Grand Master
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 246
- 1,315
Mkuu Davos ni World Economic Forum, Urusi nae yumo, SPIEF ni Local forum, Unapofanya ulinganisha unatukosea. SPIEF imepata delegations kutoka nchi 69 duniani. Hayo madai ya wawakilishi wa Talebani umeleta ushabiki.Sijui ni nani huwa ananunua mafuta ya Waajemi pale EU. Iran ijiunge ili angalau mkutano wa St. Petersburg Economic Forum uwe na watu kadhaa sio kama wa mwezi huu ambapo wenye vyeo pale walikuwa ni mwakilishi wa Taliban na wageni wa Belarus. Compared na mkutano wa Davos unavyokuwa
Unachokisema mbona ndicho nimesema. Nimesema ameshindwa kulipa bonds na ndio maana ya default. Default haina maelezo ya sijui nimezuiliwa wala nini, point ni umelipa au hujalipa.Tatizo lako unaweka mapenzi mbele bila fact Rusia hajashindwa kulipa madeni yake Ila vikwazo vya kutumia amana zake zilizopo nje ambapo ana around 600bilion dollar zimefungiwa akataka kulipa Kwa dolla zilizop nchini kwake wamezuia mfumo kupokea malipo saivi kasema atalipa Kwa rouble Napo pia wamezuia sasa utasemaje kashindwa kulipa nchi kushindwa kulipa madeni inamaanisha imefilisika Ila Rusia hajafilisika
Delegation kutoka nchi 69 ila Heads of States walikuwa wangapi. Si ni majirani hasa na washirika wa Urusi tu. Ndio maana aliyeshika attention ni Mtaliban, wakati Davos wanakuwepo Heads wa mataifa makubwa kiuchumiMkuu Davos ni World Economic Forum, Urusi nae yumo, SPIEF ni Local forum, Unapofanya ulinganisha unatukosea. SPIEF imepata delegations kutoka nchi 69 duniani. Hayo madai ya wawakilishi wa Talebani umeleta ushabiki.
Hapana, hiyo unayozungumzia anaenda Tajikistan na TurkmenistanNdio first foreign tour since SMO niliyoona wanatangaza au ni tofauti
Mkuu siko upande wa Urusi ila siwachukii kushindwa kuona wanayoyafanya. Mkuu Davos ni level ya World, ndani ya WEF, Urusi yumo sisi tumo, Mataifa yote yapo WEF sio matajiri tu. Ukisema mataifa matajiri je Makamo wa Raisi wetu Philip alienda kufanya nini mkutano wa mwaka huu? Ulivyolinganisha ni kama unalinganisha wizara ya Afya ya Tanzania with WHO. Its WRONG. Ngazi ya Taifa na Ngazi ya Dunia. Majina tu huoni mkuu? World EF vs St Petersburg IEF?Delegation kutoka nchi 69 ila Heads of States walikuwa wangapi. Si ni majirani hasa na washirika wa Urusi tu. Ndio maana aliyeshika attention ni Mtaliban, wakati Davos wanakuwepo Heads wa mataifa makubwa kiuchumi
Huwa sisomi taarifa za EurAsia Times hasa ziwe dhidi ya China au ziwe kuhusu India. Hao jamaa wanatia chumvi sana na kuikuza India huku China wanaiponda. Baadae nikajua ni Wahindi na hawajawahi kuwa waandishi wazuri wa habari.Hivi vidubwana hapo mach na Feb vilifanyiwa promo ya kutosha!
View attachment 2274427
Waambie Russia sio Sri Lanka iliyofilisika Wala sio Laos.Tatizo lako unaweka mapenzi mbele bila fact Rusia hajashindwa kulipa madeni yake Ila vikwazo vya kutumia amana zake zilizopo nje ambapo ana around 600bilion dollar zimefungiwa akataka kulipa Kwa dolla zilizop nchini kwake wamezuia mfumo kupokea malipo saivi kasema atalipa Kwa rouble Napo pia wamezuia sasa utasemaje kashindwa kulipa nchi kushindwa kulipa madeni inamaanisha imefilisika Ila Rusia hajafilisika
Kifo cha mashoga kwetu sikukuu 😂😂😂Msiba mkubwa Sana Huu kwa mashoga[emoji28]
We mrusi mweusi hayo yote nayajua, utaonekana una busara ukijua unazungumza na mtu wa aina gani. Ukishindwa kujua utakuwa unajichoresha. Nilikuuliza Mach 30 unaijua? Ukaleta uwongo, Ok swali langu and failures of US linahusiana vipi? Kueni wastaarabu hakuna kombe hapa mlete ushindani wa kipumbafu, ukiulizwa swali jibu ulichoulizwa muache kudandia yasiyohusika. Nawakumbusha, mkija kistaarabu mimi mstaarabu sana lakini mkiniparamia nitawapa yanayowastahili.Sikiliza Russia na China walivyo mwacha kilanja wa dunia kweye hypersonic tech... Na amefail Mara ngapi...........
