sana unazipata kwa wana Ulaya wenzako iliwemo kusaidia ki-uchumi na ki-usalama na mengineyo hata kama usipokuwa NATO member.
Ndiyo maana wapo na mabango yako wakisema UKRAINE ni Ulaya na si Urusi kama anavyotaka babako Putin.
View attachment 2269745
FAIDA ZA KUPATA CANDIDATE STATUS.
Candidate status would also bring financial advantages. It would send a strong signal to the whole world that Ukraine is an attractive investment opportunity offering the possibility of strong future growth.
Ultimately, receiving EU candidate status would represent a significant milestone in Ukraine’s efforts to finally kiss goodbye to the Soviet legacy and rejoin the European family of nations. At the end of the day, that is what the current war is all about.
Hivi itakuwaje mfano US wakarusha kombora kumuua Lavrov hapo Iran kama walivyofanya kwa yule kamanda wa Iran??
Nini kitatokea.? Russia watafanya nini??
"Nimewaza ujinga tu hapa"
Putin alisema lazima kutakua kunachange of elites naona wameanza BulgariaHuu mwaka kuna nchi zinajitoa EU na NATO acha mvua iendelee kunyesha hzo ni habar nzuri sana
Wabishana na FUSO pole MKUU bora ungebishana na SCANIAMkuu ulisema kuwa EU ni sawa na NATO, nilichofanya ni kukuonesha kuwa EU na NATO ni vitu viwili tofaut.v
Hiyo ya kuaccelerate ni yako wewe
Kuna watu wengine Kuwajibu unakuwa Unaji Potezea Muda tu
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ru, Sergey Lavrov akutana na Waziri wa mambo ya nje wa Iran mjini Tehran kwa mazungumzo kuhusu uhusiano wa kiuchumi katika kukabiliana na vikwazo walivyowekewa.
alaaa, kumbe vikwazo vinaingilia eee hadi kuanza kuomba poo kwa majirani dadadeq na bado.Waziri wa Mambo ya Nje wa Ru, Sergey Lavrov akutana na Waziri wa mambo ya nje wa Iran mjini Tehran kwa mazungumzo kuhusu uhusiano wa kiuchumi katika kukabiliana na vikwazo walivyowekewa.
View attachment 2269783
Namuona Mwamba Anakunywa Tu Mtoli Katulia safi full Kujiamin Full Tabasam
mwamba Wa Dunia,Chuma,
Acha kabisa Afya ya Putin ni Aman ya Dunia
MUNGU IBARIKI URUSI