Huu ni muda mzuri sana wa Russia kuongeza ushawishi duniani na akifanikiwa hili atakua amepiga hatua kubwa sana. Pia tunasema "adui wa adui yangu ni rafiki yangu"alaaa, kumbe vikwazo vinaingilia eee hadi kuanza kuomba poo kwa majirani dadadeq na bado.
Vita ya uchumi keshaweza.Anachokifanya RUSSIA ni kupigana vita zaidi ya moja
Anapigana vita ya KIUCHUMI dhidi ya west hapa tunaona hajaweza ila anazidi ama anajaribu kuiondolea dola nguvu iliokua nayo
Nandio maana jamaa huku kawapa statement ya RUBO huko kwengne anatumia RUPEE YUAN nk
Hapo kwaupande wa vita ya KIUCHUMI anajaribu kuichallenge dolar swali atafanikiwa
Jibu niacha tuone ingawaje mpaka sasa anaenda vyema
Vita ya silaha tunaiona inaendelea hapo UKRAINE
Tuupeni muda nafas yake MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
UK pia siyo member wa EU.Unatenganisha vizuri kabisa, soma taarifa vizuri.
Kuna member ni EU na hawapo NATO ( Austria, Finland, Sweden, Cyprus, Ireland and Malta)
Na kuna members ni NATO na hawapo EU (Turkey, Montenegro, Albania, Norway, North Macedonia and Iceland)
So NATO na EU ni tofauti organs kabisa which operates in a very different aspects.
Alikula mtori wa moto akaungua koromeo πππHeee wewe!,uko nchi Gani wewe.!
Huyo sio Putin halisi,huyo ni clonnie,putini halisi alishakufa miezi mitano iliyopita.
Aliuliwa na majasusi wa Mossad walitumwa na CIA.
Aliwekewa sumu ya mamba kwenye uji.
Putini hupenda sana uji wa ulezi uliochangnywa na mtindi.
Putin Kafa.
πππHata Mimi nilidhani Dola ndio pesa iliyopitishwa na UN kumbe sio ni ujanjaujanja wa USA tu.
Huu ulaghai walisha wafanya Uturuki tokea 1999 mpaka Leo bado process hazijakamilikaGranting Ukraine the status of an EU candidate is symbolic, accession will require huge reforms and time - Prime Minister of Belgium[emoji845]
Huu ulaghai walisha wafanya Uturuki tokea 1999 mpaka Leo bado process hazijakamilika
The question is: will ukraine exist as a state and nation six months from now?!?!sasa kwa taarifa yako Ukraine anaomba membership ya EU kwa nguvu zote ili akishapata ita accerate NATO membership.
Tatizo la warusi wa bongo ni kukariri mambo... UKRAINE inalilia kuwa EU member, ukishakuwa EU member kuna benefits nyingi sana unazipata kwa wana Ulaya wenzako iliwemo kusaidia ki-uchumi na ki-usalama na mengineyo hata kama usipokuwa NATO member.
Ndiyo maana wapo na mabango yako wakisema UKRAINE ni Ulaya na si Urusi kama anavyotaka babako Putin.
View attachment 2269745
FAIDA ZA KUPATA CANDIDATE STATUS.
Candidate status would also bring financial advantages. It would send a strong signal to the whole world that Ukraine is an attractive investment opportunity offering the possibility of strong future growth.
Ultimately, receiving EU candidate status would represent a significant milestone in Ukraineβs efforts to finally kiss goodbye to the Soviet legacy and rejoin the European family of nations. At the end of the day, that is what the current war is all about.
Kimenuka kitu gani?! Hivi unajua maana ya candidate status?!KIMENUKA....PIGO JINGINE KWA URUSI.
View attachment 2269705
Kyiv to receive EU candidacy status
European Union leaders in Brussels are expected to greenlight Ukraineβs first step towards joining the bloc.
Bado uko nje ya Script Kisiju, ingia ndani, Case ya Sudani sio ya kujinasbisha. Hii mipaka ya nchi iliyopo leo mwanzoni mwa miaka 1900 haikuepo.Naona haujapinga andiko langu Bali umeliongezea nyama tu.
Hivyo Sudan sio waarabu Bali ni Arabized au they identify them as such.
Nimekuqoute
. Self Concept, kwamba naamua kujivalisha au kujinasibisha na Uarab.
Lakini umeondoa culture aspects katika hili.
Nchi kama Mauritania ambayo utumwa mpaka Leo hupo sio tu Wanaongea kiarabu lakini pia Utamaduni wao ni kiarabu.
Comoro lugha yao wameichanganya kati ya kiswahili, kiarabu na kifaransa zama hizi ila zamani kiarabu na kiswahili kilitamalaki kwa kutumia maandishi ya kiarabu.
N.B kujinasibisha na jamii Fulani hakukufanyi kuwa miongoni mwao
Hivi yule jamaa aliyekuwa akileta humu kile kinachodaiwa ni majina ya Askari waliouliwa mbona simuoni Tena humu?! Alikuwa na Id yenye jina refu hivi...Yaan huhitaji uelewa mkubwa kujua kama mwanamkiwi kaja kivingine
Ila atanyooka tu leo anaspana zake zakutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Chamason-Morrison-Sakhoson πππHivi yule jamaa aliyekuwa akileta humu kile kinachodaiwa ni majina ya Askari waliouliwa mbona simuoni Tena humu?! Alikuwa na Id yenye jina refu hivi...
THEY WOULDNβT FVCKING DARE
Ganga zumbaHivi yule jamaa aliyekuwa akileta humu kile kinachodaiwa ni majina ya Askari waliouliwa mbona simuoni Tena humu?! Alikuwa na Id yenye jina refu hivi...
Alienda Ukraine kuongeza nguvu na mpaka leo mawasiliano yake na kikos anachokitumikia hayapatikan[emoji41][emoji41][emoji41]Hivi yule jamaa aliyekuwa akileta humu kile kinachodaiwa ni majina ya Askari waliouliwa mbona simuoni Tena humu?! Alikuwa na Id yenye jina refu hivi...
Alikula mtori wa moto akaungua koromeo πππ
Umerudishiwa simu!!?? πππππ€£π€£π€£π€£π€£..... Karibu tena ..spana zipo palepale...Maneno sahihi kabisa boss