Walikuwa kwenye group therapy mchana kweupe.....chezea urusi wewe atawa denazify haoJamaa wa NATO walikuwa wanafanya mkutano hapo Lithuania, sasa Putin baada ya kujua akiamua kuingiza ndege juu ya paa jamaa wakapoteana na mkutano uliishia hapo hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naam shukran kwa Taarifa mdau wa nguvu!
Ingawa kiukweli dk 3 ni lugha ya kiuandishi sio realistic. Kwanini nasema hivyo?
Tufanye hivi kihesabu zaidi.
Umbali uliopo kutoka Moscow hadi London ni mile kama 1800 hivi, huu sio umbali wa barabara ambao tunaweza sema una kona za hapa na pale. Hii ni flight distance. Yani point to point.
Sasa tuje kwenye Speed, Distance and time calculation.
Kwa muda wa dk 3 ku-cover speed ya umbali wa kama mile 1,800. Itakulazimu utembee kwa speed ya 36,000 Miles per Hour, hii ni kama mach 48.5 hivi.
Swali sasa, je ni kweli samart 2 ina speed hiyo? Jibu ni hapana. So utaona zile dakika tatu zimetamkwa kiuandishi tu sio realistic.
Samart 2 ina maximum speed kati ya mach 20 hadi 27... Kwa hii speed kutembea umbali huo wa mile 1,800 itachukua mda range kati ya dk 5 for (speed ya 27 mach) up to dk 7 for (speed ya 20 mach).
So nadhani Umenipata sasa mdau sababu zilizonifanya nikasema chini ya dk 7 au sio?
Wanapigwa na nchi nyingine wao wanaisingizia urusi..maana urusi alishaishiwa makombora na chakula muda mrefu, si nasikia hata supermark zipo empty kabisa huko urusiAaah! Huyu Waziri ni muongo, Jeshi la Urusi lillishaishiwa silaha na chakula toka mwezi wa tatu huko, hadi wakulima wa Ukraine wakaanza kuvuta vifaru vya kirusi kwa trecta.
Kwasasa jeshi la Urusi halina hata AK47 pengine huyo Waziri wa Ukraine anaota tu hiyo Mvua mabomu anayosema.
Source: New York times! Hahaha,wameanza kufunguka🇷🇺[emoji95] Updates!!!
A secret network of US spies and commandos and their allies is helping Ukraine, including by providing intelligence, the New York Times writes, citing sources. According to the publication, dozens of commandos from NATO countries are working on the territory of Ukraine.
Nasikia printer hazijafika bado kutoka china, maana siku hizi kila kitu wanamtegemea mchinaWino utakuwa umekwisha mkuu hahahahaha
Nalog off Z
Vinafiaga madarakani vileKile kibibi pale London ni dictetor au yeye tumuitaje maana katawala miongo 7 sasa
senegal, ivory cost, libya & drcMkuu hizo nchi nne za Afrika zilizoudhuria mkutano wa Zelensky ni zipi?
Hiiii wamayo😁😁The Russian ruble has hit a 7-year high. Economic analysts predict that the ruble will soon become the world's strongest currency.
Harafu mtu anasema NATO hajaingia mzigoni sijui anategemea NATO apeleke nini ili aamini wakati anao kabisa siraha zinaeda, fedha zinaenda na wajeshi wanaenda kwa jina la kujitolea ama kufundisha.[emoji95] Updates!!!
A secret network of US spies and commandos and their allies is helping Ukraine, including by providing intelligence, the New York Times writes, citing sources. According to the publication, dozens of commandos from NATO countries are working on the territory of Ukraine.
Hapa hata muda wa kupiga kelele unakuwa hautoshi1,800 miles ÷ 3 = 600miles/minute
600miles ÷ 60 = 10miles/second
senegal, ivory cost, libya & drcn
DRC haikuhudhuria mkuu,ni Congo Republic.senegal, ivory cost, libya & drc
Senegal, Ivory Coast, Republic of Congo na Libya.Mkuu hizo nchi nne za Afrika zilizoudhuria mkutano wa Zelensky ni zipi?
Ndiyo mkuu lilikuwa onyo lakini lililotoa majibu chanya 🤣🤣🤣🤣👏[emoji23][emoji23][emoji23]Baadae EU wakaja na taarifa ya draft document ya kuondoa blockage waliyoiweka kwenye mji wa Kaliningrad kabla onyo la Urusi halija Expire kwa Lithuania.
