Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

πŸ˜‚
Mithili ya MK254
 
Sasa mkuu naomba nikuulize
Kiarabu ni lugha ya asili ya Sudan, Komoro, , Zanzibar, Djibout?

Kumbuka umeandika neno native speaker.

Hivi leo Chotara Mimi wa kindengereko na kizaramo kwa sababu nimefundishwa madrasa na pale bakwata Taifa kabla sijaenda sehemu kuongeza ilimu ya dini nje ya Tanzania.

Ninaweza ongea kiarabu, nami nijihesabie ni Mwarabu?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Arabized African societies hawawezi kuwa waarabu.

Assimilated African societies hawawezi kuwa Wafaransa.
Eti kisa Wanaongea na kuiga Utamaduni wa mfaransa na wenyewe wawe considered Wafaransa?

Hivi Mimi mtu mweusi nikiongea na kuwa na Utamaduni wa kichina baada ya miongo kadhaa, tutahesabiwa ni jamii ya kichina?

Hapa ndio waafrika tunapochanganya na kuchanganyikiwa.

Mchina hawezi kuwa mafrika hata kama atajua lugha na kufuata tamaduni zetu Bado atabaki Mchina tu.
Ila Mwafrika aliyeshikiliwa kwenye utumwa na baadae ukoloni na waarabu naye anajiona Mwarabu zaidi.

Wacha ncheke[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hatuezi kufikia mwafak kama tunabishan badala ya kujifunza. Galip Vrl amekupa definition ya Arab hapo. Amekwambia kabisa kua arab sio race.

Nyuma pia nimekwambia Arab sio Race, ila we mwenzangu husomi ukaelewa. Unasoma kutafuta cha kubishania.

Narudia tena kwa mara ya mwisho. ARAB SIO RACE MDAU, KUSEMA KWAMBA NI WEUPE AU WA NAMNA HII. ARAB ni LINGUISTICS NA CULTURAL TERM AMBAYO INAENDA KWA ARABIC SPEAKER.

Unachopingana nacho kipi sasa? Again Arab is the one who native, first language ni Arabic. Sasa wewe n hisia zako unaipindisha maana ifit unachokifikiria.

MDAU ARAB SIO RACE, ARAB SIO WA KUWATAMBUA KWA RANGI ZA NGOZI ZAO. ARAB au ARAB PEOPLE ni watu wanaozungumza KIARAB full stop.

Kukubali au kutokukubali hakutobadilisha maana.

Kwanza ushanikera kuhusisha issue za kidini, ushaanza kuhisi tunakukatalia kisa dini. Kuna umuhim gani wa kuendelea na hili?

Shida yenu mna generalise bila kuangalia mnazungumzia kipi. Wewe unaitwa Muafrika kwasababu upo na umezaliwa Afrika, lakini wewe ni Mtanzania, bado wewe ni mmakonde... Ukichimba tena asili ya makonde utaikuta nyingine.

So ukijua wewe ni mmakonde kwa hiyo wewe sio muafrika au?

Mdau eeh. Em tuweke kituo...

We baki na yako tusichafue uzi na Kelele za Arab na Arab people hapa.
 
Russia hata mashambulizi yao wanapiga kistaarabu sana wanapiga bila kusababisha madhara makubwa kwa Raia wema isiyo wahusu, lakin mpuuzi Zelensky ndo anaua Raia wake mwenyewe kwa kuwalazimisha wapigane vita kwa kauli ya kujitolea Ila Kiuhalisia anawalazimisha maana hana nguvu ya kutosha mbinu wala ubavu wa kupimana na Putin sasa kaamua kutoa watoto wa watu kafara kwasbabu ya kuwa kibaraka wa mashoga wa West
 
Jiheshimu uheshimiwe...ukileta shombo ..mi nanukia zaidi ya nguru aliyetiwa chumvi.... Akili zako za mnuko wa ngo'nda mbichi.... Utamu wa kuungua kama sukari guru.... Ukija Kwangu njooo kistaarabu ...unavyokuja ndio nakugongesha hivyohivyo...
Kama unataka tubadilishe lugha Mimi nipo tayari shubaamiti.

Ng'onda kwetu hicho kitoweo, tena raha yake ukile na ugali wa Mhogo huku kibendu kikichomwa.

Wewe shusha mzigo huna haja ya Kutoa tahadhari
 
Kitendo cha kuingiza issue za kidini, nisha-kunawa mwamba.

No more talks buddy!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Asalaaleeeee
 
Hapa Mkuu upo sawa kabisa

Yaani bantu sifa Yao kubwa ni Ile natives language ndio zinazowatambulisha.
Yaani Wazulu, Wakonongo, baganda ila sio kiingereza kama lugha na tamaduni tulizo lazimishwa kuzikopi toka Uingereza.

Sasa iweje kwa Arabs iwe tofauti, wakati watu wa Sudan walitawaliwa na Ile lugha kuwa imposed kwao na tamaduni pia.

Yaani Leo Wazimbabwe na Wazambia wajitambulishe kama waingereza kisa wanazungumza kiingereza.

Wana tamaduni kama Waingereza ndio yaani hata kuchamba wenyewe wanatumia tissue badala ya maji[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sasa ndio wasudani ya kaskazini wanavyowaza
 
Eti pro Russia wanajiona hawateseki[emoji23]madikteta bhana!ukiangalia pasi zao za kusafiria hukuti hata mmoja anaenda kwa madikteta.Ni kama waarabu wanawachukia wazungu ila kutwa wanazamia huko!
 
Nafikiri nimechambua vya kutosha, watu watasoma na kuelewa mnachomaanisha na ninachomaanisha ambao ndio ukweli ila humu si makala pake pa hii mada.

Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unanifurahisha bro, sasa kama Issue ya bantu umeielewa ya Arab inakushinda vipi? Kwani una chuki na waarab?

Mfano wa Bantu ndio kama Arab unless utake kubishana sio kuelekezana. Ile sio RACE, yani ulivoelewa kila kitu kuhusu Bantu people ndivyo ilivyo kwa Arab People.

Hakuna issue ya kutawaliwa wala kutawaliana.

Sema nimefurah pia napata kuelewa scope zenu nje ya kua Pro-Russia, hadi sasa wewe, Mr Tyang na Miss ngaboru kuna kitu mna share in common katika understanding. Ambazo bila mada za ziada nisingezijua πŸ€—

Yote heri, hilo tulifunge kesho tuamke na mapya au unasemaje mdau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…