Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Duh
 
Kabisa MKUU ila huyu dada etu britanicca huyu unamuonea huyu haja gugo ujue[emoji23][emoji16][emoji13][emoji12][emoji12]
Huyo cc* niko nae hapa SOCHI jirani yangu haswa
Wakat MALL zimeisha mazaga yeye ndio alikua ananisevu ujue[emoji23][emoji16][emoji16]
Ila ukweli bana hua unachelewa tu hua haujifichi leo hii mkazi wa pitas kama dada etu britanicca anashindwa kuja huku
Ila aje huu uzi wetu pendwa wa fact tuu sio waspana
Wiki endi kama hizi Pro NATO wakianzisha viuzi vyao UCHWARA huko ndio tunawagonga spana mpaka WAELEWE
Ila nimeumia sana kuona jirani yangu wa USOCHINI kama dada britanicca kuja na id nyuu halaf anakuja na matusi halaf fasta modereta wamemla BANI[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli Plan yake imethibitiwa vizuri maana sasa Ruble ni 52.3 against dollar.

Na generali wao ametambua loss of Severodonetsk, Voronovo, Borovsky and Sirotino hapo Ukraine.

Hapa ni kweli kabisa Russia anajifuta aibu aliyoipata Ukraine πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„! Kuna walioambiwa wajisalimishe maana hamna wanacholinda na wamekubali.
 
Hii space force MKUU ongezea nyama
Maana nimeelewa ila kama bado sijaelewa iongezee nyama
Huku sasa ndio mahala ambao hua nakuelewa hua unaitendea hii engo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akuuuu sijataja mtu hapo... Nimesema tu elim yetu ilivyozoeleka [emoji23]

Halafu mweeh nilikuwa sijui kama ni mchuchu. Mazoea mabaya. Kama ni mchuchu basi Salute kwake.
 
Akii nimecheka sana, hizi keyboard zinatesa mno. Imagine mtu unajaa nyembe kiasi hicho baabeki

Navyojua ukifungua account ni hadi wai-approve, kabla ya kupost hadi zile text za mwanzo nazo hadi wazi-approve...

So mda wote huo alikuwa anateseka kusubiri kutukana mtu? Mweeh kama nati hazijalegea ukazikaza mtu ujishtukie basi kazi ipo.

Lakini ujue nini Bwana Utam? Ni mahana tu lakini kujua wanajua sana tu.
 
Hii space force MKUU ongezea nyama
Maana nimeelewa ila kama bado sijaelewa iongezee nyama
Huku sasa ndio mahala ambao hua nakuelewa hua unaitendea hii engo

Sent using Jamii Forums mobile app
Jeshi la Marekani lina branches nane kwa sasa, hii US Space Force ndio ya mwisho kuundwa na Trump ndiye alianzisha. Shughuli zote za kulinda anga la nje ya dunia, kushambulia, kufanya uchunguzi kinachoendelea ni lao. Wao ndio wanalinda satellites za Marekani na ndio wanaweza shambulia satellites za adui. Duniani ndio pekee jeshi la anga za juu linalojitegemea, Urusi wana Airspace Force ambayo ndani ndio kuna Air force. Walikuwa na branches mbili ila wakaziunganisha, huwa hawatulii hata makampuni yao ya silaha wanayafanyia mergers chini ya umbrella sahivi unakuta helicopters zote ziko chini ya Rostec umbrella wakati tulizoea kuona Kamov na wenzake. Ndege ziko chini ya UAC wakati tulizoea Tupolev, Yakovlev, Sukhoi, etc zinajiendesha.
 
Mkuu T14 Armata ungetoa maelezo tu ya kombora la Urusi tulilokuomba ulitolee maelezo...

Sasa wewe umekuja na stori nyingi za kujaribu kutaka kupotosha kuwa Urusi imetanguliwa kwa miongo kadhaa na Marekani kwenye teknolojia hiyoπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜

Urusi ndio ilikuwa ya kwanza kufanikiwa kutengeneza makombora ya kuangamiza satellites miaka ya 1960s
.

Marekani ilijifunza kwenye mafanikio ya Urusi na ndio wakapata nguvu mpya baada ya kujaribu tena na tena na kufeli.
======


 
Sijui ni uzi gani kuna watu walishupaza shingo kwamba Saudi Arabia iliuziwa air defence system feki na Marekani, kwamba hazina uwezo na zilishindwa kuzuia suicide drone attack za waasi wa Houthi wa Yemen.
Aya sasa, hilo shambulio kwenye oil facility mjini Rostov hao Russia air defence systems zilikuwa wapi?

Kuzuia suicide drones kwa air defence system ya kupiga jets na ballistic missiles ni sawa na haiwezekani
 
Anapambia upande wake kwanzaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘ mi naongezea kuna like libalistic sijui missile kutoka Russia hadi london in 3 minutes ni ukweli mi ningependa kujua tuu.@T14 Armata
 
Hilo kombora la Urusi silijui ndio maana nimesema ninachojua kuhusu jaribio la Marekani. Si tiyari una maelezo yake mkuu, sasa unaniita nieleze nini?

Na wapi niliposema Marekani ndio ilikuwa ya kwanza? Nilichosema Marekani ilishaacha kufanya majaribio. Huyo Sergei Korolev namkubali sana alikuwa anajua mno
 
Ukrop Commander: β€œMy unit was made up of 100% professional, trained soldiers with lots of war experience. 80% of those are now dead/injured. They are replaced by new recruits who aren’t trained.

Sio mchezo naona wameanza kua wakweli.
Ushaona ile jamaa anamdindia mwenzie na kujifanya waweke parling mtu mbike kisha anakula nakoz mpaka anasema freshi imetosha mwanangu yaishe utaniua πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Hicho ndio kipigo alichopewa Ukraine na Urusi.
 
Anapambia upande wake kwanzaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘ mi naongezea kuna like libalistic sijui missile kutoka Russia hadi london in 3 minutes ni ukweli mi ningependa kujua tuu.@T14 Armata
Hilo kombora alilosema silijui. Mimi sio msemaji wa jeshi la Urusi mpaka nisipojua silaha yao mnishambulie. Yeye anajua, si aeleze hapa? Kwahiyo nawe uko umesubiri niseme kitu ambacho sijui, na anayejua uko naye mnatuniana emoji za kucheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…