NATO wameona EU atawaponza na kuwavua nguo endapo mwanachama wao Lithuania akichakazwa na Russia halafu wakaishia kupiga makelele tu.
Hizo zilikuwa salam tu, kwa Lithuania kuwa leo tumepitisha ndege tupu, onyo letu likiisha muda wake bado hamueleweki, tutapitisha Iskanda na hao NATO wenu hakuna watakachofanya.
Ukimuona mbwa juu ya mti ujue kapandishwa huko !!Lithuania kagoma kutoa njia kwenda Kaliningrad licha ya EU kuridhia, je nini kitatokea?
Ikumbukwe Lithuania ina Population ya watu kama 2.79M na GDP ya kama dola billion 56. In comparison hii GDP yao ni kama kiasi cha Aid waliyotoa US kwa Ukrainians.
Je? Ikitokea Lithuania akanyooshwa NATO watakubali ku-risk their trillions dola economy kwa ajili ya hiki kitongoji kilichojiamulia chenyewe kutunisha msuli wa kalio?
Ipo humu angalia post namba 52,689Mdau itupie humu hiyo vídeo ili tucheke wote hahahahaha
Nalog off Z
Of course!Huwa napitia comment za watu humu naona Kama hawaelewi tofauti ya Nato na EU.Kuna ambao wanachama wa Nato hawako Eu pia Kuna wala wanaowaza kutoka Eu Kama uingereza ila watabaki Nato.
Bora ni Kweli, na kweli humuweka mtu huru 😂😂😂 ni muda wa kukubali tu kuwa urusi amewatahiri bila ganzi.Wafuasi wa NATO kwa sasa tuna aibu kubwa sana. Au nasema uongo ndugu yangu figganigga ? Kitendo cha kufuatilia BBC,The sun sijui sky ni kupoteza muda,uhalisia ni tofauti na habari zao.
Nimestuka sana jana kusikia wanajeshi wa Ukraine wameambiwa waondoke tu kwenye mji wa severdonetsk kwa sababu hawana wanacholinda.
Ukienda vyombo vya magharibi unaona vifaru vya Urusi vikipigwa tu. Nimesikitishwa sana,sa ni chombo gani cha habari hakiegemei upande wowote nikifiate?
Mwamba kwamba katoa sketch tu juu ya kipigo kitakatifu watachokula mabwege wa London huku wakiwa gizani😂😂😂 na kukung'utwa na baridi kaliMember of Russian Parliament Says "London will be Bombed first"
A Russian Member of Parliament, Andrey Gurulyov, has said that "London will be the first city to be bombed by Russia if the blockade of Kaliningrad leads to a war with NATO.”
MP Andrey Gurulyov, 54, a member of Russian parliament’s defense committee, advocated the Russian invasion of the NATO Baltic countries.
On state TV’s Channel 1 he said there was no other way to prevent the West blockading Russian exclave Kaliningrad.
Such a move would trigger the NATO Treaty "Article five" which says "an attack upon one member of NATO is an attack upon all members" and spark World War Three.
“We’ll destroy the entire group of enemy’s space satellites during the first air operation,” said Lt-Gen Gurulyov, a senior commander in the Russian Army who now represents United Russia, the main political party.
“No-one will care if they are American or British, we would see them all as NATO.
“Second, we’ll mitigate the entire system of anti-missile defense, everywhere and 100 per cent.
“Third, we certainly won’t start from Warsaw, Paris or Berlin.
“The first to be hit will be London.
“It’s crystal clear that the threat to the world comes from the Anglo-Saxons.”
Like other Moscow hardliners, he believes the West - especially on continental Europe - has no stomach for a real war.
“As part of the operation to destroy critically important sites, Western Europe will be cut off from power supplies and immobilized.
“All power supply sites will be destroyed.
“And in the third stage, I shall see what the USA will tell Western Europe on continuing their fight in the cold, without food and electricity.
“I wonder how they (the US) will manage to stay aside.
“This is the rough plan, and I deliberately leave out certain moments because they are not to be discussed on TV.”
Gurulyov is a former deputy commander of Russia’s southern military district.
He served with Russian forces in Syria.
He has been sanctioned by the US for his close links to Putin.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ushuzi wa sokwe