Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Umeniuliza waarabu ni watu gani?[emoji38][emoji38][emoji38]
Ni watu ambao lugha yao ya asili ni semetic mfano Amharic language, Jews na Arabs language.
Hao ndio wanatakiwa wawe waarabu.
Sasa nikuulize kwa nini waethiopia hawapo? Na hawahesabiki kuwa ni waarabu.
Inakujae wasudani wenye vina Saba vya karibu na Tuareg pamoja na Fulani wahesabiwe ni Waarabu.
Hakuna muharabu sudani zaidi ya kujinasibisha kutokana na sababu zifuatazo
1) lugha
2) Imani
3) kutawaliwa na hiyo jamii eg ukoloni kipindi Cha kale
4)Utamaduni uliopandikizwa kwa viazi na miongo kadhaa nyuma.
Hapa case study ni Sudan, Mauritania.
Soma hako kaatiko nilikoambatanisha kinacholezea kuwa Wasudani wamekuwa Arabized by their colonial masters na sio they are natural Arabs.
Hapo kinsema wazi wazi kuwa wamekuwa Cultural and Linguistic Arabs
N.B Mnubi sio Muharabu
View attachment 2270045
Nakuunga mkono.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Idea ni moja sema jinsi ya kupresent labda ndio maana tunachanganyana.
Kwa kifupi mimi nilimaanisha tusividharau vya kwetu na kutukuza vya kwao kwani sote tu binadamu.
Na nikatoa angalizo kuna bad believes na good ila kwa utashi wetu tuendeleze yaliyo mema kutoka kwa mababu zetu tuache kukopi na kupest.
Naona neno mizimu linakupa ukakasi
Maana ya mizimu ni roho zilizoishi katika mwili kabla ya kuaga dunia na mazehebu mengine huita watakatifu.
Why iwe nongwa kwetu kuwakumbuka watu wetu alafu iwe ok kwa kina augustino, ibrahim, Mariam,abel,Musa etc.
Na kuhusu maasai wana Mungu wanaemuamini before haya mapokeo wao pia wameathiriwa.Ni ENKAI (NKAI) ambae aliwakilishwa kwa rangi nyekundi na nyeusi.
Hivyo ni wazi hauwezi kumtenganisha kiumbe yyte chini ya jua na MIZIMU.
Kuhusu Kuomba mvua kwa kufanya matambiko hazikua makosa kwa kipindi icho na ndio maana ilivyogundulika n system ya anga na ardhi hiyo ikaachwa.
Ukitaka uthibitisho mwingine ni kutoka kwa hao watakatifu waliamini dunia n meza ivyo galilee alivyosema n duara aliuawa so errors zipo mpaka kwao.
Kwa nini tusi wa apriciate wazee wetu kwa error zilizopita kama wao walivyokuja kumfanya mtakatifu mzimu galilee na kumuomba msamaha.
Hii ni nature katika kutafuta kutatua changamoto yyte kwa binadamu kuna mbinu huwa zinatika mpaka pale itakapojulikana chanzo na suluhisho la hilo tatizo.Haipaswi kuona ni ushenzi ila nikatika harakati za kutatua jambo.
Ukitaka kujua wa Russia Vita wanaijua na wanaimudu angalia mbinu za kuwakamata hawa wanajesh wa ukraine wanaojificha kwenye viwanda Kama nyumbu haya sasa wanajeshi 2000 mnazungukwa mnapigwa pini alaf Russia wanakupa machaguo mawili jisalimishe au ufe mtu anaekupiga mapigo hayo ujue anakumudu vizuri sana maana Kama hakumudu ni lazima akuuwe kwakua wewe ni tishio kwake, ila kwakua ni nyumbu anajua hata akikuacha hai anakubana wapi na unatulia kama mwanakondoo
Ni najua mwarabu wa kwanza na Ishmael. Ambaye ni mchanganyiko wa mnubi na mpersiaTaratibu tu mku tutafika wala usiwe na haraka... Kwanza tafsiri uliyotoa kuhusu waarabu sio ya kweli.
Umesema kwamba waarab ni watu wa asili ambayo lugha yao ni semetic, mfano amharic language, Jews na arabs language.
Hio tafsiri siyo ya kweli.
Je umekubali kwamba tafsiri unayoijua kuhusu Arab sio sahihi tuendelee kwenye kituo kinachofata?
Uliza kwa lugha ya heshima kwanza.Una kaza FUVU vitu vya kijinga...unafahamu Kuna "Race " ngapi..sio "Race" mbio za magari na pikipiki.. nauliza "RACE" ETHNICITY....SIJUI UMENIELEWAAAAA....!!!
Kwa hiyo rasmi Galip Vrl umeiingia [emoji101][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Tulia mdogo wangu, Bro wako nipo!
