Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wao mbona wanatumia silaha na nchi zaidi ya 30 na hatulalamiki[emoji4]
 
Ukitaka kujuwa ujinga wa mtu mweusi hasa Mtanzania basi pitia thread hii.

Trump alikuwa sahii Africa tunahitaji kutawaliwa kwa miaka 100 zaidi.
Sahii kabisa,
Ni aibu Kubwa Sana kumuona mwafrika anashabikia mwanaume kuolewa na Mwanaume mwenzie, huku akipondea mwanaume mwenzie kuoa MKE Zaid ya mmoja.[emoji28]
 
Ha ha ha....
Kichapo kimkolea[emoji28]
 
Kichapo kiendelee,
Hii mbinu ya kijeshi ya Russia itawatesa Sana kenge hao.
 
Ebana eeeeh...[emoji28]
KAZI nzur Sana kwa vikosi vya urusi[emoji106]
 
Warudishe shule mkuu,
walikimbilia umande wakafata rainbow [emoji304]
 
Inaitwa tit- for-tat[emoji28][emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…