Lakini mengine nikuongopeana tu kwa kujifurahisha nafsi zetu.Hapana Mjomba si kweli, Mach ndio Speed ya Sauti 1,235KM kwa saa au Meter 343 kwa sekunde... So unaposikia Speed ya Mach 9, jua ni Speed mara 9 ya sauti.
😂 Lione5 *340 m/s
Hapana mjomba, hapo kuna concept mbili tofauti. Sijui nikuelezeeje, lakini wao kusema hivo hawajadanganya. Hizo ni maximum speed. Sio speed ya kuanzia. So huezi zipima kwa namna unayofikiria kua paap... Kipi kimewahi kufika.Lakini mengine nikuongopeana tu kwa kujifurahisha nafsi zetu.
Kwamba hiyo kitu ni bora mara tisa kutembea kwake kuliko mawimbi ya sauti?
Kwa mfano kwamba hapo ulipo iwepo hiyo machine na kitu kinachotoa mawimbi ya sauti ipigwe kwa pamoja halafu pakadiriwe umbali wa kilo mita 5 hiyo itafika mwanzo kuliko kuliko sauti?
Naona umeamua kuhara kama bataID yangu kua mpya haikuhusu, jadili mada ukishindwa kaa pembeni.
Umeiongelea GER wakat mie nimeizungumzia EUGermany na Russia wanajuana vizuri sana kwenye biashara. Wakati Russia anaipatia Germany cheap gas, Germany inampatia components na finished products. Sijawa na muda mwingi ila katafute trade zinazofanywa baina ya nchi hizo mbili uone jinsi Germany inavyompatia machineries na electronics, etc.
Kuna uzi nilicomment Olaf Scholz alivyofanya ziara ya kwanza nje alienda Senegal ambapo Total wako na mradi wa gesi unafunguliwa mwakani. I bet kama Ya mradi wetu ungeanza kipindi cha Magu tungeona wazungu wanajikomba sana kwetu muda huu. Senegal ni kama ya tano kwenye gas reserve sisi ni kama wa sita au saba hivi kwa Afrika.
Wategemezi wa gesi ya Russia wote wanatafuta alternatives na zikipatikana Russia atakosa kuitumia kama trade war. The same na China anavyoona US anatumia USD kwenye migogoro kama fimbo na zinatafutwa solutions.
Tangu 2014 Urusi kajipanga anaongeza gold reserve kwenye bullions za central bank, sanctions alijipanga nazo muda. Sasa na hawa wameanza kujipanga, few years later tutaona matokeo
Mdau nikupe mfano huu, ni kwamba una gari lako nyumbani. Kwenye dashboard linasoma speed hadi 120/180/240/360 and So.Lakini mengine nikuongopeana tu kwa kujifurahisha nafsi zetu.
Kwamba hiyo kitu ni bora mara tisa kutembea kwake kuliko mawimbi ya sauti?
Kwa mfano kwamba hapo ulipo iwepo hiyo machine na kitu kinachotoa mawimbi ya sauti ipigwe kwa pamoja halafu pakadiriwe umbali wa kilo mita 5 hiyo itafika mwanzo kuliko kuliko sauti?
Lakini mengine nikuongopeana tu kwa kujifurahisha nafsi zetu.
Kwamba hiyo kitu ni bora mara tisa kutembea kwake kuliko mawimbi ya sauti?
Kwa mfano kwamba hapo ulipo iwepo hiyo machine na kitu kinachotoa mawimbi ya sauti ipigwe kwa pamoja halafu pakadiriwe umbali wa kilo mita 5 hiyo itafika mwanzo kuliko kuliko sau
Putin kaamua kupambana na Dunia..... ok wacha tuoneBelarus amenunua makombora ya nyuklia ya Iskandar-M pamoja na mfumo wa ulinzi wa anga wa S-400 toka Urusi. Urusi imesema itapeleka makombora hayo ya nyuklia ndani ya miezi michache tu...
