Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Taarifa zinazokonga moyo...Hahaha Utamsikia Mpuuzi mmoja Tokea Kibera Urusi Kashindwa Vita
Songa Mbele Mwamba Uiheshimishe Dunia
The military of the Lugansk People’s Republic is expecting a mass surrender of Aidar militants from the Azot plant in Severodonetsk
Hakuna "WACHAKATA TAAARIFA ZA KIJASUSI KAMA URUSI"... Kwanza kabla ya kujua "Intelligence" ..wanatakiwa kujua "ESPIONAGE".... MI NAWAPA TU TERMINOLOGIES... WAKATAFUTE WAO WARUDI..... Maana wengi akili zao ni za ULEZI ..KICHWA BOGA.... NGUMU SANA KUNG'AMUA VILIVYOMO KATIKA UJASUSI WA KIUCHUMI NA KIDOLA ...TUWAONEEE HURUMA....Heee wewe!,uko nchi Gani wewe.!
Huyo sio Putin halisi,huyo ni clonnie,putini halisi alishakufa miezi mitano iliyopita.
Aliuliwa na majasusi wa Mossad walitumwa na CIA.
Aliwekewa sumu ya mamba kwenye uji.
Putini hupenda sana uji wa ulezi uliochangnywa na mtindi.
Putin Kafa.
Zelensky akikamatwa atanyonywa na kufinyiwa kwa ndani.ameleta usumbufu wa kijingaYaani umekomaa utafikiria wewe Putin na mimi Zelensky. Take it easy mkuu uwe tu serious na kazi yako.
Bomba bhana, dude la mrusiTsar Bomb.... Tsar Bomb... kama unajua kazi ya hili dude huna haja ya kuumiza akili zako.. kama hulijui nenda ka google utalielewa
Huyu bwana ilikuwa laanaGanga zumba
Mimi kwenye suala la dini Mimi naamini kabisa kuwa hizi dini zote zilizoletwa na ngozi nyeupe hazikuletwa Kwa lengo tunalohubiriwa Ila zilikuwa mahususi kumfanya mtu mweusi asiwe mbunifu na aachane na utamaduni wake na kumfanya aamini bila rangi nyeupe yeye Siyo kitu kabisaSwadakta mdau, anyway ngoja niseme kitu kingine na leo...
Ukirejea kwenye history ya darasani, inasema waarab waliingia Afrika karne ya 7, mabeberu haya yakaja Afrika karne ya 18, baada ya mapinduzi ya viwanda.
Wakati wanakuja Afrika walikuja na ujio wa Dini, Missionary activities... Hapa kwa mtu mwenye akili kuna jambo au mambo ya kujiuliza na kuyatafutia majibu.
Kama lengo la beberu lilikuwa ni kutawala, swali ikawaje au alifikiria nini kuleta ujio wa dini kama mwanzo wa kuweka utawala wake. Jibu la haraka haraka litakuwa "Divide and Rule", Ingawa ukipanua wigo wa mawazo ni zaidi ya hilo.
Kuna weakness flan tupo nayo sie watu weusi, hatuna kitu inaitwa "kiasi" katika mambo yetu. Kila kitu huwa tunafanya "kupitiliza"... Yah I mean tuna "extremism" ya hali ya juu.
Tukipenda basi tunapenda kupindukia, na tukichukia tunachukia kupindukia. Hatuna kiasi katika upendo au chuki. Huu ni udhaifu mmoja mbaaaya sana... tena mbaya mno.
Udhaifu huo uko hivi, unapopenda au kuchukia kupita kiasi unaondoa normal decisive power uliyonayo. So unafanya na kuamua kwa mahaba endapo umependa au kwa chuki kama hujapenda... Always unakuwa nje ya uhalisia. Hii ni kwa mujibu wa saikolojia.
Kwa kulijua hilo, ikawa ndio mission yao ya kwanza Afrika, I think that's why wakaitwa Missionaries... Ha ha yani wazee wa Mishe mishe 😂 (kidding), their key Job ikawa ni kujaza upendo kuhusu wao kwenye nyoyo za watu weusi.
Na kwasababu mtu mweusi hana kiasi, akauvaa ule upendo utosini hadi kwenye unyayo, so ile decisive power ikafa. Then ikawa kila kitu sawa, yani sawa sawaaa.
Naam mababu zetu wakachumbiwa namna hiyo.
Tuendelee...
Ni kama leo, upate pesa... Kesho uzikose useme huzitaki tena huo ni uongo. Baada ya watu weusi kupewa "Uhuru" wao. Hawakuishia hapo, bado ile kiu ya utawala ipo, na itaendelea kuwepo unless itokee siku tuamke kwenye huu usingizi tuliolala ulojaa wingi wa ndoto nyevu.