Katika ma pro NATO we ndo unakuaga muelewa kidogo ila wengine wamezoea kuburuzwa.Maneno sahihi kabisa boss
Lete ushahidi wa kupinga na sio kuuliza kama nimekubali au la???!!!!!!!Taratibu tu mku tutafika wala usiwe na haraka... Kwanza tafsiri uliyotoa kuhusu waarabu sio ya kweli.
Umesema kwamba waarab ni watu wa asili ambayo lugha yao ni semetic, mfano amharic language, Jews na arabs language.
Hio tafsiri siyo ya kweli.
Je umekubali kwamba tafsiri unayoijua kuhusu Arab sio sahihi tuendelee kwenye kituo kinachofata?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ni najua mwarabu wa kwanza na Ishmael. Ambaye ni mchanganyiko wa mnubi na mpersia
Daaah .... Nibaki ....kusema Nimeishi Marekani, Uingereza na Urusi ..ila ni Urusi tu ndio walinipa kashkash ..... Wale jamaaaa ....Eeeeh maana jamaa walipoona hawamuwezi mwamba Putin wakaanza kumuombea kifo.
Yaaani pro USA na NATO wanatamani Putin afe .
Wanaamini Urusi hawezi kwenda bila Putin.
Lkn ukweli Moscow Kuna wangama wakali Putin Mtakatifu.
Hata akifa Leo Urusi bado haitaweza kuyumbishwa.
Hapana nilitegemea utanimbia ni shangazi zako, mwamba jifunze kwanza ujue unachokizungumza kabla ya kubishana.Lete ushahidi wa kupinga na sio kuuliza kama nimekubali au la???!!!!!!!
Umeniuliza nimekujibu, Sasa bisha kwa hoja.
Au ulitarajia nitakwambia ni wazulu wale [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hiiii screen shot yako inakufunga mwenyewe, I bet tatizo hapa ni taarifa moja kila mtu anaitafsiri kivingine.Umeniuliza waarabu ni watu gani?[emoji38][emoji38][emoji38]
Ni watu ambao lugha yao ya asili ni semetic mfano Amharic language, Jews na Arabs language.
Hao ndio wanatakiwa wawe waarabu.
Sasa nikuulize kwa nini waethiopia hawapo? Na hawahesabiki kuwa ni waarabu.
Inakujae wasudani wenye vina Saba vya karibu na Tuareg pamoja na Fulani wahesabiwe ni Waarabu.
Hakuna muharabu sudani zaidi ya kujinasibisha kutokana na sababu zifuatazo
1) lugha
2) Imani
3) kutawaliwa na hiyo jamii eg ukoloni kipindi Cha kale
4)Utamaduni uliopandikizwa kwa viazi na miongo kadhaa nyuma.
Hapa case study ni Sudan, Mauritania.
Soma hako kaatiko nilikoambatanisha kinacholezea kuwa Wasudani wamekuwa Arabized by their colonial masters na sio they are natural Arabs.
Hapo kinsema wazi wazi kuwa wamekuwa Cultural and Linguistic Arabs
N.B Mnubi sio Muharabu
View attachment 2270045
Sio mbaya mkuu elim haina mwisho... Kama upo tiari kuongeza nitakwambia.Ni najua mwarabu wa kwanza na Ishmael. Ambaye ni mchanganyiko wa mnubi na mpersia
Kash kash kwenye nini MKUU !!!??Daaah .... Nibaki ....kusema Nimeishi Marekani, Uingereza na Urusi ..ila ni Urusi tu ndio walinipa kashkash ..... Wale jamaaaa ....
huyu nilimtupia kwenye ignore list na empty text zake zilinikera. Unajua kuna news kumbe ni empty text za jamaa. Nyie pro nato ni zero kabsaChamason-Morrison-Sakhoson πππ
Maisha magumu alibadili ID kaka, akawa anajiita 3ZOV, akatoroka tena amekaa anasubiri tukio arudi.
πππHiiii screen shot yako inakufunga mwenyewe, I bet tatizo hapa ni taarifa moja kila mtu anaitafsiri kivingine.
Jiheshimu uheshimiwe...ukileta shombo ..mi nanukia zaidi ya nguru aliyetiwa chumvi.... Akili zako za mnuko wa ngo'nda mbichi.... Utamu wa kuungua kama sukari guru.... Ukija Kwangu njooo kistaarabu ...unavyokuja ndio nakugongesha hivyohivyo...Uliza kwa lugha ya heshima kwanza.
Pili siandiki bila kuweka ushahidi wa hicho ninacho andika
Vikapuku vyetu hivyo. Vipe heshima yao...huyu nilimtupia kwenye ignore list na empty text zake zilinikera. Unajua kuna news kumbe ni empty text za jamaa. Nyie pro nato ni zero kabsa
walidhani vifaru ni kwa ajili ya kilimo, ila kwa sasa ndio wamejua kazi yake hapo Ukraine.Hivi yule mkulima wa trekta kuvuta vifaru mbona kimya siku hizi?