Ikumbukwe kuwa makombora ya Iskandar-M ballistic missiles hata yakibeba milipuko ya kawaida mifumo ya Ulinzi ya NATO haiwezi kuyadungua. Sikwambii sasa yabebeshwe vichwa vya nyuklia...yaani hadi raha aisee
View attachment 2272057View attachment 2272059View attachment 2272060
Umejitahid Q... Huu mfano sikuuwazia chap. Nikimege hicho kipande cha Average speed.Mdau nikupe mfano huu, ni kwamba una gari lako nyumbani. Kwenye dashboard linasoma speed hadi 120/180/240/360 and So.
At the point of starting your engine, haitaondoka kwa hiyo speed. Gari yako ikiwa imetulia, Acceleration huwa ipo ziro, kadri unavochoma mafuta ndio speed inazidi kuongezeka.
Baada ya Muda utaifikia ile Maximum speed.
Hizi missile nazo zipo hivyo, kama unavyoanza kukanyaga mafuta hadi unafikia 120kph, ndivyo nayo yanavyoanza kutokea "at rest state".
Hizo speed zinazotamkwa ni maximum speed inayoweza fikiwa kama ilivyo kwenye gari lako unalolitembeza kwa speed ya 50kph kwamba 180kph linaweza kufika pia ukizidi kuchoma mafuta...
So comparison ya namna hiyo kaka huezi kuifanya kwasababu kombora linahitaji kuongeza Acceleration wakati wa safari ilhali Sauti hiyo ni speed yake at Constant Velecity.
Hapo time ya kuhama kutoka 0 to 'Mach' kadhaa, mfano 5. Kuna mda ambao unakuwa consumed.
Kwa hiyo kupima kwa mfano huo ni kwa kuinyanyua hadi ifikie hiyo speed kisha uanze kulinganisha kitu ambacho ni kigumu.
Zaidi kaka kuna tofauti kati ya Speed na Velocity, Average Speed unachukua nukta ya kuanzia hadi nukta ya kuishia. Ule umbali ukigawanya kwa mda uliotumia unapata speed.
So na hawa nao hizo speed walizipata kwa namna hiyo, Umbali uiliofikiwa baada ya kufyatuliwa walipogawa kwa mda iliyotumia ndio wakapata hizo number walizotwambia.
Nakazia tena comparison ya namna hiyo huezi kuifanya kwasababu sauti ni vibration zinazosafiri katika air. Ambapo Temperature plus Wind, Collectively kama Humidity zina play part katika ku-affect speed of sound.
Mfano leo hii ukiwa kwenye upepo unashindwa kusikika vizuri. Nyakati za usiku pia hali inapokuwa imetulia sauti inasambaa kwa haraka. So for that case, comparison ya namna hiyo inakuwa haiwezekaniki kufanyika. Ila haiondoi uhalisia kua hizo speed ni Real.
Linàfàhàmika hilo field hali mbovu, lete lingine[emoji845]The commander of the 1st battalion of the 24th ombr company,Senior Lieutenant Yuri Bunkov,was demilitarised by the Russian military in the area of Lisichansk[emoji845]
He didn't have time to escape from the positions
The more officers they lose the faster the war could come to an end
Mkuu, nikweli ID yako haituhusu ila kinacho tuhusu ni namna unavyo onesha tabia za kike kutojiamini juu ya unachokitetea hadi unabadili ID hovyo baada ya kupigwa spana za kutosha kwenye ID yako Og.Unanipa order kama nani? We kiazi nini, jadilini mada, ID yangu HAIWAHUSU.
Mrusi wa chato jadili mada spana peleka gereji michambo hailishi wanao ugali eboo, we mwanaume au wa kiume? Hakuna wanaume wanaokaa kitako kuandika magazeti kusema watu. Jadilini mada ID yangu kua mpya haiwahusu BADILIKENI.Mkuu, nikweli ID yako haituhusu ila kinacho tuhusu ni namna unavyo onesha tabia za kike kutojiamini juu ya unachokitetea hadi unabadili ID hovyo baada ya kupigwa spana za kutosha kwenye ID yako Og.