Uki-refer kwenye hii Raman, utaona miaka ya nyuma hapo wengi tukiwa hatujazaliwa, Power ya Dunia ilikuwa wapi. Wakina nani walijipa mamlaka ya kutawala kila pembe duniani.
View attachment 2269005
Tusijisahau nyie, Madaraka matam, na kiu ya madaraka huwa haikatiki. Bado wana ham na wanafanya juhudi ya kila hali kuendelea kuyamiliki madaraka hayo!
Huezi kumtawala kijinga mtu mwenye akili timam, lazima umpumbaze mithili ya msukule ili aweze kutawalika. Na hiki ndicho walichofanikiwa kwa kiasi kikubwa through mind controlling tool maarufu kama Media.
Kulieleza hili maelezo yangu yatajikita afrika tu.
Ili ukoloni wa nyuma ya pazia uendelee kuwepo wanahitaji kuwe na wapumbafu wengi zaidi Afrika. Wakijaa makatwente wengi mithili ya MK254 na kundi lake kila Order itakayotoka itapokelewa kwa mikono miwili.
Na kwasababu sie watu weusi hatuna kiasi, show ikaanza kwa kuletewa tamaduni ambazo si za kwetu, hii ni kubadilishwa asili yetu na kupewa asili ya kigeni. Ambayo ni Tattoo ya Utumwa.
Wakaikamata na kuicontrol mifumo yetu ya elim. Yote tunacopy kutoka kwao, na tunacopy old fashioned system ambayo ukiileta kwenye hii dunia iliyochangamka inakuwa Useless.
Zikaboreshwa starehe, Media zao zikaplay part kubwa kwenye hili. Leo hii kizazi chetu cha 1990+ kinataman kua kam Jay Z na Beyonce. Kile bata kwa wingi kama Lil Wiz. Ila sio kesho au keshokutwa kitafanya nini..
Ukirejea tena the fact kua sie huwa ni wazee wa kupindukia. Leo African tunaongoza kwa kupenda starehe kuliko Bara lolote duniani.
So wakati tuko busy kuwaza Pombe na ufuska, wao wako busy kuimarisha Control yao dhidi yetu.
Africa tunachaguliwa wa kumpenda na wa kumchukia, hatuna "taste" yetu. Shubir ikiitwa Asali tunaitikia, na Sukari ikiitwa mwarobaini tunaitikia, Bado hapa napo katika mapenzi na chuki hatuna Chujio.
Wameinajisi mashariki ya kati kwa kuwaita Magaidi, wao wako hapo wanachimba mafuta wanapeleka kwao. Sometimes wanatuuzia na sie huku. Lakini ukichunguza kelele za Ugaidi zimeanza kipindi kipi? Zimeanza US alivyojipenyeza hapo Mashariki ya kati.
Kwa kua sie tumepandikizwa chuki, hatuna mahusiano na hizo nchi ya kueleweka. Nitoe mfano wa UAE, ni Nchi hiyo ina waarab wa asili kama 11% ya population nzima.
Wengine waliobaki zaidi ya 88% ni wageni, wengi wakiwa kutoka mataifa hayo hayo yanayowaita magaidi huku Africa tukipeleka wafanyakazi wa ndani tu hawa dada zetu.
Na sio UAE pekee, Qatar, Kuwait, Jordan n.k kumejaa expats wengi kuliko raia, sasa kama nchi za kigaidi wanaenda kulundikana huko kutafuta nini? Hilo nalo hatushtuki?
Sio hivyo tu, below ni list of countries with highest technology kwa ujumla... Hii list haijatolewa na Mchina wala Mrusi, imetolewa na jarida la USNews na wenzie.
View attachment 2269023
Kwenye top 10, utaziona Russia na China. Ila hizi nchi zinachafuliwa na hao hao ambao pia wamejazana kwenye hizo nchi na kufanya nao biashara.
Weusi desturi yetu ni kuchukia kupindukia au kupenda kupindukia, wakisema China ama Russia mbaya basi tunajitenga nao mazima. Ila wao wanafanya biashara na hizo nchi kwa kiasi kiiiiiikubwa sana.
China kama mfano wa kuigwa, hajafika hapo leo alipofika bahati mbaya, wana kitu hii inaitwa "Yin Yang", ni Philosophical Concept ambayo inaelezea how obviously opposite au contrary forces may actually be complementary, interconnected, and interdependent in the natural world, and how they may give rise to each other as they interrelate to one another.
View attachment 2269028
Damn! Hiyo picha najua sio ngeni kwenu, We need to know how tunaweza ku'control chuki na mahaba ili kurejesha decisive power yetu iliyopotea. Tunatakiwa tuweze kua in charge ya kile kinachoingia kwenye milango yetu ya faham, macho na masikio ili Ubongo utoe maamuzi yenye tija.
