Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi we unaota?
 
Nimenaleta taarifa za moto moto

😱Azov fighters liquidated 3 🇺🇸 instructors + 10 French ones before capitulation Azovstal. They burned their remains which are now being recovered by Russian forensic pathologists⚔️
Sasa Wanawachoma Kuficha nn
Nani Asie jua Kama Wapo Huko
Wanajaribu Kuficha Aibu
 
Hawa ndo Russia Kuingia vita na Russia ni sawa na kutumbukia kwenye karai la kukaangia chips

Wanatisha mkuu ni zaidi ya moto tunaoujua sisi kila sector wao ni A+ (IT,wachumi,viongozi,raia,jeshi, intelligence) hakuna mahali wamelob lob.

Putin anaenda kukalia viti walivyokalia wababe wa vita katika dunia hii kina genghis khan,Julius siza, alexander the great na wanyama wengine kama hao.

Hawafanyi fanyi wanafanya kazii,
Wanawatiiiii wanawatia adabu uuuleeeee.
 
Warusi weusi mnasusiwa page hii msijione mna akili saaana. Katika nyinyi kuna wapumbavu wengi, hawajui kitu. Mnachojua ni kushambulia watu kwa majina ya fedheha. Mmeanza ID, mmehamia ushoga? Huo ni ustaarabu? Hamjadili mada mnashambulia mtu matusi, waondoke mjisifu mnapiga spana? Wengi katika nyie ni watu wa hovyo, wepesi mno. Nikupongeze Mkuu DeepPond, 1954 na Bwana Utam for your friendly. In JF we Discuss, argue with respect so as we can learn na tuburudike. Mnaleta mambo ya KIPUMBAFU SANA KWA UMRI WENU.
 

Hawa jamaa wameshikilia uchumi wa dunia tukianzia mafuta, gas, chakula, viwanda, teknologia hawa jamaa wamedhamiria aisee
 

Sawa tumekusikia comred ila futa machozi punguza sauti kwikwi ni mbaya kwa afya yako inauaga.
 
Ujerumani yaonya kuwa Urusi ipo inatengeneza kokoro (mtego) jingine la kuwanasa mataifa ya magharibi yawe yanaitegemea Urusi kwenye malighafi ya lithium.

Urusi inaunda ubia na Bolivia ambayo ina hifadhi kubwa zaidi ya madini ya lithium duniani (tani milioni 21) ambapo Urusi itakuwa ikiyachimba na kuyachakata madini hayo. Ujerumani I ahofia Urusi itatumia karata hiyo kama namna itumiavyo mafuta na gesi katika kuwaadhibu mataifa ya Ulaya na Marekani.

Madini ya lithium yanatumika kwenye utengenezaji wa betri kuchaji za simu za mkononi, laptop, digital camera na magari ya umeme. Pia kwenye betrii za pacemakers etc

 
Na kwako Mjomba, tumekusoma tumekuelewa. Najua wajua kua hatufanani na katu hatutoweza kufanana. Unaweza kua mstaarabu kweli kama unavyodai, ila utakuwa mstaarabu zaidi ukipuuza unayorushiwa. Huko tusi kwa tusi ndio mnafanya yaendelee kujazana hapa.

Chagua wa kuzungumza nao, atakayekuelewa atakuelewa. Mmoja wapo nipo na katika hao uliowataja.... So haya matusi mtupe break wajomba!
 
Mnaanza wenyewe, kuna mtu nimemtukana from no where?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…