Hii ya wajerumani kupiga passports size imenikumbusha Jamhuri High school Dodoma nilopokuwa advance,yaani msimu wa baridi nilikuwa na nawa macho na makwpa Tuππ,wiki nzimaπKwaiyo wajerumani wameanza kuoga style ya kupiga passport kusevu garama[emoji28]
Sijui ndo umeandika nini upupu mtupu pumbafu sana wewe jinga kweliNiwakumbushe tu Russia hajawahi kuacha op au vita njiani pale Chechnya kapigana miaka 10 1999_2009 mbaka wahuni wakasanda Georgia alikubali yaishe akachia majimbo mawili .Finland alitoa 10%ya ardhi bado huyu Ukraine anajitia mgumu saiz watakuja wenyewe tu mezani .
Hivi wale jamaa waliokua wanasema Russia kaishiwa silaha mara kabakisha silaha za kupigana siku 3 tu wako wapi siku hizi[emoji45][emoji45][emoji45]
14 missiles hit Kiev this morning.
Kuna wale walisema Russia hawezi kuipiga Kyiv sijui wataweka wapi sura zao kyiv sasa inaoga missiles[emoji45][emoji45][emoji45]
14 missiles hit Kiev this morning.
Ukweli huwa haujifichi, unachelewesha tu. Wapo Jomba washakimbia, nasikia nae aliyewapa hiyo taarifa siku hizi anawahoji kama wanajua sauti ya Ushuzi wa Sokwe. Ila BBC ni malonyane kweli kweli.Hivi wale jamaa waliokua wanasema Russia kaishiwa silaha mara kabakisha silaha za kupigana siku 3 tu wako wapi siku hizi
Itakuja BRICAS labdaAtatuharibia jina bana[emoji23][emoji23][emoji23] BRICS imekaa kinyamwezi sana yani[emoji23] sasa akiongezeka iwe BRICSA ama ABRICS [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiangalia watu wengi siku hizi washagundua propanganda za west hata comments zao ukicheki unajua anauliza swali kama la dhihaka hiviUkweli huwa haujifichi, unachelewesha tu. Wapo Jomba washakimbia, nasikia nae aliyewapa hiyo taarifa siku hizi anawahoji kama wanajua sauti ya Ushuzi wa Sokwe. Ila BBC ni malonyane kweli kweli.
Watu walishachoshwa na propaganda za west wadau wanawadhihaki BBC NA CNN tu saiviUkweli huwa haujifichi, unachelewesha tu. Wapo Jomba washakimbia, nasikia nae aliyewapa hiyo taarifa siku hizi anawahoji kama wanajua sauti ya Ushuzi wa Sokwe. Ila BBC ni malonyane kweli kweli.
Wamelitafuta chaka bila kupenda Urusi mbabe sana
Kabisa Mjomba, Kumdanganya mwenye akili timam ni kitendawili kisichoteguka. Hizi mambo za waongo wanahitaji vichaa wengi ndio wafanikiwe. Na wakiwapata wanawaburuza mno kwasababu hawafikirii.Ukiangalia watu wengi siku hizi washagundua propanganda za west hata comments zao ukicheki unajua anauliza swali kama la dhihaka hiviView attachment 2272537
Mdogo mdogo,RUSSIANS CONQUER SEVERODONETSK; NEXT STOP: LYSYCHANSK
Russia's army has "fully occupied" the key Ukrainian city of Severodonetsk after weeks of fighting, its mayor said Saturday.
The capture of the industrial hub of Severodonetsk is an important strategic win for Moscow as it seeks to gain full control over the east of the country.
It has been the scene of weeks of running battles, but the Ukrainian army said Friday that its outgunned forces would withdraw to better defend the neighboring city of Lysychansk.
"The city has been fully occupied by the Russians," mayor Oleksandr Striuk said on Saturday.
A few hours earlier, pro-Moscow separatists said Russian troops and their allies had entered Lysychansk, which faces Severodonetsk across the river.
"Street fighting is currently taking place," a representative of the separatists, Andrei Marochko, said on Telegram, in a claim that could not be independently verified at that time. Now, however, the city is confirmed to have been conquered by the Russian Army.
Next stop: Lysychansk
Mbona unahangaika sana?π€£πππ Tunajua mnateseka na hamjiamini ndo maana mnafungua Id mpya kila leo.ukute wewe ni Fuso umerudi na jina jipyaπππ€ͺππ€ͺTukiweka ushabiki pembeni , ni ukweli usiopingika kwamba Russia hakutegemea huu upinzani kutoka kwa wapiganaji wa Ukraine,mwanzoni aliwachimba mkwara kwamba wajisalimishe lakini wahuni wakamdindishia
Comment ya pili pasua kichwa [emoji23]Hii mbinu ya ku-encircle (kuzunguka) na kuwapa Kichapo pande zote inawaumiza Sana wapiganaji wa ukraine[emoji28]View attachment 2272552
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepiga mule mule na kama sio FUSO ni Pro-NATO mzoefu aliyekua hapa mwanzo.Mbona unahangaika sana?[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16] Tunajua mnateseka na hamjiamini ndo maana mnafungua Id mpya kila leo.ukute wewe ni Fuso umerudi na jina jipya[emoji12][emoji12][emoji2957][emoji12][emoji2957]