Ikirudi itatuwezesha rasm kujua aliye mzuri kwetu ni nani na aliye mbaya kwetu ni nani bila chuki wala mahaba ya kupitiliza.
Inabidi ifike hatua walau tuamke tushtuke tujiongeze na tuamue.
Hili gazeti so poa, ila nawakumbusha tu kiroho safi. Katika nchi zinazoongoza kwa kua na rasilimali nyingi duniani ni hizi.
View attachment 2269031
Out of hizi top 10
1. Canada na Australia zipo chini ya Familia moja ya Malkia Elizabeth. Je Hujiulizi how na kwanini familia hii iendelee kumiliki kiasi hicho bila bughdha?
2. Ukitoa hizo nchi 2, Canada na Australia ukaongeza na Saudia kibaraka wa US... Waliobaki wote wana ugonvi dhidi ya US, sio kwamba wao waanzisha Ugonvi dhidi ya US, bali US amekua akisaka Control kwenye nchi hizo kwa mwamvuli wa Ugashocracy a.k.a Democracy.
My people hivi mnafikiri ni usalama wa dunia ndio unapambaniwa? Laa hasha!
Of course jibu ni sio, bali kinachopambaniwa ni World total Control, maarufu kama NWO.
I may be the youngest of oll here, ila nikiwatizama baadhi hasa pro-west mnadhihirisha kabisa kua Umri ni number tu. Kwamba hata Punguani huwa anazeeka.
Aseee Nimeongea mengi babeki ila mkiniona chizi baridi... endeleeni kulala mie mbu wamening'ata sana usingizi umekata!
Na Mimi nasisitiza hizi dini zilizoletwa na ngozi nyeupe hazijaja Kwa nia nzuri kama wanavyohubiriYote tisa kumi ni dini hii ni kansa inayotutafuna wototo wa Africa.
Maarifa yetu yamemezwa na hofu ambayo haipo.
Angalizo.
Sijazungumzia Mungu mkuu wa kila kitu ila dini.
Africa tulikua tunamtambua Mungu na hata kwenye kabila zetu ana jina la kikabila hivyo .
Dini ni biashara ila sisi hatutambui hili ila naamini kitakuja kupatikana kizazi majasiri,wajuzi na wenye msimamo kuisimamisha Africa.
Tukiweza kurudi kwenye tamaduni zetu na kuzienzi tutafika.
Ask-Q ... najiuliza sana hivi ... Wana Mafikirio Gani.....!!?? Unajua Kwa Umri wako .... Ukifuatilia comments .. naheshimu sana.. ndio nilikuwa namalizia Bachelor of Arts In Economics .... !! Nikaona hili JF ni Jimbo huru.....katika umri.mdogo nimefuta vyeo vyote vya Serikali.... ANZIA HUKO ...MJIPANGE.. NIMEIPIMGA HII SERIKALI... KARIBU...MNIMUSANYE ..... NIBUTUE ZAIDI..Hakuna "WACHAKATA TAAARIFA ZA KIJASUSI KAMA URUSI"... Kwanza kabla ya kujua "Intelligence" ..wanatakiwa kujua "ESPIONAGE".... MI NAWAPA TU TERMINOLOGIES... WAKATAFUTE WAO WARUDI..... Maana wengi akili zao ni za ULEZI ..KICHWA BOGA.... NGUMU SANA KUNG'AMUA VILIVYOMO KATIKA UJASUSI WA KIUCHUMI NA KIDOLA ...TUWAONEEE HURUMA....
😁😁😁😁😁Noma😂😂😂
Wooooi kavuliwa suruali kumbe ndani kavaa pichu ina matobo... AIBUUU
Finland waliwanyoosha wasoviet lakini hiyo ardhi hawakuitoa Kama zawadi Bali ilikua Ni occupation hivyo basi ukafanyika mkataba was kumaliza Vita. Mkataba ukachukua 10% ya ardhi ya Finland mpaka leo na kesho na keshokutwa.Hata Finland walishinda , walimchakaza Urusi halafu wakampa Urusi asilimia 10 ya Ardhi ya Finland kama zawadi Kwa kupigwa na Finland. USIFANYE FUVU LAKO KUWA KABATI LA MENO,MACHO NA ULIMI TU ....LINATAKIWA KUBEBA UBONGO PIA (KAMA UNAO).
Nilishakaribia mbona, nikasoma updates na kuwajibu waliokuwa wanazungumza wakati sina access.Umerudishiwa simu!!?? 😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣..... Karibu tena ..spana zipo palepale...