Ujumbe wangu kwa pro-NATO wenye tabia za kubadili Id kama huyu bwana mdogo@Grand Master ni huu; kubadili ID hakubalishi Ujinga na uhaba wa maarifa kwenye vichwa vyenu juu ya mada mama ya huu uzi, nikweli ID zenu za kweli mnaziepusha na fedheha ya wepesi wa hoja zenu ila kamwe nafsi zenu haziwezi epuka fedheha hiyo hata kama mkibadili ID mara kumi, nasisi tutaendelea kushambulia nafsi zenu iwe kwenye ID fake au Og hatutasita kuwapiga spana mpaka tutakapo ona akili zenu zimekaa sawa.
Note; Ukiona mtu hajiamini juu ya kitu anachokitetea basi jua hicho kitu nicha ajabu au fedheha katika jamii ya watu wenye akili timamu.
Mpaka hii operation ije kuisha
Pro-NATO,EU&USA watakuwa wamehangaika sana kama mgonjwa wa tumbo la kuhara. Pro-Russia endeleeni kupiga kwenye mishono kwa spana zile zile hadi kila Pro-NATO awe na Id fake zaidi ya mbili.
Vikao vya wenye maamuzi (Brics) vinamjadili Argentina [emoji1033]Vikao vya matajiri vinaendelea....
View attachment 2274264
Vikao vya matajiri vinaendelea....
View attachment 2274264
Baba ndumi la kuwili huyu si alesema ana pumzi ya kuzichapa hata miaka kumi.Atulie Kwanza Ndio Watu wanaanzia Walipo Ishia Jana na Juzi
🤡Zelensky wants the war to end before winter, he told the G7 leaders during his online address — Reuters
Ww ni yupi apo.
Wauweeee😂😂😂😂in cocastic voice.Mkuu, nikweli ID yako haituhusu ila kinacho tuhusu ni namna unavyo onesha tabia za kike kutojiamini juu ya unachokitetea hadi unabadili ID hovyo baada ya kupigwa spana za kutosha kwenye ID yako Og.
Ujumbe wangu kwa pro-NATO wenye tabia za kubadili Id kama huyu bwana mdogo@Grand Master ni huu; kubadili ID hakubalishi Ujinga na uhaba wa maarifa kwenye vichwa vyenu juu ya mada mama ya huu uzi, nikweli ID zenu za kweli mnaziepusha na fedheha ya wepesi wa hoja zenu ila kamwe nafsi zenu haziwezi epuka fedheha hiyo hata kama mkibadili ID mara kumi, nasisi tutaendelea kushambulia nafsi zenu iwe kwenye ID fake au Og hatutasita kuwapiga spana mpaka tutakapo ona akili zenu zimekaa sawa.
Note; Ukiona mtu hajiamini juu ya kitu anachokitetea basi jua hicho kitu nicha ajabu au fedheha katika jamii ya watu wenye akili timamu.
Mpaka hii operation ije kuisha
Pro-NATO,EU&USA watakuwa wamehangaika sana kama mgonjwa wa tumbo la kuhara. Pro-Russia endeleeni kupiga kwenye mishono kwa spana zile zile hadi kila Pro-NATO awe na Id fake zaidi ya mbili.
Unazidi kumuongezea uchungu mkali sana[emoji779]️Russian Hackers from Killnet Hacks Lithuanian Government Websites - report
Tax authorities, some govt agencies, as well as online accounting programs have reportedly come under attack, the Russian hacking group have claimed.
Prior to the hack, Killnet promised that more than 500 Lithuanian companies would find themselves in “terrible conditions” if authorities didn’t lift the ban on the import of sanctioned goods to Kaliningrad from other regions of Russia.