LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums

Urusi hawamugopi kwasababu anajeshi imara, urusi inaogopwa kwasababu kiongozi wake ni fyatu anakimbilia nyuklia.
Marekani kapigwa sana ila hajawai THUBUTU kutishia nyuklia. Huyo boya katiwa kidogo katishia nyuklia.. Nazani unaona utofauti wa kati TIMAMU na ziro BRAIN.
Ukiondoa nyuklia kuna nchi nyingi hapa Afrika zinasimama nae.. I'm not talking this out of joke ninamaanisha.
Urusi haina uchumi wa kuweka kambi Kigoma kwa wiki 2/3 kuipiga burundi.
Kashindwa mpiga jirani yake wajeda wanaenda kwa mguu how comes aweze simama na Burundi umbali wote huo? 😊😊
Unipigana ngumi kidogo Unakimbili panga, ndiyo nini sasa?.
Niliwa pigana na rafiki yangu mmoja hivi ni mtu wa Togo aliniga ngumi Paap nikadondoka chini akanisubiri ninyanyuke ili tuendelee kupigana baada ugomvi kuisha nikamuuliza kwanini haukunivaa wakati nimeanguka pale chini!! Akasema:, ukiwa unajiamini katika kupigana uwezi fanya hivyo, nilisubiri usimame ili usione nimekuotea😂😂.. Matunda ya ugomvi ni kwamba until today we are friend.
 

😂😂😂
 

mkuu umeeleza vizuri sana ila hata wewe inaonesha ni mhanga wa propaganda za magharibi, unawezaje kusema hamasi ni wabaya unaweza kuthibitisha hili?
 
Sure USA huwa hatishii huwa anarusha kabusa kama kule Nagasaki na Hiroshima
 
Huyo komedi anataka afutiwe madeni ya nchini kwake [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] afu anadhani watafuta Yan wakupe risasi na maden wafute huyu anataka kupanda watu kichwani sasa
 
kule heroshima na nagasaki usa waliangusha mizinga ya mbagara eeh na waliangusha kwasababu ganii....?? etii mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…