Ukitaka kujua wa Russia Vita wanaijua na wanaimudu angalia mbinu za kuwakamata hawa wanajesh wa ukraine wanaojificha kwenye viwanda Kama nyumbu haya sasa wanajeshi 2000 mnazungukwa mnapigwa pini alaf Russia wanakupa machaguo mawili jisalimishe au ufe mtu anaekupiga mapigo hayo ujue anakumudu vizuri sana maana Kama hakumudu ni lazima akuuwe kwakua wewe ni tishio kwake, ila kwakua ni nyumbu anajua hata akikuacha hai anakubana wapi na unatulia kama mwanakondooHii Mbinu Anayo tumia Mrusi Sio ya mchezo mchezo Yaani Unazingirwa hakuna Nzi kuingia Au kutoka
The LPR reports that up to 2,000 enemy soldiers and officers are surrounded in Gorsky and Zolotoye in total. Zolotoye-3 and Zolotoye-4 were released today. The cauldron is already cooking.
🤣🤣🤣🤣Huyu bwana ilikuwa laana
Wale Wana history Wana analyse tu na kuunganisha dot ...World War II Leaders
Today Russia marks a historic anniversary, the Day of Remembrance of Sorrow. 81 years ago, Nazi Germany attacked the USSR. Twenty-seven million Soviet citizens died in what is known here as the Great Patriotic War, which became the bloodiest in history. During the conflict, the balance of power was held by 'the Big Three': Winston Churchill, Franklin Roosevelt and Joseph Stalin.
At different times in history, they were either great allies or great rivals. Great Britain and the USA had plans drawn up to attack the weakened USSR after the war. At the same time, London, buying American weapons under the lend-lease program, was mired in debt. This ultimately became a leading cause of the downfall of Britain's colonial Empire.
Don't miss our premiere, 'World War II Leaders' to learn how relationships between the USSR, USA and Great Britain developed before, during and after WWII.
Nalog off Z
🤣🤣🤣🤣🤣Ask-Q ... najiuliza sana hivi ... Wana Mafikirio Gani.....!!?? Unajua Kwa Umri wako .... Ukifuatilia comments .. naheshimu sana.. ndio nilikuwa namalizia Bachelor of Arts In Economics .... !! Nikaona hili JF ni Jimbo huru.....katika umri.mdogo nimefuta vyeo vyote vya Serikali.... ANZIA HUKO ...MJIPANGE.. NIMEIPIMGA HII SERIKALI... KARIBU...MNIMUSANYE ..... NIBUTUE ZAIDI..
NILISEMA ...
. WENGI TUNATAKA KUWA HURU..JF ITATULINDA!!?? .
Kumbe nimezeeeka.......nakuachia upambane na Hawa watoto... Likija jambo sitosita KUKEMEA..........
et ana jina lefuChamason-Morrison-Sakhoson 😂😂😂
Maisha magumu alibadili ID kaka, akawa anajiita 3ZOV, akatoroka tena amekaa anasubiri tukio arudi.
Pana Watu hawajui zao la ujasusi ulimwenguni ni East(Soviet huko). Wengine America,M16 wamejifunza tuHakuna "WACHAKATA TAAARIFA ZA KIJASUSI KAMA URUSI"... Kwanza kabla ya kujua "Intelligence" ..wanatakiwa kujua "ESPIONAGE".... MI NAWAPA TU TERMINOLOGIES... WAKATAFUTE WAO WARUDI..... Maana wengi akili zao ni za ULEZI ..KICHWA BOGA.... NGUMU SANA KUNG'AMUA VILIVYOMO KATIKA UJASUSI WA KIUCHUMI NA KIDOLA ...TUWAONEEE HURUMA....
Ipi exactlyNa Mimi nasisitiza hizi dini zilizoletwa na ngozi nyeupe hazijaja Kwa nia nzuri kama wanavyohubiri
Nimejikuta natabasam tu 🤩🤩🤩Ask-Q ... najiuliza sana hivi ... Wana Mafikirio Gani.....!!?? Unajua Kwa Umri wako .... Ukifuatilia comments .. naheshimu sana.. ndio nilikuwa namalizia Bachelor of Arts In Economics .... !! Nikaona hili JF ni Jimbo huru.....katika umri.mdogo nimefuta vyeo vyote vya Serikali.... ANZIA HUKO ...MJIPANGE.. NIMEIPIMGA HII SERIKALI... KARIBU...MNIMUSANYE ..... NIBUTUE ZAIDI..
NILISEMA ...
. WENGI TUNATAKA KUWA HURU..JF ITATULINDA!!?? .
Kumbe nimezeeeka.......nakuachia upambane na Hawa watoto... Likija jambo sitosita KUKEMEA..........