Siku chache zijazo nitaleta hapa deep sea tech, ambayo kwa Sasa ni Russia pekee mwenye uwezo huo.
View attachment 2274588
Hili wala halihitajii wataalam saana MKUU kama ukienda kwenye page ya hovyo ya biibiiisii wameieka wazi mbonaMara ya mwisho Russia kushindwa kulipa bonds holders ni mwaka 1918 baada ya Bolshevik Revolution. Russia inakataa kwamba imeshindwa kulipa, bali vikwazo vinauzia kufanya transactions. Hela zipo ila njia ya kulipa ndio imefungwa, mpaka mwezi jana US Treasury ilikuwa inaruhusu Russia itumie USD kulipia bonds ila kuna muda niliwaona kina Yellen pale Treasury wanasema watazuia.
Bado mapema sana ingawa hii hutumika kama alama ya uchumi kuzidiwa. Russia ina foreign reserve nyingi na inatumia kwa kasi kipindi hiki. Hakuna anayependa kulipwa bond kwa Ruble. Hili suala wataalamu wa uchumi humu ndani wangeeleza vizuri zaidi
Kumbe unajua 😅We mrusi mweusi hayo yote nayajua, utaonekana una busara ukijua unazungumza na mtu wa aina gani. Ukishindwa kujua utakuwa unajichoresha. Nilikuuliza Mach 30 unaijua? Ukaleta uwongo, Ok swali langu and failures of US linahusiana vipi? Kueni wastaarabu hakuna kombe hapa mlete ushindani wa kipumbafu, ukiulizwa swali jibu ulichoulizwa muache kudandia yasiyohusika. Nawakumbusha, mkija kistaarabu mimi mstaarabu sana lakini mkiniparamia nitawapa yanayowastahili.
Wewe jamaa ukiacha mahabba kidogo unaongea ukweli unastahili kujibiwa MKUU unahoja nasio vihojaTukikataa kulipwa hatuna uhalali wa kusema kashindwa kulipa deni, So wakienda default it will be an artificial default which doesn't reflect anything from their economy.
Kwasasa hakuna ila leo huko GERMAN rais wa france EMANUEL kaomba mafuta ya IRAN na VENEZUELA yakubaliwe kuingia kwenye soko la DUNIA ili iwe nafuu kwaoSijui ni nani huwa ananunua mafuta ya Waajemi pale EU. Iran ijiunge ili angalau mkutano wa St. Petersburg Economic Forum uwe na watu kadhaa sio kama wa mwezi huu ambapo wenye vyeo pale walikuwa ni mwakilishi wa Taliban na wageni wa Belarus. Compared na mkutano wa Davos unavyokuwa
Sehem kama hizi ndio hua nakushangaa kwamba kwakutokujua ama makusudi tuuuNani wamekataa kulipwa? Russia inabidi ilipe kwa USD sio kwa hela zake na mara zote huwa inalipa kwa USD. Sasa nani kakataa kulipwa
Kwa level yako ulifikiri umeongea kitu kipya saaaana eh? Ukafikiri ukiniambia Mach 9 ni speed ya sauti mara 30 nitazuzuka nikubali eh? Huo uongo wapelekee wadogo zenu. Hapa Zungumzeni yanayoeleweka acheni kumbwela mbwela kushambulia watu out of topic.Kumbe unajua 😅
Wewe jamaa unahoja sana MKUUKuzuia kutumia USD ni sawa na kuzuia malipo mkuu. Hapo tumeboronga hilo halina utetezi, tunamfumba mdomo then tunamwambia ameshindwa kula? Ni upumbavu tunaofanya.
Hio haitakua yakwanzaNdio first foreign tour since SMO niliyoona wanatangaza au ni tofauti