Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nashukuru ila najua mnajua,
Lile ni debe tupu haliachi kutika
ndio mnifananishe nalo!!!
Dah???????
Yah ni kweli, hapana mwamba... Hufanani nae, najua dogo kasema mithili ya Mk254 ulipoingiza issue za dini kwenye ile post. Wala hakuwa na maana ya wewe kufanana na hilo bombonya.

Nishasema toka awali, Pro-Russia mna heshima yangu nishawapatia. Siezi kuwasema vibaya πŸ€—

Nyie ndugu zangu, ndio maana ulipogusa issue za dini nikasema STOP. Tuishie hapo...

So usijihisi vibaya mwanetu.
 
Hiyo sehemu ya dini Wala siikumbuki ninachojua niliizungumzia Imani ila Tupo pamoja mkuu.

Nadhani watu watasoma na kuamua wenyewe.
 
Hahahahah hayo ndio maneno ya ushuzi mmoja toka Pro NATO
 
Mzizi wa bantu ni native language Yao.

Lakini wasudani Ile lugha sio native language Yao imetokana kama nilivyo kwisha eleza kule kwenye nyuzi za awali.
 
Mzizi wa bantu ni native language Yao.

Lakini wasudani Ile lugha sio native language Yao imetokana kama nilivyoyataja hapo juu.
Bado upo nalo tu mdau? Lala bro usiku umepea! Kesho tudamke na mapya...

Fanya kama uko sawa hivi, Yani unawajua wa Sudan kuliko wa Sudan wenyewe. Inatosha, sawa mdau?

Haya it's Ukraine vs Russia now!
 
We ni mjita sio Mtanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Asalalaleee... Kawaida bro, hatuwezi fanana kila kitu.
 
N.B Nikiichukua Nukuu Moja inasema Waafrika watakubishia kila kitu na wanaweza kuja na mipango mizuri au mawazo chanya kwenye mambo mengi isipokuwa kwenye masuala yanayohusu dini na Imani.
Sasa unabisha hujaingiza issue za dini... Hii aliandika nani mjomba? Ilikuwa inahusiana nini na kile tulichokua tunakizungumza?

Lakini wasudani Ile lugha sio native language
Duh, unajua maana ya "Native language" Mjomba??? Native Language, iite first language au native tongue, mother tongue or L1. Hio ni lugha mama anayoishika mtu baada ya kuzaliwa kwake.

Hata leo mjapani akija hapa akazaliwa hapa, lugha yake ya kwanza ikawa kiswahili. Huyo kwake swahili ni Native Language yake.

Na in most cases, the term native language refers to the language that a person anaipata in early childhood because it is spoken in the family and/or it is the language of the region where the child lives.

Katika tafuta zako umesakua umepata kua Sudan wanazungumza Sudanese Arabic, a regional Variant ya Arabic. Sasa unaposema Arab sio native language ya Sudan una maana ipi?

Na hili utasema Waafrika sie tunakubishia kwasababu ni la dini au imani?

Oooh no! Kwa kweli hii mada bora tuiache tu mwamba!
 
Eti pro Russia wanajiona hawateseki[emoji23]madikteta bhana!ukiangalia pasi zao za kusafiria hukuti hata mmoja anaenda kwa madikteta.Ni kama waarabu wanawachukia wazungu ila kutwa wanazamia huko!
Mlivyokua waropokaji
Hakuna anae wachukia wazungu
Ila tupo tunaowapenda mnooo ila tunachukizwa na upuuzi wasera namatendo yao yahovyo
Unaupenda ushoga na usagaji !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimfanyie hivyo mwenzetu kaka, kisiju pwani mstaraab yu mbona hayupo hivyo kaka!
Naunga mkono hoja.
By the way mnabishana kwa hoja.
Na uzuri wenyewe Kila mtu anatetea alivyokua anaelewa.
Kumbadilisha mtu kama huyo inabidi umpe fact zisizo na chembe ya mashaka ndio atakubaliana na wewe .
Hata hivyo hii inaonesha Pro Russia Kuna vichwa kwelikweli.
Mdahalo huu usitotoe kwenye uhusiano Mzuri uliopo, tukaingia kwenye ma biff.
 
USA wana tabia zote za kichawi.
Yani wako kama Wachawi hawahawa wa kawaida tunaowafahamu Huku mitaani na vijijini.
Taifa Lina wivu na husda hili.
 
Bad news for proPutin warusi wa buzaπŸ€”
 
Neo Nazi Wana Roho mbaya sana.
Yaani wenawachoma miwili ya wenzao moto badala ya kuwaifadhi kwenye nyumba zao za milele kwa mujibu wa desturi za tamaduni zao! Ushahidi huu hapa. Tahadhari video kwenye link inatisha kidogo.
===
On June 21, Russian units advanced south of Lysichansk and took control of the towns of Ustinovka, Mirnaya Dolina and the village of Podlesnoe.

After the AFU withdrew from their military positions in Mirnaya Dolina, they left evidence of their inhumane activities in the town. The video from the area showed bodies of their dead comrades burned in fires.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…