Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Tunayapoza unayaamsha tena? Vipi ndugu? Hamuwezi kutumia kauli za kiungwana? Tulio anza kumshambulia ni sisi wenyewe toka alipotia mguu. Em tuacheni hizo tukikereka na mtu kuna Ignoring List hapo...Jitulize mzee uheshimike
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23] Mjomba wetu kala Ban
😅Dah!Lau km Mzee Pombe angelikua hai bila shaka angechagua upande ule.
👏Tunayapoza unayaamsha tena? Vipi ndugu? Hamuwezi kutumia kauli za kiungwana? Tulio anza kumshambulia ni sisi wenyewe toka alipotia mguu. Em tuacheni hizo tukikereka na mtu kuna Ignoring List hapo...
Wawekeni hapo watulie. Huku kufakamamiana ipo siku tutafakamia majini. Tukaeni tuli tujadili tu. We pro Russia mwenzangu najua hauna kichwa kigumu kuelewa. Hatuezi jadiliana nae basi tuachane nae kiroho safi tu.
MKUU hizo ids mpya inatakiwa tuzipuuze kwanguvuMh huu uzi unakoelekea sio, Ngojeni wengine tuchukue likizo... Ila hayo matusi mnayotukanana nina wahakikishia hayawasaidii chochote [emoji124][emoji124][emoji124]
Lione lacheka [emoji23][emoji23][emoji23], ila huyu Pro NATO kaniuma... Kuna post mbili hapo kamjibu T-14 Armata nikaguna kwa siri. Lina chuki zake ila at least liko Open sio kama wakina mk254 tuliowazoea.[emoji3][emoji3]
Kabsa jamaa kala ban ila nimeumia pia kwakweliLione lacheka [emoji23][emoji23][emoji23], ila huyu Pro NATO kaniuma... Kuna post mbili hapo kamjibu T-14 Armata nikaguna kwa siri. Lina chuki zake ila at least liko Open sio kama wakina mk254 tuliowazoea.
Apdate MKUU hii OP hii acha tuone mwisho wakeLatvia wametibua wapi wajomba, mbona Medvedev kachafukwa huku.
Medvedev [emoji298]There, some regular idiot, a former minister from Latvia, sent a signal that NATO and the European Union were taking Kaliningrad from us. Looks like he drank or ate something bad. Proposes to start a third world war. He will come to himself - he will be afraid of every rustle at the door. And rightly so. We have a good memory...Latvia wametibua wapi wajomba, mbona Medvedev kachafukwa huku.
HeheheeeeMedvedev [emoji298]There, some regular idiot, a former minister from Latvia, sent a signal that NATO and the European Union were taking Kaliningrad from us. Looks like he drank or ate something bad. Proposes to start a third world war. He will come to himself - he will be afraid of every rustle at the door. And rightly so. We have a good memory...
Imekaa poa sanaZelensky uso kwa macho na Putin kwenye mkutano wa G20...Zelensky aende kulialia huruma huko[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2274730
Kuna ile ya asubuh kama una kumbuka, hadi nikamuuliza Jomba ulidhamiria kupost hiki ulichoweka hapa? Alivyo jibu ndio ikanibidi nikasakue text zake. Sasa Kuna moja ipo kule kwenye uzi wa Champagnee subiri niifate. Niikiipata nita edit hii reply.Kabsa jamaa kala ban ila nimeumia pia kwakweli
Jamaa kuna sehem anasema ukweli aseee
Shida zao pro NATO wanataka kumjibu kila mtu ndio wanafail
Wanajikutia wanatukana hatimae wanagongwa BAN
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaasubhi nliiona nkashangaa pia hio ya huko sikumbuki kuionaKuna ile ya asubuh kama una kumbuka, hadi nikamuuliza Jomba ulidhamiria kupost hiki ulichoweka hapa? Alivyo jibu ndio ikanibidi nikasakue text zake. Sasa Kuna moja ipo kule kwenye uzi wa Champagnee subiri niifate. Niikiipata nita edit hii reply.