LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Sasa unataka niwajibu unavyopenda wewe!? Kwani kukuambia umekunya mara ngapi hapo kipya ni kipi!? Kwani wewe hunyi!?

Na mm nshakuambia tunaangalia tu hilo tundu linavyotoa mambo yasiyo na staha.
 
Amani na upendo ni jambo kubwa sana
Hali ilivyo na updates zinazoendelea kutolewa na media on ground hali ni mbali kuliko maelezo yanayotolewa
Tuwaombee zaidi ukrain Mungu aingilie kati roho na vita hii isimame
Kwa madhala na nchi inavyobomolewa .itachukuwa miaka mingi sana kujengwa upa
(Vita sio nzuri at all)

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha 😀😀😀😀😁😁😁😁😁 Imepigwa moja hivi inaitwa mama mkane mwanao,five rats died on spot na wale waliopewa magobore wameyaacha hapo hapo wenyewe mbele naona hawakujengwa kisaikolojia ***** zAo
 
Ni muda sasa wa Dunia kuona umuhimu wa amani siyo kutetea amani kinafki usawa uwepo kwa wote.
 

Acha propaganda wewe mrussi anapata wapi pesa za kuwekeza kwenye teknolojia? Hzo bombs zote thamani yake unaijua? Eti urussi hawezi weka kambi kwa wiki3 mkono serious kweli? Ulishawai sikia wapi urussi analalamika njaa??

Achana na western propaganda hao jamaa wameshajua hawamwezi urussi wameishia kumwekea vikwazo na propaganda kibao ila bado anadunda tu. Anzisheni vita mwone moto wake
 
USA+NATO,wanatumia mbinu zile zile za 1990 kujaribu kuikabili Urusi huku hawajui sasa hivi aliyopo Madarakani ni Putin
Vita vya USA+NATO vs URUSI havina faida yoyote kwetu. Wamsikilize tu wamalizane.
 
Yaani wewe unamuita Putin zero brain?? [emoji3][emoji3]watanzania wajuaji Sana hata Kwa kile asichokijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…