Naona USA Dawa imemuingia kisawa sawa[emoji28][emoji106]Kyiv kunawaka moto, polisi wa dunia (Marekani/Biden) aishia kulialia tu hana cha kufanya!
Russia leo imetumia ile midege yake ya kunya mabomu (strategic bombers) iitwayo Tu-95 na Tu-160 kuinyeshelezea makombora Kyiv kutokea baharini (Caspian sea). Biden amelalamika kuwa Urusi inafanya uonevu tu na ubabe/ushenzi kuishambulia Kyiv.
Mwambieni Biden aache kulialia. Apeleke zile B-52 bombers zake Ukraine zikamsaidie Zelensky, mbona alizipeleka mbiombio kwenye vita vya Afghanistan na Iraq kuchukulia ujiko ktk kupigana na watu madhaifu wasiokuwa na silaha za kisasa?! Apeleke mzigo huo Ukraine tuthibitishe ubora wa hizo B-52 bombers za US.
=====
View attachment 2273019
View attachment 2273020
View attachment 2272961
View attachment 2272962
Hii hatari wazee..[emoji848]
Russia has weapons that can turn the United States into a lifeless desert-The National Interest
A major American publication reports that Russia has a wide variety of weapons in stock that can erase the American continent from the pages of history. "For example, one submarine of the Borei project is capable of firing 72 nuclear warheads at settlements and military bases located at a distance of more than 9 thousand km, each of them is 10 times more destructive than the bomb dropped on Hiroshima," the article reports. At the moment, Russia has 5 such submarines, 5 more will be built by 2027.
Hujawahi kuniangusha hata siku moja ewe jamaa yangu mstaarabu.Nimekuelewa mwamba!
When he(Biden) was boasting himself of ensuring the Belgrade bombing to eliminate the Serbs in a genocidal mode, he was dancing on Karioke melody, right? Anaudhi huyu Mzee!!!Kyiv kunawaka moto, polisi wa dunia (Marekani/Biden) aishia kulialia tu hana cha kufanya!
Russia leo imetumia ile midege yake ya kunya mabomu (strategic bombers) iitwayo Tu-95 na Tu-160 kuinyeshelezea makombora Kyiv kutokea baharini (Caspian sea). Biden amelalamika kuwa Urusi inafanya uonevu tu na ubabe/ushenzi kuishambulia Kyiv.
Mwambieni Biden aache kulialia. Apeleke zile B-52 bombers zake Ukraine zikamsaidie Zelensky, mbona alizipeleka mbiombio kwenye vita vya Afghanistan na Iraq kuchukulia ujiko ktk kupigana na watu madhaifu wasiokuwa na silaha za kisasa?! Apeleke mzigo huo Ukraine tuthibitishe ubora wa hizo B-52 bombers za US.
=====
View attachment 2273019
View attachment 2273020
View attachment 2272961
View attachment 2272962
Ahahahhah mbio za mbwa mdokoziVita Isikie tu kwa wengine
cheki jamaa alivyo Kimbia
View attachment 2273204
Today's strike on the Cherkasy region
Rail infrastructure comprised.
Lengo, nadhani la Military Industry ya US, ni kuhakikisha members wote wa NATO wenye kutumia silaha za Russia ama Soviet ya zamani wanaondoa silaha zote hizo kutoka kwenye Maghala, kisha Pentagon na washirika wake wauza silaha waweze kuwalazimisha kutumia 2% ya GDP ya nchi hizo kununua Silaha kutoka US. Nawaza tu!Inakuane hawa NATO wanaishiwa silaha haraka hivi?
Ni Congo Brazaville mkuu sio Congo Kinshasasenegal, ivory cost, libya & drc
Putin piga Gaykraine haoMeya wa kyiv: mashambulizi ya Russia ndani ya kyiv yanalenga kuidhoofisha ukraine, siku chache kuelekea mkutano wa NATO[emoji4]View attachment 2272704
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri ndio maana jana mzee Putin alikuwa Kremlin usiku ili atoe maamuzi haya ya kuanza kuikaanga Kiev hahahahahaKyiv inatwangwa mabomu mda huu, nyepesi nyepesi zinasema haya ni mazoezi ya kuitwanga London na Washington View attachment 2272737
Pamoja Mjomba nakusoma vyedi mtaalam. Show iendelee!Hujawahi kuniangusha hata siku moja ewe jamaa yangu mstaarabu.
Twende kazi.
Amezaliwa kuja kuua [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji23]Yule dereva anaye endesha iskander inaonekana hata mtoto wa kusingiziwa hana. Jamaa ana roho mbaya kinoma
Wapo mafichoni saa hiziHivi wale jamaa waliokua wanasema Russia kaishiwa silaha mara kabakisha silaha za kupigana siku 3 tu wako wapi siku hizi
Nimeisikia dwKuna wale walisema Russia hawezi kuipiga Kyiv sijui wataweka wapi sura zao kyiv sasa inaoga missiles
Unampelekea moto huyo jamaa mpaka huruma, abakuja na vistori vya kutungaMkuu T14 Armata ungetoa maelezo tu ya kombora la Urusi tulilokuomba ulitolee maelezo...
Sasa wewe umekuja na stori nyingi za kujaribu kutaka kupotosha kuwa Urusi imetanguliwa kwa miongo kadhaa na Marekani kwenye teknolojia hiyo🤣🤣😂😂😁😁
Urusi ndio ilikuwa ya kwanza kufanikiwa kutengeneza makombora ya kuangamiza satellites miaka ya 1960s.
Marekani ilijifunza kwenye mafanikio ya Urusi na ndio wakapata nguvu mpya baada ya kujaribu tena na tena na kufeli.
======
View attachment 2272727View attachment 2272728View attachment 2272729
Huyu nae katika wapi??!!!Hawa jamaa kwa upotoshaji hawajambo,na Kwa vile wapo wengi hapa jamvini basi wanapotosha wanavyotaka..,eti " urusi ameshachukua Donbass" wakati hata Jimbo Moja la Donbass bado!