Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka aache comedy.
Vodka nitalipia mimiTukishainyakua kiev Warusi wote wa Jf tukutane tujipongeze kwa kazi kubwa tuliyoifanya nitalipia ukumbi na gharama nyingine..
Rais wa Ukraine ni mpumbavu,hivi ni Nchi gani hapa Duniani itataka waingie vitani na Mrusi??,hakuna hakuna hata mmoja yenye uwezo huo na ndio maana mbinu wanatumia ni kuungana Ulaya nzima.
Na tatizo wakiungana Ulaya nzima yaani NATO nzima kwenda kupigana na Russia hiyo inakuwa tena ni WWW3,swali ni kuwa USA+NATO wapo tayari kwa WW3???
Ya inawezekana taarifa hizi zinapikwa na vyombo vya habari vya magharibi. Nafikiri tuombe vita visimame ili kuepusha majanga. Bwana P ni kichaa, anaweza kufanya jambo ambalo halikutarajiwa na wengi ikawa hasara kwa dunia yetu. Nasikia kibonyezo cha nyuklia anatembea nacho mfukoni kwake, hataki hata kumpa mtu akishike 🤣🤣🤣🤣
Tatizo hawa Euro na west kwa ujumla sitaki kutumia neno unafiki ila kuna kitu wao wanadhani wao ni superior kimawazo kuliko watu wengine wote na wamestaarabika kuliko watu wote hapa ndio tatizo. Maisha yao ni ghali kuliko maisha ya wengine na lazima waungwe mkono hata zile tasisi ambazo kwa miaka hawakutia siasa katika michezo kama FIFA na OIC wamewashurutisha mpaka wamachagua upande. Mtu yoyote akienda kinyume na mawazo yao huyo mbaya wanahubiri democracy lakini ni hawa hawa wakati Hamasi wameshinda vote wakaleteta fitna wakatolewa hapo Egypt alishinda uchaguzi Morsi yaliyotokea tunajuwa. Ok ni kweli Hamasi ni wabaya hilo halina ubishi lakini si wamepigiwa kura? Morsi alishinda lakini kwa kuwa hakubaliki na wao wakamtoa na mwisho kufa. Kama ndio hii safari tumeanza kama yake ya Bush either uko na sisi au na wao hakuna netral ndio tunaambiwa. Uhuru wa kuongea ndio nyimbo zao leo hii wanafunga media mpaka internet ili watu wasiongee. Nadhani uhuru wanaohubiri ni ule wanaoutaka wao kutaka mila zao lazima tuzikubali maana wao ndio civilized sisi wengine mapaka tu hatuna ustaarabu. Hakuna sehemu walitia mguu kukawa na mafanikio sio Libya, Iraq hata Syria wameacha majanga kwa watu.
Sure USA huwa hatishii huwa anarusha kabusa kama kule Nagasaki na HiroshimaUrusi hawamugopi kwasababu anajeshi imara, urusi inaogopwa kwasababu kiongozi wake ni fyatu anakimbilia nyuklia.
Marekani kapigwa sana ila hajawai THUBUTU kutishia nyuklia. Huyo boya katiwa kidogo katishia nyuklia.. Nazani unaona utofauti wa kati TIMAMU na ziro BRAIN.
Ukiondoa nyuklia kuna nchi nyingi hapa Afrika zinasimama nae.. I'm not talking this out of joke ninamaanisha.
Urusi haina uchumi wa kuweka kambi Kigoma kwa wiki 2/3 kuipiga burundi.
Kashindwa mpiga jirani yake wajeda wanaenda kwa mguu how comes aweze simama na Burundi umbali wote huo? [emoji4][emoji4]
Unipigana ngumi kidogo Unakimbili panga, ndiyo nini sasa?.
Niliwa pigana na rafiki yangu mmoja hivi ni mtu wa Togo aliniga ngumi Paap nikadondoka chini akanisubiri ninyanyuke ili tuendelee kupigana baada ugomvi kuisha nikamuuliza kwanini haukunivaa wakati nimeanguka pale chini!! Akasema:, ukiwa unajiamini katika kupigana uwezi fanya hivyo, nilisubiri usimame ili usione nimekuotea[emoji23][emoji23].. Matunda ya ugomvi ni kwamba until today we are friend.
nyie uwa mnahujumiwa tu kila sehemu! hata Tanzania mlisema mabeberu wanatuhujumu hela ya makinikia ilitosha kila mtanzania kumiliki Noah,tuambie ikiwa uko kijijini kwenu kuna mtu ana milki Noah ya makinikia. [emoji16][emoji16]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sindano zinaanza kuingia vizuri, dawa ya crystapen inaingia vizuri kwenye mishipa.
View attachment 2135597
kule heroshima na nagasaki usa waliangusha mizinga ya mbagara eeh na waliangusha kwasababu ganii....?? etii mkuuUrusi hawamugopi kwasababu anajeshi imara, urusi inaogopwa kwasababu kiongozi wake ni fyatu anakimbilia nyuklia.
Marekani kapigwa sana ila hajawai THUBUTU kutishia nyuklia. Huyo boya katiwa kidogo katishia nyuklia.. Nazani unaona utofauti wa kati TIMAMU na ziro BRAIN.
Ukiondoa nyuklia kuna nchi nyingi hapa Afrika zinasimama nae.. I'm not talking this out of joke ninamaanisha.
Urusi haina uchumi wa kuweka kambi Kigoma kwa wiki 2/3 kuipiga burundi.
Kashindwa mpiga jirani yake wajeda wanaenda kwa mguu how comes aweze simama na Burundi umbali wote huo? [emoji4][emoji4]
Unipigana ngumi kidogo Unakimbili panga, ndiyo nini sasa?.
Niliwa pigana na rafiki yangu mmoja hivi ni mtu wa Togo aliniga ngumi Paap nikadondoka chini akanisubiri ninyanyuke ili tuendelee kupigana baada ugomvi kuisha nikamuuliza kwanini haukunivaa wakati nimeanguka pale chini!! Akasema:, ukiwa unajiamini katika kupigana uwezi fanya hivyo, nilisubiri usimame ili usione nimekuotea[emoji23][emoji23].. Matunda ya ugomvi ni kwamba until today we are friend.
He hope God will not allow🤦♂️🤦♂️.’As for the use of nuclear weapons, I hope God will not allow this’ — Russia's UN representative