Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni Jews hao watu ila ndo walewale wa kupandikizwa
Kuna jina moja hivi analitumia sana Mathanzua ndio linawafaa hawa watu waliojivika ngozi ya wayahudi. Wanaitwa Khazarians.

Hizi mambo kila kona utakakozikuta zimepigwa chapa ya Conspiracy ili zionekane kama ni just story hivi au hadithi. But kama wapo wanaofatilia kauli za Medvedev au Putin deeply wataelewa wana maana gani.
 
Mkuu shukrani 👏 sana,lakin namie bado najifunza kidogo kidogo nakuongeza ka upeo kutoka kwa watu wengine wenye uelewa kama wew mkuu wangu.
 
Umeongea point kubwa mkuu,japokua nilipata shida kutambua ndio mkuu Ask Q.
 
Nilitoa angalizo humu kuhusu GAME THEORY ... Ni applicable katika waliosoma Law na Economics ...na Putin kasoma vyote hivyo .... Game theories ni akili kubwa sana... Ni zile INPUT -OUTPUT MODELS ...unaingiza Nini na unazalisha Nini ama unatoa Nini inategemea na machaguo yako .... Ni ngumu sana mwegine Kuelewa ....
PUTIN akili mingi, Russia miwatu ina akili za vita imeiva
 
Mkuu shukrani 👏 sana,lakin namie bado najifunza kidogo kidogo nakuongeza ka upeo kutoka kwa watu wengine wenye uelewa kama wew mkuu wangu.
Nakuelewa sana Faisal, Halafu ha ha ha nikutonye kitu mdau wangu... Hilo jina la Mkuu mnalitumia sana hapa ila binafs siko comfortable nalo kabisa 😌😌😌

Kama hutojali tuitane kama brothers nitafurah zaidi. Lel say kaka Faisal, o Kaka Qibsyl/Ask-Q fresh au sio mdau?
 
Naona wapelekewe Satan 3 chap kwa ukali😂
 
🤣🤣yaani umezitaja kama upo eneo la tukio live.. big up
 
Hivi javelin zimeisha au zilikuwa za mchongo..nauliza tu jaman

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Hivi javelin zimeisha au zilikuwa za mchongo..nauliza tu jaman

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Mzigo wa jevelin na mazaga mengineyo ulipelekwa mpaka Ukraine na ukakabidhiwa kwa vijana waliotumwa na mamlaka lkn cha kushangaza Zele anasema mzigo haujafika na Putin hajaulipua[emoji41][emoji41][emoji41]
 
putin hatabiriki hio ndio inamfanya joe biden apagawe sana hadi anasalimia hewa na kuanguka na baskeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…